Waislamu mliofanikiwa kwa Elimu ya Shule za Mission badala ya Madrasa kuweni na Shukrani kwa Wakristo waliowafikisha hapo mlipo

We jamaa kingereza sio ukristo umesahau kwenu kule kweny magofu italy , USA sio nchi yenu Labda kule Israel mnapofukuzwa .

haha eti nini? kiingereza siyo ukristo? kwa taarifa yako tu bila ya Biblia takatifu hakuna kiingereza kama tukijuavyo leo hii yaani grammar na kuandika siyo hivyo tu hata sheria na mahakama zetu chimbuko lake ni Ukristo, hivyo kiingereza au lugha yoyote ile inayoandikwa kilatini ina uhusiano na ukristo, isitoshe bila ya ukristo hakuna US of Amerika …
 
Na elimu zooote hizo za shule za mission walizowapa wakristo na waislamu ndo wameishia kutengeneza roboti Eunice.

Na ukiitwa Shaaban unalazimishwa uitwe Roberts, bado mnataka waislamu watoe shukran kwa fadhila, vinginevyo wangeishia kutoa adhana tu, daah.

Ila leo umeamua kutema nyongo, na uliyoyaficha kifuani mwako ni makubwa kuliko haya uliyoyaandika humu.

Huu si katika uadilifu kabisa.
 

Kuna Mzee mmoja maisha yamempiga kazi kutunga hadithi hata za uongo ili ahalalishe dhana ya waislamu wameonewa au wanaonewa.

Kusema uongo ni dhambi kwa dini ya aina yoyote ile. Kusingizia watu vitu ambavyo havina ukweli ndani yake sijui wananufaika na nini
 
Wewe una powers fulani!, baada ya wewe kumuulizia humu ile Alasiri m, leo usiku amenitafuta, she just lost her dear mother!.
P
 
Duh! Ndugu yangu umefikiria nini hadi kuchokonoa ukweli huu ambao unaweza kukusababishia mtafaruku na ndugu yangu Mohamed Said
 
Halafu wewe MAKU tunapenda sana kuushobokea uislamu.

Endelea na mambo yenu ya kufumuliwa ANUS, mambo ya uislamu na waislamu hayakuhusu.


Ndio maana unaishia kupigiwa kura mbili kwa upumbavu wako
 
Kuna vumbi litatimka mda si mrefu hapa ila nadhani watu kama Jakaya walijua sana kuheshimu ukiristo kama ilivyo kwa usilamu
Nje ya mada Paskal natamani kuona Majaliwa anakuwa Rais wa nchi siku Moja ukinipinga nabadili mawazo🙌
... hakuna kitu kinachodhihirisha upofu wa watanzania kama hili la kufikiri tu kwamba ati fulani akiwa rais basi ni dawa tosha!
TUUNDE TAASISI IMARA NA TAIFA LIWE NA MALENGO YA MUDA MREFU, ... HAPO HATA MIMI Kishimbe wa Kishimbe naweza kwenda kulala Ikulu miaka kumi na nchi ikapiga hatua!

... MNATAKA TUVIKUNDI TWENU TUENDE IKULU ILI MTUIBIE TUU, HAMNA PLANI YEYOTE!
HII MAMBO YA UKALIUKALI NA X USONI ISIWE TIJA, HATA KOLOKOLONI WANAWEZA!
 
Paskali,
Nimeandika vipi Cecil Matola, Dr. Vedasto Kyaruzi na Julius Nyerere walivyopewa uongozi katika AA na TAA.

Dar-es-Salaam ya 1950 Nyerere asingeweza kumshinda Abdul Sykes katika uchaguzi wowote.

Angalia post # 85.
Uzi huu sio wa jukwaa la siasa, kumshindanisha Mwalimu Julius Kambarage Nyerere na Muislamu yeyote kwenye a Muslim predominantly areas, it's obviously lazima Muislamu atashinda, hata wewe ungegombea urais wa Kariakoo akashindana na JPM, ungemshinda kwa mbali!.

Huu ni uzi wa kuwa na appreciation, being appreciative, japo kilichokufanya wewe kuwa Maalim Mohamed Said, huyu tunayemuona, ni kipaji chako cha kuzaliwa nacho, lakini uwezo wako na mafanikio yako makubwa hadi kuandika mada na vitabu vya historia, vinavyokufanya ualikwe kwenye vyuo vikuu mbalimbali duniani kwenda kutoa mihadhara, sio ile elimu ya madrasa uliyoipata, bali ni ile elimu duniya uliyoipata Shule za Mission!.

