kahtaan
JF-Expert Member
- Jul 11, 2009
- 19,173
- 11,625
Heshima?Uzuri beberu hajawahi shindwa na wapuuzi kama nyie, unaona ujanja watoto 8? Good chance you are low income in welfare unalishwa na serikali, mna create circles of poverty nchi za watu, wenzako wa France walijaribu , kama umefika Paris utaelewa,Texas mmejaribu nafikiri umeona kilichotokea sasa, mzungu kutunga sheria kupiga marufuku ukobazi sio issue kwao, hizi idea za takeovers nchi za watu kwa kutumia dini zitaishia kuwaumiza nyie,umeona Israel population ndogo kazungukwa na mamilioni ya waislam mara 1000 lakini anapiga anavyotaka,acha udini ishi nchi za watu kwa heshima
Teh teh teh
We ndio akili maji kweli kweli.
Leo unasema Niheshimu kiumbe aliyeua babu zetu na kuchinja kwa manufaa ya watu wake?
halafu bila aibu wala uoga unasema nisilete UDINI. We kweli unashirikisha kichwa kabla hujaandika utumbo hapa.?
Sio nyie Wakristo mliotumia DINI KUUZA WAZEE WETU ULAYA?
SIO NYIE WAKRISTO Mliotumia BIBLIA AMBAYO mpk leo maandiko hayo ya kulazimisha UTUMWA mnayasoma?