Unajua shida ilitokea kwa mababu zetu. Hawaku document mambo yaliyokuwa yakitokea, kutia ndani na sheria na kanuni, ibada, imani, nk. Matokeo wametufanya tuwe watumwa. Utakuta walikuwepo akina nabii Masanja, Marwa, Gitagno nk lakini hawakuandikwa ndiyo maana tunapata shida. Maana ukiangalia hizi imani mara nyingi zinazungumzia koo na uzao. Hivyo kwa kiasi kikubwa wanachoongelea ni misingi ya tamaduni na watu waliokuwepo pindi hizo
Kwanza unafahamu hizo hadithi zilikuwepo hata kabla ya vitabu vya dini za kiislamu na kikristo kuwepo?Quran haijamtaja hawa km mke wa adam hayupo kabisa sasa waulize huyo hawa wao walimjua vipi ikiwa hajaandikwa ktk kitabu chao cha allah
Quran haijamtaja hawa km mke wa adam hayupo kabisa sasa waulize huyo hawa wao walimjua vipi ikiwa hajaandikwa ktk kitabu chao cha allah
Kwanza unafahamu hizo hadithi zilikuwepo hata kabla ya vitabu vya dini za kiislamu na kikristo kuwepo?
Watajua wenyewe na imani zao, ila binafsi naweza tetea hilo kwa mujibu wa imani, ni kweli uislamu ulikuwepo tangu kale mno japo haukuwa kama taasisi ya kidini kama ilivyo sasa.Waislam wenyewe wanasema, uislam ulikuwepo hata kabla ya mud. pengine hata kabla ya nabii adam
haya mambo ya kupeana vitabu nayakuta kwenye uislamu tu.Mtume ni wale waliopewa vitabu.
Manabii ni wale hawakuwa vitabu.
Nabii Ibrahim, Musa, Yesu Muhamad nk
Manabii hao wengine
Yona
Zakaria
Adam
Mitume na manabii walikuja na ujumbe mmoja.
Unyenyekevu
Halafu wakaja wapotoshaji, wakapandikiza upagani juu ya imani ya Mitume na Manabii kwa mfano Mr Paulo.
Ujumbe ulioletwa na Mitume na Manabii si kwenda mbinguni. Mbingu ni matokeo.
Ujumbe wao ulikuwa Dunia ni koloni la Mungu na mitume na manabii ni magavana wa Mungu. Na kwamba wako hapa duniani si kutupeleka watu mbinguni bali wapo kwa ajili ya kuuondoa utawala wa kibinadamu na kusimika utawala wa Mungu kwa kufata sheria zake.
Mtume Muhamad alifanikiwa ktk hilo, Mtume Yesu alifeli.
Prof Paulo nae alishinda kuwapeleka wafuasi ktk upagani.
Paulo wa Tarso jasusi la kiroma lililopewa misheni ya kubadili mwelekeo wa Ukristo na kuwa upagani
Hamjambo! Kwa upande wangu, Paulo aka Sauli ninamchukulia kama mwandishi mashuhuri aliyepewa nafasi na Dola la Rumi Kwa Siri Ili kubadili uelekeo wa Ukristo na kuufanya uwe upagan. Paulo/Saul: kiasili ni Myahudi Raia; Warumi Elimu: Farisayo, elimu ya juu ya Dini ya kiyahudi. Paulo hakuwahi...www.jamiiforums.com
Kama nabii titoEbu jibu kwanza nabii ni mtu wa namna gani?? Au ana sifa zipi,tuanzie hapo kwanza, nitarejea inshaalah
Kama nabii tito
Wew ni muhindu?haya mambo ya kupeana vitabu nayakuta kwenye uislamu tu.
Musa alipewa kitabu gani?
Mbudha mkuu!Wew ni muhindu?
Qur'an 2:35, 7:19, 7:22, 20:117–121:Quran haijamtaja hawa km mke wa adam hayupo kabisa sasa waulize huyo hawa wao walimjua vipi ikiwa hajaandikwa ktk kitabu chao cha allah
Hapo huna kosa maana ungekua mkristo ningepata mashaka kuwa hujui hata Mussa alipewa kitabu ganiMbudha mkuu!
Haya Masuali mengine uliza Wiki, Grokhaya mambo ya kupeana vitabu nayakuta kwenye uislamu tu.
Musa alipewa kitabu gani?
Kwa hiyo nabii ni mwamposa na dev.muunge namwamposa?Ukisoma Quran hususani Surah Al-Baqarah (2), Al-A'raf (7), and Al-Isra (17), habari ya Adamu na maisha yake kwa ujumla zinazungumziwa humo.
Adamu alikuwa na Mke mmoja tu aliyetajwa kwenye Quran, naye ni "Hawwa", na watoto wao waliotajwa ni Wawili tu ambao ni "Habil" wakristo umuita "Abel" na "Qabil" ambaye wakristo umuita "Cain" au Kaini kwa Kiswahili.
Quran imezungumzia maisha yote ya Adam kama Biblia ilivyoelezea. Vilevile Quran ikaelezea kisa cha Adam na Hawwa kula Tunda la mti wa kati lilizaa dhambi za hivi sasa. Japo Biblia anasema aliyeanza kudanganywa ni Hawwa, ila Quran inasema Shetani aliwadanganya wote kwa pamoja.
Tukija kwenye Maana ya UNABII
"Unabii maana yake ni ufunuo wa kimungu unaotolewa na Mungu kwa nabii ili awaongoze watu kwa haki, kuwafundisha maadili mema, na kuwaonya dhidi ya maovu"
Je ni kwenye Surah gani ya Quran, Adam alitenda unabii kwa mujibu wa maana ya unabii?
siku hizi kuujibia uislam limekuwa jambo gumu sana.Kwa huu uzi waislam kutojibu , nimewaona ni kati ya watu wa dini waojitambua sana, hongera sana waislam wote
Yani mtu anauliza nabii wa dini nyingine ambao hata hawapo , wakati dini yake imejaza manabii kibao kina mwakatobe , mwabikuku na kina tito ! Akiulizwa hao imekuaje anaweza jibu wamepewa huo unabii na nani ?siku hizi kuujibia uislam limekuwa jambo gumu sana.
unawezapigwa maswali ukajuta kiherehere umetoa wapi.
Nyie akili zenu bana, mamlaka gani zinazopanga mara ngapi adhana inatakiwa ifanyike!?Vizuri,
Adhana (reminder - alarm) inabidi ifanyike kwa muda na mara ngapi kwa siku.