Waislam wenye itikadi kali waua na kujeruhi wayahudi waliokuwa wakisherehekea sikukuu jijini Sydney-Australia

Waislam wenye itikadi kali waua na kujeruhi wayahudi waliokuwa wakisherehekea sikukuu jijini Sydney-Australia

Nani atashangaa kuona kauli km hizi kwa muabudu sanamu la mzungu?

We tukana kwa raha zako lkn wenzako wananunua .makanisa kila siku na kugeuza misikiti

Sasa sijui na hilo mtaandamana? Au Tec Watatoa waraka wa Paulo mwingine. Kazi kwenu.
Ruksa. Kunyeni kwa raha zenu.
Kwanini mnatafuta hifadhi western countries, si muende Afghanistan au Saudi, shida ni nini?
 
Naona kamati ya islamophobe mmekutana wote kutimiza ibada yenu ya kila siku kuutukana uisilamu.

Actual vice versa is true, alie save watu wasiuawe ndio alikua ni muisilamu, kwa jina anaitwa Ahmed Al Ahemed




Website kubwa hata hazija release nani kahusika na hata Polisi Australia bado hawaja ongea kitu ila Islamophobe wa JF tayari washa I twist story na uongo kibao.





Hawa kwao kila kitu kibaya kikifanywa na Muislam au anayejinasibisha na Uislam huwa wanakinasibisha na Uislam. Na hawafichi chuki zao kabisa. Na ukitaka kuona namna walivyo na chuki kali dhidi ya Uislam na Waislam wewe pitia tu nyuzi kama hizi. Hawawezi kabisa kujizuia, hawawezi kabisa.

Ila kitu kizuri kikifanywa na Muislam hawataki kukinasibisha na Uislam na ikiwezekana watamficha au watauficha Uislam wake huyo mtu. Na ukijaribu kuuonesha uzuri wa Muislam watakuita "mdini" ila wao kuutukana Uislam kwa sababu ya maovu ya baadhi ya Waislam sio "udini".

Halafu wanajifanya na upendo wa kuigiza.
 
Ndio , wameruhusiwa kuπa makafiri mpaka waaishe wote.

Dini haki ya mnyaaazii mungu


Uislam ni ule aliouonesha Ahmed al Ahmed, baba wa watoto wawili, Muislam, muuza matunda mwenye umri wa miaka 43, ambaye kishujaa alimpokonya bunduki mmoja wa magaidi walioshambulia watu. Na amepigwa risasi mbili.

Mbona hamumzungumzi? Au kwa sababu ha fit narrative yenu ya chuki?
 
Wazungu wenye Akili na POLAND Tu hawa jamaa hawataki na wala hawapokei wajinga kutoka mashariki ya Kati.
Hii ndiyo nchi pekee ya wazungu ambayo haina maisha ya kigaidi


Poland ambayo ilivamiwa na Hitler na akishirikiana na mkomunisti mwaka 1939 wakaibonda bonda inapaswa kuwa nchi ya mwisho kuogopa Waislam au watu wa Mashariki ya Kati.
 
Uislam ni tatizo duniani
Wawarudishe kwao ni kabsa ya dunia
No excuse


Wewe ungekuwepo kwenye hilo tukio sidhani kama hata ungeweza hata kusimama, sikuambii kama sidhani kama hata ungeweza kwenda kumpokonya bunduki mmoja wa magaidi kama alivyofanya ndugu yetu Muislam Ahmed al Ahmed. Sidhani kama ungeweza kuwa shujaa kama yeye, Allah Amlipe Kheri na Ambariki.
 
Tarehe 14 Disemba 2025 kumetokea Shambulio la kigaidi huko jijini Sydney-Australia.

Waislam wenye itikadi kali waliwafyatulia risasi Wayahudi waliokuwa wakisherehekea Hanukkah.

Wakati wa ufyatuaji risasi, Wayahudi wapatao 2000 walikuwa wakisherehekea Hanukkah katika eneo hilo

Imebainika kuwa watu waliotambuliwa kama waislam wenye itikadi kali walifyatua risasi, mmoja wap aliuawa eneo la tukio, mwingine kakamatwa akiwa hai.

Kumekuwa na Propaganda zikisambazwa mhusika mojawapo alihudumu kwenye jeshi la Israel lakini imebainika ni raia wa Pakistani aliehamia Australia.

View attachment 3515477

View attachment 3515473

View attachment 3515480


View attachment 3515474

View attachment 3515471


View attachment 3515472



View attachment 3515476





Mleta uzi nataka uniambie jina la huyo shujaa wa clip ya mwisho aliyempokonya mmoja wa magaidi bunduki anaitwa nani vile?
 
Hii kweli ni dini ya Mungu au ni mpango wa shetani? Upo ugenini, kwenye nchi ya watu, bado unaendeleza ushetani kwa mtizamo wa kidini! Au kuna mafundisho wanapewa kuwa ukitaka kufika aheri ni lazima uwaue wayahudi au wakristo? Fikiria mauaji ya wakristo huko Nigeria, na DRC. Wakristo wanafanya ibada, hao waislam wenye misimamo mikali wanaenda kuwaua!! Lazima kwa kwa kupitia baadhi ya mafundisho ya uislam, kuna mafundisho au maelekezo ya shetani, na hivyo kuwafanya hao wanaoitwa waislam wenye itikadi kali kuwa waumini waaminifu wa shetani.
 
