Accumen Mo
JF-Expert Member
- May 15, 2022
- 18,036
- 39,882
we tapeli mkubwa unaongea nn ? kaoshe meno ya kuoza hayo ...Hiyo elimu mmefikia wapi mwaka 2024 ndio mnaunga satellite kwa vifaa vya kununuaHâta huelew ulichoandika umesoma Mada?
Waislamu walikalia kuvaa kubaz na kukalia ilmu akhera , wakristo wakajenga shule,ndipo na waislamu wakapata fursa ya kusoma
Nyie mlivyo na roho mbaya ingelikuwa shule ni zenu asingesoma mkristo
Ya mama yako kule migombaniHII hekaya ulidanganywa katika masjid IPI?
Was encouraging missionary schools and segregating muslims from secular education economical?how economical was it?Listen! Colonialism wasn’t just a random or accidental thing. They had motives following the Industrial development in Europe in that era. That’s why It was necessary to send some agents like explorers etc to give them a picture before they come and establish their powers.
Colonialism was a business though it may be seemed like a medley of stuffs like exercise of power and domination, civilization etc.. So everything they did was economical..
Hakuna mkristo anayependa kucheka na muislamu hata siku moja kwa vile ni waoga tu , maana wakianzisha vurugu waislamu wana misimamo ila roho zao ni ngumu.Siku zote nilikuwa namuona Paskal Mayala mtu mwenye upeo mkubwa, Leo nimeona ni mtu mmpumbavu kabisa.
Unakuja na mada ya kuwagawa watanzania badala ya kuwajenga, hivi kuna tofauti gani kati ya hao wanao lalamika na wewe sasa?.
Jee na wewe unahisi unatakiwa kuwashukuru Wazaramu kwa kukuachia kuishi Dar?. Kama wakristo wasomi kweli kwanini miji ilio endelea ni yenye jamii ya waislamu wengi tu?.
Kikwete kasoma shule ya wakatoliki vipi alibadili dini?Hii ni kweli , tangu mwaka 1885 waislamu walitengwa kweny elimu mpaka uwe mkristo ndio unasoma , elimu yenyewe ya kuletwa ilikuwa inatolewa kwa mafungu .
Miaka yote hiyo wameshindwa kubomoa uislamu , nchi hii waislamu walipata tabu sana mpaka uhuru kwa ubaguzi wa wagalatia.
Kikwete amesoma shule ya wakatoliki vipi alibadili dini?Hakuna mkristo anayependa kucheka na muislamu hata siku moja kwa vile ni waoga tu , maana wakianzisha vurugu waislamu wana misimamo ila roho zao ni ngumu.
Chukulia mkoloni alikuwa analazimisha watu wawe waislamu kwa lazima ndio wasome.
muulize member maarufu kwenye jukwa la historia mohamed saidi atakuwa nazo, kadadavua kinagaubaga historia ya AA, TAA na TANUMwenye picha za viongozi wa TAA,AA hadi TANU atuwekee tuwaone hao viongozi.
Ndio watawala wa enzi hizo unalijua hilo , kwani hiyo elimu imeandaliwa na wakatoliti ? Ndio kwamba elimu imeanzishwa na wakatolki .Kikwete kasoma shule ya wakatoliki vipi alibadili dini?
Hizi hekaya Huwa mnadanganywaga Na Hao masheikh wenu wasiosoma
Dini inayopiganiwa kwa silaha😀😀😀Hapo usitegemee majibu ya maana sana sana kejeli, hawatoweza kukujibu, hiyo dini imeleta balaa sehemu nyingi sana hapa duniani
Walijenga wazungu hizo shule na missionaries walikuja na kujenga shule ili kuwabadili watu weusi kutoka kwenye mila zetu na kuwa wakristo kama huelewi hiloHuelew Mada hoja sio kusoma bure,hoja ni uwepo WA shule
Wakristo wasingejenga shule mngelipa wapi Hizo ada?
Mpuuzi weee si umesema Ili usome ilibidi ubadili dini ? Sasa nimekuuliza kikwete alibadili?Ndio watawala wa enzi hizo unalijua hilo , kwani hiyo elimu imeandaliwa na wakatoliti ? Ndio kwamba elimu imeanzishwa na wakatolki .
We fala usiongee kama mjinga mkoloni ndio alileta dini yenu na kutaka kuutoa uislamu .
Hao wazungu ni waislamu ?Walijenga wazungu hizo shule na missionaries walikuja na kujenga shule ili kuwabadili watu weusi kutoka kwenye mila zetu na kuwa wakristo kama huelewi hilo
Unasema sielewi mada au wewe ndio unaandika usichokijua
si walikuja ili kubadili watu wawe wagalatia mbona wameshindwa , watu wamesoma ujinga wao ila hawakuwafuata 😀 😀Huelew Mada hoja sio kusoma bure,hoja ni uwepo WA shule
Wakristo wasingejenga shule mngelipa wapi Hizo ada?
Dini ya fujo watu wanaambiwa live wachinjeni watu fulani😂😂 eti ni thawabu ya bikra 72Dini inayopiganiwa kwa silaha😀😀😀
Kamuulize babu yako , kaulize mzee Makamba alikuwa anatumia utambulisho gani kweny dini ? kaulize kikwete alikuwa anatumia utambulsho gani /Mpuuzi weee si umesema Ili usome ilibidi ubadili dini ? Sasa nimekuuliza kikwete alibadili?
Ujinga ndio Huwa unawasumbua nyiee wavaa majuba
Ndivyo mnavyodanganyana hko misikitini? No wonders nyie elimu ilishawapita kushoto laZma muongee ghahawa tuHakuna mkristo anayependa kucheka na muislamu hata siku moja kwa vile ni waoga tu , maana wakianzisha vurugu waislamu wana misimamo ila roho zao ni ngumu.
Chukulia mkoloni alikuwa analazimisha watu wawe waislamu kwa lazima ndio wasome.
Majinga mnoDini ya fujo watu wanaambiwa live wachinjeni watu fulani😂😂 eti ni thawabu ya bikra 72
Ndugu Black Sniper ,wewe madrasa haijakusaidia kwa kweli.Ila waislam walisoma Madrasa baada ya shule na sio kama unavyoelewa wewe Mr P
Tulikuwa tunasoma maadili na dini pia na zilikuwa sio shule kama za mission ambapo unasoma masomo yote
Unaposema washukuru ina maana wasomi wote walisoma bure?
Wengine walisomea nje kwa msaada wa serikali pia
Madrasa zimefundisha nidhamu, heshima, maadili na Quran pia na hadithi za mitume pia
Leo vyeti mnapata kwa kuingiliwa na watu mkipata PhD za mchongo mnakuja kutusumbua
Weka list ya majizi serikalini kwa majina pia hapo ndio utajua madrasa zimetusaidia kuwa waaminifu wengi wetu
Mbona mmeshindwa kubadili watu wote , hapo ndio ujue dini ya kweli ni ipi ....Mmebaki walevi na wizi 😀 😀 😀 😀Ndivyo mnavyodanganyana hko misikitini? No wonders nyie elimu ilishawapita kushoto laZma muongee ghahawa tu