Waislamu mliofanikiwa kwa Elimu ya Shule za Mission badala ya Madrasa kuweni na Shukrani kwa Wakristo waliowafikisha hapo mlipo

Centennial christian seminary,umefungua ukaifuatilia!?...elimu zenu huwa dini,hamuelimiki ipasavyo,ilimradi mfaulu mkawe mawakala wa vigango kwenye ofisi za umma
Ofisi zipi za umma unaziongelea?Mahospitali?mashule?
Madaktari wanapokutibia huwa wanafamya uwakala wa vigango?Walimu wanapokufundisha huwa wanafanya uwakala wa vigango?
Vipi wahandisi?
Nao ni mawakala wa vigango?
Ifike mahala uanze kuheshimu taaluma za watu wanaogusa maisha yako ya kila siku.
Hakuna namna utailwepa elimu ya kimagharibi kwenye kugusa maisha yako.umagharibi ni ukristo.
Leo unapata nguvu ya kujieleza humu JF thanks kwa elimu ya kimagharibi/ambao msingi wake ni ukristo
Ukweli ni mchungu inabidi uumeze.
 
Elimu ya kimagharibi msingi wake ukiristo!?..Galileo alinyongwa na nani,kwa nini!?..bila algebra hesabu gani zitafanyika?..nani baba wa algebra?..ave Cena (ibn Sina) unamjua,ni nani!?..khawarizimi?..jielimishe,kazi kutega mirija hazina kupitia taasisi za afya, mawakala wa vigango wakasaini mou 1992
 
Bila kujali kama nakubaliana au sikubaliani na hoja zako nyingi humu JF lazima nikiri wazi kuwa una kitu cha tofauti sana na watanzania wengi.

Namna yako ya utulivu ya kuwasilisha hoja, jinsi unavojibu posts za kebehi,dharau na hata matusi ni namna ya pekee sana.Hiki ni kitu adimu kwa watu wengi sana hasa watanzania.Wengi wetu hatuna ustaarabu wa majadiliano,wewe huwa unaita mnakasha.

Wewe ni funzo kubwa sana kwa watu wote wanaotaka kuwa bora kwenye kujenga hoja,wanaotaka kuwa wakomavu kwenye hoja za matusi na lugha zisizofaa na kutopindishwa kirahisi ili watoke kwenye hoja zao kutokana na mihemko ya unaojadiliana nao.

Asante kwa hili somo zuri mzee wangu ma Mungu akutunze watu wengi wapate kujifunza kupitia wewe hili somo muhimu hasa kwa kizazi hiki cha vijana wa sasa.
Mny...
Ahsante sana ndugu yangu.
 
Elimu ya kimagharibi msingi wake ukiristo!?..Galileo alinyongwa na nani,kwa nini!?..bila algebra hesabu gani zitafanyika?..nani baba wa algebra?..ave Cena (ibn Sina) unamjua,ni nani!?..khawarizimi?..jielimishe,kazi kutega mirija hazina kupitia taasisi za afya, mawakala wa vigango wakasaini mou 1992
Unauliza maharage gerezani?Hao uliowataja wako kwenye field moja tu.Ni kama tone la maji ya uhai kwenye bahari.
Inahitaji mganga wa kienyeji kujua kuwa ulimwengu wa matibabu wa leo msingi wake ni ukristo?
Nitajie wasomi wakubwa wa leo wa kiislam ambao hawajasoma magharibi na wana impact
 
Labda Mzee Mohamed Said anaweza kuwa na maoni tofauti.
Mat...
Watu wa kwanza katika Pwani ya Afrika ya Mashariki kujua zile zinazoitwa 3Rs ni Waislam yaani Reading, Writing and Arithmetic.

Krapf alipofika kwa Chief Kimweri, Vuga alimkuta yeye na wanae wanajua kusoma na kuandika kwa hati za Kiarabu.

Waislam wamesoma elimu hii katika madrasa.

Wakoloni walipoingia kwa khiyana zao wakapiga marufuku matumizi ya hati za Kiarabu wakaleta hati za Kirumi na kuanza kusomesha katika shule zao.