Wewe ungekuwepo kwenye hilo tukio sidhani kama hata ungeweza hata kusimama, sikuambii kama sidhani kama hata ungeweza kwenda kumpokonya bunduki mmoja wa magaidi kama alivyofanya ndugu yetu Muislam Ahmed al Ahmed. Sidhani kama ungeweza kuwa shujaa kama yeye, Allah Amlipe Kheri na Ambariki.
usisahau ndugu zenu waislam ndo waliofanya huo ugaidi na uzombie mnaouita jihad
 
Ukiwa muislamu umelaaniwa na Mungu, Uislamu ni laana




Imagine ulichokificha moyoni! Ni kikubwa zaidi.


Namshukuru Allah kwa Neema ya Uislam. Ninamuomba Allah Anifishe katika Uislam na Sunnah, Allahumma Aamiin.

Nimeridhia kwa Allah kuwa Mola wangu, na nimeridhia Uislam kuwa Dini yangu, na nimeridhia Muhammad (Swala na Salamu ziwe juu yake) kuwa Nabii na Mtume wangu.


Kufa kwa chuki zako!!
 
Kobaz wanajifichia kwa yule jamaa aliyejitoa mhanga kumpokonya silaha gaidi, kubalini basi kuwa magaidi ni Kobaz wenzenu.
 
Nani atashangaa kuona kauli km hizi kwa muabudu sanamu la mzungu?

We tukana kwa raha zako lkn wenzako wananunua .makanisa kila siku na kugeuza misikiti

Sasa sijui na hilo mtaandamana? Au Tec Watatoa waraka wa Paulo mwingine. Kazi kwenu.
Ruksa. Kunyeni kwa raha zenu.



Wakitoka hapo wanakwenda kuonesha upendo wao wa kuigiza, "ooh hawa Waislam wa bara hawa ni ndugu zetu, shida yetu ni wazanzibari tu" tunawatazama tu. Utafikiri hatujui kuwa ni watu wenye chuki kali dhidi ya Uislam na Waislam.
 
Nani atashangaa kuona kauli km hizi kwa muabudu sanamu la mzungu?

We tukana kwa raha zako lkn wenzako wananunua .makanisa kila siku na kugeuza misikiti

Sasa sijui na hilo mtaandamana? Au Tec Watatoa waraka wa Paulo mwingine. Kazi kwenu.
Ruksa. Kunyeni kwa raha zenu.
Uislamu sio dini mbaya, hata hapa Tanzania tunaona waislamu ni watu wazuri tu kama watu wengine
Lakini kwa nini terrorist attacks nyingi zinahusiana na Uislamu? Kuna namna hii dini inachezewa, kwa sasa waislamu wanapaswa kusambaza mahubiri kwamba sisi wengine ni binadamu kama wao na wala sio makafiri kama mnavyotuita. Na pia hatustahili kuuawa maana dunia ni yetu sote.
Waislamu mnapaswa kuanza nyie wenyewe kukemea makundi ya kihalifu yanayojificha kwenye mwamvuli wa uislamu. Maana hali inazidi kuwa mbaya, wengi wetu tunataka tuishi na tufe kwa sababu zinazoeleweka, sio kuuawa na magaidi ambao wanatuua kwa kisingizio eti sisi ni makafiri. Dah
 
Teh teh teh
Yaani kafiri akitekenywa kidogo tu kahara .
Nyie tukaneni were mkichoka kaimbeni bongi flava makanisani. Kateni viuno mkalale.
Uislamu unakuwa kwa kasi ya ajabu tena huko huko ULAYA NA USA.
Na wanaosilimu wengi ni wanawake.
Sasa hesabu miaka 20 ijayo. Wewe km bado hujafa na gongo utavaa kobazi utake usitake .
Nyamafu wa weekend wahedi.
Huu ugaidi unaanza kwa chuki ndogo ndogo kama hizi. Makafiri ni akina nani?
 
Hata kama shambulio lilifanywa na hao wanaojiita ni waislam wenye itikadi kali, na uokozi ulifanywa na muislam, wala haishangazi.

Kuna ushahidi wa kutosha, kuna waislam wengi kwa mamiioni, ni watu wema, wenye utulivu na upendo mkubwa kwa binadamu wengine, LAKINI hiyo haiondoi ukweli kuwa kuna watu maharamia wanaoutumia uislam kufanya uovu wa ajabu, tumeshuhudia watu wakiuawa, wanakatwa shingo, na muuaji wakati akimkata shingo binadamu mwenzake, akitamka, Allah Akbaru', yaani anafanya kazi ya shetani, lakini anatamka jina la Allah!! Ni jukumu la waislam kuwakana watu hawa kwa kauli na vitendo, japo ni hatari hata kwao waislam, maana hawa mashetani wanaotumia uislam, kuna baadhi ya maeneo wamewaua hata waislam wenzao ambao ni wa madhehebu tofauti na yao. Na makundi haya ya mashetani wanaotumia uislam, wengine wanatokea kwente makundi ya washia. Hilo kundi la washia ndiyo lililozalisha makundi mengi ya kigaidi Duniani.
 
Back
Top Bottom