Kwanza unatakiwa kuelewa kuwa Ukristo chimbuko lake ni Dini ya Uyahudi... Hivyo wakristo husoma vitabu vya Kiyahudi pia, ndio maana Biblia ni kitabu cha agano la kale yani kabla ya Yesu na Agano jipya yani wakati na badaa ya Yesu.Biblia inayoaminiwa na qur an ni ile iliteremshwa kwa issa sio hii yenu ambayo haijulikani halisi ni ipi? Kwann nyote ni wakristo halafu muna biblia tofauti halisi ni ipi? Iweje uislamu uamin asilimia 100 dini ambayo haina kitabu maalumu kila mtu anajiamulia tu mara yesu mungu wengine mtoto wa mungu tunaamin vpi? We ushawah kusikia et kuna qur an tofaut toka uzaliwe?
Wewe Kwa akili yako unahisi watoto wa Adam ni nani aliyewafundisha kuabudu Miungu na mambo mengine ya Ibada?Ukisoma Quran hususani Surah Al-Baqarah (2), Al-A'raf (7), and Al-Isra (17), habari ya Adamu na maisha yake kwa ujumla zinazungumziwa humo.
Adamu alikuwa na Mke mmoja tu aliyetajwa kwenye Quran, naye ni "Hawwa", na watoto wao waliotajwa ni Wawili tu ambao ni "Habil" wakristo umuita "Abel" na "Qabil" ambaye wakristo umuita "Cain" au Kaini kwa Kiswahili.
Quran imezungumzia maisha yote ya Adam kama Biblia ilivyoelezea. Vilevile Quran ikaelezea kisa cha Adam na Hawwa kula Tunda la mti wa kati lilizaa dhambi za hivi sasa. Japo Biblia anasema aliyeanza kudanganywa ni Hawwa, ila Quran inasema Shetani aliwadanganya wote kwa pamoja.
Tukija kwenye Maana ya UNABII
"Unabii maana yake ni ufunuo wa kimungu unaotolewa na Mungu kwa nabii ili awaongoze watu kwa haki, kuwafundisha maadili mema, na kuwaonya dhidi ya maovu"
Je ni kwenye Surah gani ya Quran, Adam alitenda unabii kwa mujibu wa maana ya unabii?
Inashangaza sanaWaislamu utawaweza yaee .
Sauli alikuwa Nabii hii NI kweli kwasbabu sauli aliwai kuona maono .SASA waulize waislam n kweli (hawajui)
Katika uislamu kila mtu kabla ya Muhammad NI Nabii.
Yakobo
Ibrahim
Isaka
Daudi
Yoroboamu
Samsoni......
Hawa wote NI Manabii kulingana na Imani ya kiislamu.
Upande WA pili Hawa si Manabii Bali NI watu maarufu WA biblia.
Samsoni NI mnadhimu.
Ibrahim Baba WA mataifa.
Daudi nu mfalme WA Israel.
Kwasababu hawajui maana ya Nabii.Ukisoma Quran hususani Surah Al-Baqarah (2), Al-A'raf (7), and Al-Isra (17), habari ya Adamu na maisha yake kwa ujumla zinazungumziwa humo.
Adamu alikuwa na Mke mmoja tu aliyetajwa kwenye Quran, naye ni "Hawwa", na watoto wao waliotajwa ni Wawili tu ambao ni "Habil" wakristo umuita "Abel" na "Qabil" ambaye wakristo umuita "Cain" au Kaini kwa Kiswahili.
Quran imezungumzia maisha yote ya Adam kama Biblia ilivyoelezea. Vilevile Quran ikaelezea kisa cha Adam na Hawwa kula Tunda la mti wa kati lilizaa dhambi za hivi sasa. Japo Biblia anasema aliyeanza kudanganywa ni Hawwa, ila Quran inasema Shetani aliwadanganya wote kwa pamoja.
Tukija kwenye Maana ya UNABII
"Unabii maana yake ni ufunuo wa kimungu unaotolewa na Mungu kwa nabii ili awaongoze watu kwa haki, kuwafundisha maadili mema, na kuwaonya dhidi ya maovu"
Je ni kwenye Surah gani ya Quran, Adam alitenda unabii kwa mujibu wa maana ya unabii?
Suleiman mfalme wa Israel nae anaitwa nabiiWaislamu utawaweza yaee .
Sauli alikuwa Nabii hii NI kweli kwasbabu sauli aliwai kuona maono .SASA waulize waislam n kweli (hawajui)
Katika uislamu kila mtu kabla ya Muhammad NI Nabii.
Yakobo
Ibrahim
Isaka
Daudi
Yoroboamu
Samsoni......
Hawa wote NI Manabii kulingana na Imani ya kiislamu.
Upande WA pili Hawa si Manabii Bali NI watu maarufu WA biblia.
Samsoni NI mnadhimu.
Ibrahim Baba WA mataifa.
Daudi nu mfalme WA Israel.
Nyinyi si Huwa mnaenda kwa miongozo na Sunna za mtume. Tupe dalili basiSiyo muislamu ila kitendo cha Adam kuumbwa na Sir God mwenyewe kwa mkono wake na kuleta kizazi cha wana adamu wote ulimwenguni ana stahili kuitwa nabii.
Mtume kivipi?Ktk maisha nimegunduwa kwamba sometimes kubishana na mtu asiyejuwa kitu, kunampa faida ya kujifunza kupitia mabishano yako.
Ni vyema mtu kama hajui jambo aje straight aelekezwe kuliko kuja Kwa style ya kubishana ili ajifunze kutokana na mabishano yako..
Adam ni Mtume wa MUNGU ,na sio lazima Mtume wa MUNGU kufanya miujiza...