Lakini walimu wa mwanzo waliowatumia katika shule hizi walikuwa Waislam.

UMCA walipotoka Kiungani Zanzibar wakajenga shule Mkuzi, Tanga na wakabatiza watoto wengi wa Kiislamu katika hizi shule zao.

Ndiyo hawa akina Hugh Kayamba na mwanae Martin Kayamba.

Asili yao hawa ni Waislam.

Akina Dunstan Omari baba yake alibatizwa na kuwa Mkristo.

Halikadhalika Steven Mhando na mdogo wake Peter.

Wabondei kama kabila liliathirika sana katika ubatizaji.

Hawa wote kwa kuwataja wachache wameacha alama katika historia ya Tanganyika.
 
Wanabodi,

Watanzania wote waliosoma enzi za mkoloni mpaka tunapata uhuru, tumekuwa na elimu ya aina 3. Shule za serikali, Government Schools, Shule za Mission, na elimu ya madras kwa ndugu zetu Waislamu.

Shule za serikali zilikuwa chache na zilichukua wanafunzi wachache tena vichwa kweli kweli, hivyo Watanzania wengi waliemika kupitia Shule za Mission.

Elimu ya madrasa iliwahusu Waislamu pekee, lakini shule za serikali na shule za Mission zilichukua watu wa dini zote bila ubaguzi wowote.

Hivyo Watanzania wengi wa zamani waliobahatika kusoma elimu ya secondary, walisoma shule za misheni.

Kilichofanya Wakristo wengi zaidi kuwa ni wasomi kuliko Waislamu, ni changamoto ya ada za shule.

Watoto wa mikoa yenye mazao ya biashara, waliweza kusoma zaidi kwasababu wazazi wao waliweza kulipa ada, kutokana na kupata kipato, lakini watoto wa mikoa ambayo haikuwa na mazao ya biashara ikiwemo mikoa yote yenye Waislamu wengi, hawakubahatika kupata elimu ya kisasa.

Hali hii ilipelekea hata uendeshaji wa harakati za uhuru, kuongozwa na wasomi Wakristo, mfano vyama vyote vya siasa vilivyopigania uhuru, kuanzia AA kiliongozwa na Mkristo, Cecil Matola, TAA ikaongozwa na Dr. Vedastus Kyaruzi na TANU ikaongozwa na Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.

Kitu kizuri sana Shule za Mission zilichowafanyia Watanzania, akitokea Mwanafunzi very bright, akafanya vizuri mitihani yake na kufaulu vizuri, wale waalimu wa shule za Mission, usually makasisi, waliwachukua watoto hao na kuwasomesha bure, hivyo ndio wengi wa wasomi wa Kiislamu walivyopatikana, hivyo watu kama Juma Mwapachu na nduguye Bakari, kina Hamza Aziz, Inspector Rashid na Waislamu wengi wa enzi hizo, walisoma sekondari kwa hisani ya Shule za Mission.

Hisani hii, sio kwa ndugu zetu Waislamu pekee, hata Wakristo kutoka maeneo ambayo hawana mazao ya biashara, hivyo umasikini wa kipato unasababisha watoto wao hawezi kulipiwa ada, na kutosoma sana.

Hivyo wasomi wa mikoa ya Singida na Dodoma, kama kina John Samwel Malecela na nduguye Job Lusinde, washukuru sana Mission, vinginevyo bila hisani ya Shule za Mission, kuna watu wangeishia kuchunga mbuzi au kupiga dufu au kuadhini tuu lakini sasa ni wasomi wazuri na waandishi mahiri kwa hisani ya Shule za Mission.

Hivyo hili ni bandiko la kuwakumbusha ndugu zetu Waislamu waliofaidika na hisani ya kusomeshwa shule za Mission, wakumbuke fadhila, wawe ni watu wa shukrani, wawashukuru sana Wakristo, wazishukuru shule za Mission walizosomea, na kuwashukuru wale Makasisi waliowaokoa.

