Kijakazi
Platinum Member
- Jun 26, 2007
- 10,860
- 18,819
wengi hawaelewi kwamba hiyo siyo dini bali ni political movement ambayo ina political ideology kama tu communism au political ideology yoyote ile wana agenda, na wanatumia violence kufanikisha agenda yao, kwa nini hausikii violence ktk kwa wahindu, buddhism au Christians kwa nini only wao tu? jibu ni simple ni political movement na siyo dini ...