Kwa mujibu wa Nini?Ebu jibu kwanza nabii ni mtu wa namna gani?? Au ana sifa zipi,tuanzie hapo kwanza, nitarejea inshaalah
Ukisoma Quran hususani Surah Al-Baqarah (2), Al-A'raf (7), and Al-Isra (17), habari ya Adamu na maisha yake kwa ujumla zinazungumziwa humo.Ingekuwa vyema uweke kifungu na sio blah blah.
Tuleteeni hyo biblia aliyoshushiwa issa tuone km nikweli.sasa na km sio halisi mbona mnafanya rejea kupitia biblia fake???Biblia inayoaminiwa na qur an ni ile iliteremshwa kwa issa sio hii yenu ambayo haijulikani halisi ni ipi? Kwann nyote ni wakristo halafu muna biblia tofauti halisi ni ipi? Iweje uislamu uamin asilimia 100 dini ambayo haina kitabu maalumu kila mtu anajiamulia tu mara yesu mungu wengine mtoto wa mungu tunaamin vpi? We ushawah kusikia et kuna qur an tofaut toka uzaliwe?
We jibu kwa uelewa wako tuKwa mujibu wa Nini?
Sawa katika aliyozungumza alisemaje yeye ni mungu au mwana wa mungu?Kwanza unatakiwa kuelewa kuwa Ukristo chimbuko lake ni Dini ya Uyahudi... Hivyo wakristo husoma vitabu vya Kiyahudi pia, ndio maana Biblia ni kitabu cha agano la kale yani kabla ya Yesu na Agano jipya yani wakati na badaa ya Yesu.
Kwenye Biblia hakuna Issa, ila kama unayezungumzia ni Yesu, basi Yesu akushushiwa kitabu kama Mohammed... bali alizungumza moja kwa moja maneno ambayo badae yalinukuliwa na kuwekwa kwenye vitabu ambavyo vipo kwenye Agano jipya
Nitajie sehemu moja tu ambayo qur an imerejea kwenye biblia yenu ambayo munayo sasa.Tuleteeni hyo biblia aliyoshushiwa issa tuone km nikweli.sasa na km sio halisi mbona mnafanya rejea kupitia biblia fake???
Leta kwanza hyo biblia halisi jibu swali. Ndo uulize swaliNitajie sehemu moja tu ambayo qur an imerejea kwenye biblia yenu ambayo munayo sasa.
Lete kifungu mkuu kikiwataja watoto wa Adam.Ukisoma Quran hususani Surah Al-Baqarah (2), Al-A'raf (7), and Al-Isra (17), habari ya Adamu na maisha yake kwa ujumla zinazungumziwa humo.
Biblia halisi ikiwa nyinyi wenywe hamuna me naitoa wapi? We hujiuliz kwann wakristo wote hawatumii biblia moja?Leta kwanza hyo biblia halisi jibu swali. Ndo uulize swali
Quran 2:38Nimeangalia comments nyingi ni za wagalatia wenyewe na hoja zenu zinaonyesha kabisa kuwa nyinyi ni watupu sana linapokuja jambo la kumjua Mungu wa kweli
Kazi ya Quran ni kufichua Yale ambayo makafiri wameyaficha Ili kuwapoteza watu
Ndio maana nyinyi mmefichwa kuwa Adam ndio nabii wa kwanza hapa Duniani maana wangekuambieni kuwa ni nabii mngewauliza alikuwa dini gani? Wangekosa jibu maana wangekuambieni kuwa Adam alikuwa mkristo ingekuwa ni kichekesho
Sasa Ili kuendelea kukupotezeni lazima muambiwe kuwa Adam alikuwa mpagani kama nyinyi
NABII NI NANI
Nabii ni mtu anayepokea ufunuo kutoka Kwa Mungu Kwa kuongea nae neno Kwa neno kama nabii MUSA au Kwa ndoto kama nabii IBRAHIM au Kwa malaika kama nabii MUHAMADI Ili hayo maagizo ayafikishe Kwa jamii inayomzunguka
Quran 2:37
Kisha Adam akapokea maneno kwa Mola wake Mlezi, na Mola wake Mlezi alimkubalia toba yake; hakika Yeye ndiye Mwingi wa kukubali toba na Mwenye kurehemu.
Quran 2:38
Tukasema: Shukeni nyote; na kama ukikufikieni uwongofu utokao kwangu, basi watakao fuata uwongofu wangu huo haitakuwa khofu juu yao wala hawatahuzunika.
Quran 2:39
Na wenye kukufuru na kuzikanusha ishara zetu, hao ndio watakao kuwa watu wa Motoni, humo watadumu.
Hapo Adam anaambiwa shuka ukaishi Duniani na maagizo anapewa na anaambiwa atakayoyafuata ataenda peponi na atakaye yapinga ataenda Jahanamu
Kwahiyo pia Adam lilikuwa ni jukumu lake kuwafundisha wanawe kumjua na kumuabudu Mungu wa kweli
Nyinyi wagalatia Wazungu wamekuingizeni chaka na Jahanamu inakusubirini Kwa hamu

Umeshaelewa kuwa Adam alikuwa nabii hayo mengine ni nje ya madaQuran 2:38
Tukasema: Shukeni nyote; na kama ukikufikieni uwongofu utokao kwangu, basi watakao fuata uwongofu wangu huo haitakuwa khofu juu yao wala hawatahuzunika.
Tukiwaambia kwamba hili lijitabu ni fake mnasema oooh limeshushwa ona sasa kwenye hii sura allah anatumia wingi mwanzoni baadaye anatumia umoja hatarai sana