Hivi katika simulizi zako, umewahi kusimulia ilikuwaje hadi mtoto wa familia ya Kiislamu, ya Waswalihina wa swala 5, kusomea Shule ya sekondari ya kanisa Katoliki?. Uliwahi kumtaja popote yule Padri aliyekuibua?.

Tuwe appreciative jameni.
P
 
Tangawizi,
Usiogope kutaja jina langu.

Hapa JF mimi napachukua kama mahali pa kuheshimika penye mijadala inayowakutanisha watu makini katika jamii yetu.

Hapa si mahali mimi mtu aogope kunieleza ukweli pale anapoona kuwa nasema uongo.

Ondoa hofu hii akilini kwako.

Kwangu mimi lau sikujui lakini unabakia kuwa ndugu na rafiki.

Umenishutumu kwa kutunga hadithi na kusema uongo.

Mimi lau kama ningethubutu kuandika uongo na kuleta hekaya katika yale niliyoandika leo ningekuwa siko hapa JF kichwani kwangu nikiwa nimebeba mzigo wa kuchaguliwq Mwandishi Bora mara mbili mfululizo.

Lau kama mimi ningekuwa mzushi na muongo kitabu cha Abdul Sykes nilichoandika kisingewavutia mabingwa wa African History: John Iliffe, Jonathon Glassman na James Brennan kukifanyia review na mapitio hayo kuchapwa katika Cambridge Journal of African History.

Naamini kwanza unajua heshima za wasomi hawa bobezi duniani katika fani ya historia ya Tanzania.

Pili nataka kuamini unajua nini maana ya kitabu kuingizwa katika Cambridge Journal of African History.

Cambridge Journal of African History si uwanja wa takataka.

Ukiandika kitabu cha historia kikatiwa ndani ya jarida hili basi tambua kuwa hiyo ni kazi ya maana kupita kiasi.

Lakini si tu baada ya kitabu kufikia daraja hilo kilichofuata Northwestern University, Chicago walinialika kuzungumza chuoni kwao.

Northwestern University ndiyo wanaoongoza duniani katika African History.

Yapo mengi ila tukomee hapa.

Hapa nyumbani kitabu kimechapwa mara nne na kinakwenda toleo la tano.

Hakuna kitabu cha historia ya uhuru wa Tanganyika kilichofikia kiwango hiki.
 
Elimu ndogo kabisa ya shule ya msingi kule nyaishozi tumefundishwa Wakoloni walikuja Kwa kutumia njia tatu, WAFANYABIASHARA, WAPELELEZI NA WAMISIONARI.

UMISIONARI ni moja ya tool iliyotumika kuinstall ukoloni, Christianity ni moja ya tool aliyokuja nayo mkoloni kujenga mizizi na kuitawala Africa, Kifupi Christianity ilipaswa kuwa adui wa WaAfrica,

Hizo shule unazozisema ndio zimeleta wasomi ambao mpaka Leo wamesababisha Africa kubaki Koloni la Mzungu, huwezi kuutenganisha UKRISTO na ukoloni ule mpaka huu wa Leo.

Muisilamu aliyesoma shule hizi hahitaji kutoa shukrani kama ambavyo Mtanzania aliyejengewa Reli, Bandari nk na huyu mkoloni hapaswi pia kutoa shukrani.
Leo hii maana yake pia tutoe shukrani Kwa mkoloni kuja Africa na kututawala akichukua madini, Ivory, akilima chai, kahawa nk.

UKRISTO ndio Ukoloni wenyewe na unahitaji kulipa gharama kubwa sana kwa kuleta umasikini, mgawanyiko kwenye jamii, kuharibu Mila zetu, kutesa na kuua ndugu zetu, kuiba mali zetu za asili nk.
 
Alone yule mzee wa kutetea wazee wake wa Kariakoo Mohamed Said
 
Huyu ni mzee Mohamed Said , ana jukwaa lake rasmi la kupiga propaganda za kijahidina
 
YUSUFU MAKAMBA

JAKAYA KIKWETE

hawa nao wamesoma shule za wakristo
Tena KKT ndo maana kuna mwaka kikwete aliulizwa kwamba yeye yupo jikoni na mambo upande wake sio mzuri veeepeee akawajibu kwamba bila shule za mission mimi ningekuwa muuza ujugu pale chalinze (wakaishia kusema Astaghafilullah)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…