Waislam wenye itikadi kali waua na kujeruhi wayahudi waliokuwa wakisherehekea sikukuu jijini Sydney-Australia

Waislam wenye itikadi kali waua na kujeruhi wayahudi waliokuwa wakisherehekea sikukuu jijini Sydney-Australia

mkata uzi

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2025
Posts
3,253
Reaction score
9,736
Tarehe 14 Desemba 2025, inaripotiwa kutokea shambulio la kigaidi katika jiji la Sydney, Australia.

Kwa mujibu wa taarifa zinazosambaa, washambuliaji waliwasili katika fukwe za Bondi Beach na kufyatua risasi kwa watu wa jamii ya Kiyahudi waliokuwa wakisherehekea Hanukkah, sikukuu ya kidini ya Kiyahudi.

Inadaiwa wahusika ni baba na mtoto: Sajid Akram, mwenye umri wa miaka 50, aliyefariki dunia, na mwanawe Naveed Akram, mwenye umri wa miaka 24, ambaye anaripotiwa kuwa hospitalini akipatiwa matibabu.

Uokozi ulifanywa na muuza matunda Muislam mwenye asili ya Kiarabu, mtu mwema na mwenye upendo mkubwa kwa wanadamu wenzake. Licha ya kuwa na dini moja na mshambuliaji, alitambua wazi kuwa kilichokuwa kikitokea hakikuwa sahihi na akaamua kulikabili gaidi. Kwa sasa amelazwa hospitalini baada ya kujeruhiwa alipokuwa akijaribu kwa ujasiri kulikabili gaidi hilo.

shooting is (2).jpg

1765710699330.png

Tarehe 14 Disemba 2025 kumetokea Shambulio la kigaidi huko jijini Sydney-Australia.

Waislam wenye itikadi kali waliwafyatulia risasi Wayahudi waliokuwa wakisherehekea Hanukkah.

Wakati wa ufyatuaji risasi, Wayahudi wapatao 2000 walikuwa wakisherehekea Hanukkah katika eneo hilo

Imebainika kuwa watu waliotambuliwa kama waislam wenye itikadi kali walifyatua risasi, mmoja wap aliuawa eneo la tukio, mwingine kakamatwa akiwa hai.

View attachment 3515477

View attachment 3515473

View attachment 3515480

View attachment 3515474

View attachment 3515471

View attachment 3515472

View attachment 3515476
Aisee
 
Kumekuwa na Propaganda zikisambazwa mhusika mojawapo alihudumu kwenye jeshi la Israel lakini imebainika ni raia wa Pakistani aliehamia Australia.

View attachment 3515477

View attachment 3515473

View attachment 3515480

View attachment 3515474

View attachment 3515471

View attachment 3515472

View attachment 3515476
Uislam ni tatizo duniani
Wawarudishe kwao ni kabsa ya dunia
No excuse
 
Naona kamati ya islamophobe mmekutana wote kutimiza ibada yenu ya kila siku kuutukana uisilamu.

Actual vice versa is true, alie save watu wasiuawe ndio alikua ni muisilamu, kwa jina anaitwa Ahmed Al Ahemed

Website kubwa hata hazija release nani kahusika na hata Polisi Australia bado hawaja ongea kitu ila Islamophobe wa JF tayari washa I twist story na uongo kibao.
 
Ukiwa muislamu umelaaniwa na Mungu, Uislamu ni laana
Nani atashangaa kuona kauli km hizi kwa muabudu sanamu la mzungu?

We tukana kwa raha zako lkn wenzako wananunua .makanisa kila siku na kugeuza misikiti

Sasa sijui na hilo mtaandamana? Au Tec Watatoa waraka wa Paulo mwingine. Kazi kwenu.
Ruksa. Kunyeni kwa raha zenu.
 
Huo ndio uislamu mnao ushadadai,hakuna amani bali ni wauwaji wakubwa,uislamu ni kansa ya dunia.
Teh teh teh
Yaani kafiri akitekenywa kidogo tu kahara .
Nyie tukaneni were mkichoka kaimbeni bongi flava makanisani. Kateni viuno mkalale.
Uislamu unakuwa kwa kasi ya ajabu tena huko huko ULAYA NA USA.
Na wanaosilimu wengi ni wanawake.
Sasa hesabu miaka 20 ijayo. Wewe km bado hujafa na gongo utavaa kobazi utake usitake .
Nyamafu wa weekend wahedi.
 
Wazungu wenye Akili na POLAND Tu hawa jamaa hawataki na wala hawapokei wajinga kutoka mashariki ya Kati.
Hii ndiyo nchi pekee ya wazungu ambayo haina maisha ya kigaidi
We kenge unaijua Poland au unasoma tu mipasho ?
Nani mwenye akili timamu aende Poland kutafuta maisha wakati wapolish wenyewe wamejaa Uk Na Germany kutafuta maisha?

Yaani ni sawa na kusema Tanzania imepiga marufuku wazungu kuja .
Poland Njaa. Hata wakisema wakaribishe watu nani aende ?
Yaani wagalatia msipoacha kula viti moto mtakuwa machizi fasta sana.
Wacha waislamu. We umewahi kusikia hata mbongo anafanya mpango wa kwenda Poland.?

Ati wazungu wenye akili 🤣😂 mavi ya mbuzi .
 
Back
Top Bottom