Ukifadhiliwa, usiwe mtovu wa fadhila, haiwezekani mtu ufadhiliwe shule za Mission, usome bure, halafu kila uchao ni kuwabeza tuu hao Wakristo waliokusomesha elimu yao hadi unaweza kuandika kwa kuwadogosha na kuwatukuza na kuwakweza Waislamu, mara kulalamikia mfumo Kristo, mara kulalamika, Waislamu wanabaguliwa kielimu, mara hivi mara vile...

Baada ya uhuru, Mwalimu Nyerere akataifisha shule zote za mission na Hospital zote za mission na kuigeuza za serikali, akatoa elimu bure kwa wote tangu darasa la kwanza hadi la chuo kikuu ili Watanzania wote wa dini zote na makabila yote wapate haki sawa ya elimu ya juu.

Wakati huo tukitumia mitaala ya Cambridge na mitihani ya Cambridge, bado walioingia sekondari ni watoto wa makabila yale yale, Wachagga, Wahaya, Wanyakyusa, Wasukuma, Wahehe, na watu wa dini ile ile!.

Nyerere akafuta mitihani Cambridge, tukaanzisha Baraza letu la mitihani na mitaala yetu, mitihani tukatunga wenyewe, bado wanaopasi ni makabila yale yale na dini ile ile.

Ndipo tukakubali ukweli mchungu kumbe kiwango cha IQ hakifanani kwa dini zote na makabila yote, ikakawa sasa inafanyika affirmative action ili ndugu zetu hawa nao wasome na makabila yote wasome, kwa kuweka different cut off points maeneo tofauti tofauti. The highest ni Bukoba cut off point ni 90, Kilimanjaro 80, Mbeya 70, Iringa, Kanda ya Ziwa 60. Muslim dominated areas 40, primitive tribes ikashushwa mpaka 0 kwa Hadzabe, na wakasomeshwa kwa nguvu mpaka form 4 na wote wakapata zero!.

Utaratibu huu ulisaidia sana Watanzania wote kupata fursa za elimu ya juu. Bakwata na taasisi za Kiislamu pia zikaanzisha sekondari za elimu dunia, japo performance ya Shule ya Islamic Seminary ilikuwa... niliwahi kuuliza humu Inawezekana Vipi Zanzibar Kuna Div I, Div II, na Div III Chache, Ila Div IV na Div Zero Nyingi?!. pia niliwahi kuuliza Je, kuna tofauti ya IQ za Watanzania kutokana na dini zao? Kuna dini wanapasi sana, wanafeli sana, huwa wanabaguliwa na kudhulumiwa?

Na hata baada ya Waislamu kusoma Shule za Mission by default, lakini sasa, nina rafiki zangu wengi ambao ni Waislamu, lakini wanasomesha watoto wao Shule za Mission, by choice, kutokana na ubora wa elimu unaotolewa na Shule za Mission, hawa wana appreciate sana Wakristo na Shule zetu, ila baadhi ya wale waliosomeshwa na Mission, badala ya shukrani ni kuwabeza tuu kila uchao!, jambo hili halina karma njema!, badilikeni shukuruni!

Hitimisho,
Tanzania ni circular state, haina dini, ila watu wake wana dini zao, ni muhimu sana watu humu tukawa na religious tolerance ya kuzivumilia dini na imani za wengine bila kuzibeza na kuzichokoa from time to time.

Kuwa appreciative ni pamoja na Wakristo kuwa na shukrani kwa Waislamu na mfono mzuri ni mimi mwenyewe nilipopandisha bandiko hili Je, kuna uhusiano kati ya IQ, Dini ya mtu na Longevity? Naomba kuwatumia Marais wa Tanzania kama Sampling hapa nilieleza jinsi viongozi Waislamu walivyo waungwana. Uungwana huu haupo kwa viongozi Wakristo hivyo unaweza kuwa umechangiwa na ile elimu ya madrasa.

Ndugu zetu Waislamu mliofaidika na shule za Mission, kuweni na shukrani kwa aliyewafikisha hapo.

Paskali
Rejea ya Nyuzi nyingine za mwandishi kuhusu kuwa na shukrani, appreciation
Hapo kwenye IQ inaonekana hujui maana yake mtu anahifadhi msahafu mzima kichwani ashindwe na definition ya what is biology na branch zake kiufupi kitu alichofanya nyerere kwa waislamu mungu atampa hukumu iliyo sahihi kwake harakati zote za uhuru zilifanywa na waislamu aliporudi akawageuka waislamu walikuwa matajiri sana mpaka leo hvyo hakuna hoja zaidi ya kukata majina ya waislamu necta mpaka sheh ponda alitaka kuchoma necta pale necta hajawahi kuongeza muislamu what do you expect zaidi ya kutimiza ilani ya kanisa katoliki eti feza boys and girls na tambaza wanaiba mitihani kisa tu ni shule za kiislamu zinazofaulisha sana wakataka kuzipoteza kwenye ramani hujui unachokiongea ww.
 
Unauliza maharage gerezani?Hao uliowataja wako kwenye field moja tu.Ni kama tone la maji ya uhai kwenye bahari.
Inahitaji mganga wa kienyeji kujua kuwa ulimwengu wa matibabu wa leo msingi wake ni ukristo?
Nitajie wasomi wakubwa wa leo wa kiislam ambao hawajasoma magharibi na wana impact
Nimekuuliza Galileo alinyongwa na nani?..jibu,halafu unipe uhusiani wa elimu na ukiristo ikiwa Galileo alinyongwa,unadai wapi field moja,maana yake hujasoma,ave Cena SI sawa na khawarizmi,wakati crusaders wapo arabuni,mmwenzao akiumwa kipanda uso walimdunda magongo ya kichwa ATI shetani kapanda,wakati huo waarabu wakiwa na riba ya hilo,elimu hii Haina uhusiano na dini yoyote
"Al-Khwarizmi | Biography & Facts | Britannica" Al-Khwarizmi | Biography & Facts
 
TEC Haina darasa la Saba ina masters na PhD tu Haina darasa la Saba kama bakwata
Wezi wa vyeti vya kupewa huko kweny mission schools ni vilaza , wanapewa vyeti mbona hamsomi na wenzenu shule moja , kuna nn?

Papa wako mmoja kasoma islamic science , wewe kilaza hujui 😀 😀
 
Chuki zenu zimejificha sanaa lkn sasa ona ata huyu alokua mtangazaji maarufu ameshaitokeza chuki yake hadharani
Mkuu Akhi , wabongo bana shida sana!, mtu ukihoji tuu baadhi ya vitu, unanyooshewa kidole cha chuki!, hata yule Blaza wangu, nilipomuuliza hili swali,
View: https://youtu.be/Ta0URHvUlko?si=JDJm89pJOtabv71i nilinyooshewa kidole kuwa ninamchukia!! Kwanini Pasco haipendi serikali ya Magufuli?

Kwa taarifa yako, japo mimi ni Mkristo Mkatoliki, ni Mkatoliki die hard anayefuata Biblia, hakuna popote Mungu amezuia wake wengi, mimi mke wangu wa kwanza ni Muislamu!, na Wanzanzibari ni mashemeji, almanusura nisilimu!.

Nimeishi chumba kimoja na Muislamu chuoni TSJ, na tukaajiriwa siku moja RTD, tukapangiwa nyumba moja, mwezi Mtukufu mpaka leo nafunga!.

Licha ya mimi kuwa Mkristo, naipiga dua hii daily huku nikielekea kibla!.
SALA YA KUMUOMBA MSAMAHA MWENYEZI MUNGU NA KUMSHUKURU 24/7
1. EWE MWENYEENZI MUNGU, MWINGI WA REHEMA,
NINAKUOMBA NDANI YA NAFSI YANGU, UNISAMEHE MAKOSA YANGU YOTE NIYOTENDA KWA KUJUA, AU KWA KUTOKUJUA.

EWE MWENYEEZI MUNGU, UNAYAJUA MAKOSA YANGU YOTE
NINAKUOMBA UNISAMEHE. (RUDIA MARA 19)

2. EWE MWENYEENZI MUNGU, MWINGI WA REHEMA
NINAKUSHUKURU KWA NEEMA ZAKO ZOTE JUU YANGU MIMI,
ULIZO NIJAALIA, UNAZO NIJAALIA NA UTAKAZO NIJAALIA.
EWE MWENYEENZI MUNGU KWA DHATI YA NAFSI YANGU, NINAKUSHUKURU. (RUDIA MARA 19)

SIKU YA JUMAMOSI
MUDA WA KUSWALI
USIKU: KUANZIA SAA 5:00 USIKU MPAKA SAA 11:00 ALFAJIR

MCHANA NI KUANZIA SAA 12:30 ASUBUHI MPAKA SAA 12:30 JIONI

URADI/TAMKO:
YA FATTAHU, YA RAZZAQU
TAFSIRI YA MANENO HAYO

YA FATTAHU – EWE MWENYEENZI MUNGU MWINGI WA REHEMA MWENYE KUFUNGUA KILA KILICHOFUNGWA

YA RAZZAQU – EWE MWENYEENZI MUNGU MWINGI WA REHEMA, MWENYE KUTOA RIZKI KWA VIUMBE VYAKO SOTE

RUDIA TAMKO “YA FATTAHU, YA RAZZAQU” MARA 797 KUIKAMILISHA SALA HII

SIKU YA JUMAPILI
MUDA WA KUSWALI
USIKU: KUANZIA SAA 5:00 USIKU MPAKA SAA 11:00 ALFAJIR

MCHANA NI KUANZIA SAA 12:30 ASUBUHI MPAKA SAA 12:30 JIONI

URADI/TAMKO: :
YA HAYUU YA QAYYUM

TAFSIRI YA MANENO HAYO
YA HAYUU – EWE MWENYEENZI MUNGU ULIYE HAI NA USIOKUFA, WEWE NI UHAI WA MILELE
YA QAYYUM – EWE MWENYEEZI MUNGU MWENYE KUUMBA VITU VIKAMILIFU VISIVYOKUWA NA KASORO

RUDIA TAMKO “YA HAYUU YA QAYYUM” MARA 174 KUIKAMILISHA SALA HII

SIKU YA JUMATATU
MUDA WA KUSWALI
USIKU: KUANZIA SAA 5:00 USIKU MPAKA SAA 11:00 ALFAJIR

MCHANA NI KUANZIA SAA 12:30 ASUBUHI MPAKA SAA 12:30 JIONI

URADI/TAMKO:
YA RAHMAN, YA RAHIM
TAFSIRI YA MANENO HAYO

YA RAHMAN – EWE MWENYEENZI MUNGU MWENYE KUNEEMESHA WAJA WAKE WOTE

YA RAHIM – WEWE MWENYE KUNEEMESHA WAJA WEMA WA PEPONI /AHERA

RUDIA TAMKO “YA RAHMAN, YA RAHIM” MARA 556 KUIKAMILISHA SALA HII

SIKU YA JUMANNE
MUDA WA KUSWALI
USIKU: KUANZIA SAA 5:00 USIKU MPAKA SAA 11:00 ALFAJIR

MCHANA NI KUANZIA SAA 12:30 ASUBUHI MPAKA SAA 12:30 JIONI

URADI/TAMKO:
YA MALIK, YA QUDDUSU

TAFSIRI YA MANENO HAYO
YA MALIK – EWE MWENYEENZI MUNGU MWENYE KUMILIKI SIKU YA HUKUMU

YA QUDDUSU – EWE MWENYEEZI MUNGU, MWENYE KUTAKASIKA KWA UADILIFU WAKO.

RUDIA TAMKO “YA MALIK, YA QUDDUSU” MARA 342 KUIKAMILISHA SALA HII

SIKU YA JUMATANO
MUDA WA KUSWALI
USIKU: KUANZIA SAA 5:00 USIKU MPAKA SAA 11:00 ALFAJIR

MCHANA NI KUANZIA SAA 12:30 ASUBUHI MPAKA SAA 12:30 JIONI

URADI/TAMKO:
YA ALIYU, YA ADHWIM
TAFSIRI YA MANENO HAYO
YA ALIYU – EWE MWENYEENZI MUNGU ULIYE JUU YA KILA KITU ULICHOKIUMBA
YA ADHWIM – EWE MWENYEENZI MUNGU MKUU WA WAKUU WOTE
RUDIA TAMKO “YA ALIYYU, YA ADHWIM” MARA 342 KUIKAMILISHA SALA HII

SIKU YA ALHAMISI
MUDA WA KUSWALI
USIKU: KUANZIA SAA 5:00 USIKU MPAKA SAA 11:00 ALFAJIR
MCHANA NI KUANZIA SAA 12:30 ASUBUHI MPAKA SAA 12:30 JIONI

URADI/TAMKO:
YA KABIR YA MUTAAL
TAFSIRI YA MANENO HAYO
YA KABIR –. EWE MWENYEENZI MUNGU ULIYEMKUU WA VYOTE, HAKUNA KINACHOKUSHINDA WEWE KUKIKABILI
YA MUTAAL – EWE MWENYEENZI MUNGU MTUKUFU, HAKUNA ALIYETUKUKA ZAIDI YAKO
RUDIA TAMKO “YA KABIR, YA MUTAAL MARA 342 KUIKAMILISHA SALA HII

SIKU YA IJUMAA
MUDA WA KUSWALI
USIKU: KUANZIA SAA 5:00 USIKU MPAKA SAA 11:00 ALFAJIR
MCHANA NI KUANZIA SAA 12:30 ASUBUHI MPAKA SAA 12:30 JIONI
URADI/TAMKO:
YA KAATI, YA GHANII
TAFSIRI YA MANENO HAYO
YA KAATI –. EWE MWENYEENZI MUNGU MWENYE KUTOSHELEZA MAHITAJI
YA GHANII – EWE MWENYEENZI MUNGU MWENYE UTAJIRI KUTOSHELEZA VIUMBE WAKO WOTE

RUDIA TAMKO “YA KAATI, YA GHANII” MARA 1,171 KUIKAMILISHA SALA HII

Mtu anayefanya haya, anaweza kuuchukia Uislam?.

Hivi sasa niko busy kulishauri Kanisa Katoliki Tanzania turuhusiwe wanne kama wenzetu "Pongezi Rais Magufuli Kuwa Mkweli Daima. Tuanzishe Church of Africa, Tuoe Wake Wengi, Tuzae Watoto Wengi?"
Niuchukie Uislam for what?!.
P
 
😀 😀Wewe ni fala kasome historia ya kikwete , hamna unachojua ...Wajenge shule kwani ni wakoolni ? Hao wakoloni pwani walipata ukinzani pwani walishakuwa wanajitambua .

NYie ndio kwanza mlikuwa mnavaa nyasi na kunywa uchafu ule .

Kamuangalie sativa huko
Mlijitambuaje wakati mlkuwa na ujinga mwingi,mlijua kuvaa msuli tu labda,wakati huo Sisi tunapiga kitabu
 
Huyu ni mzee Mohamed Said , ana jukwaa lake rasmi la kupiga propaganda za kijahidina

Mbele ya Mwenyezi Mungu tunawajibika kwa kila kitu, especially kuongea uongo au kufitini watu. Kumwaga damu sababu ya dhana ya udini ni dhambi kama dhambi nyingine.
Kutaka dini moja ipewe special status, nao ni uongo mkubwa ndani ya nafsi. Anayetaka kujidanganya aendelee. Ngoja akifika mwisho mvi zimejaa kila sehemu atajua hajui
 
Kwa nini tumuibue Al Kwarizmi wa enzi hizo?Nimekuuliza kama hicho ndo kichwa pekee mnachokiaminia?Hebu njoo karne ya 16 hadi leo.Bila ukristo dunia ingekuwa hivi ilivyo leo?
Kwa nini mnakumbilia Ulaya kwa Makafiri na kuzaliana hovyo ili mtawale kama mlivyofanya Lebanon?Kwa nini hampaendelezi kwenu kwa kufuata teknolojia zenu?

Nimekuuliza Galileo alinyongwa na nani?..jibu,halafu unipe uhusiani wa elimu na ukiristo ikiwa Galileo alinyongwa,unadai wapi field moja,maana yake hujasoma,ave Cena SI sawa na khawarizmi,wakati crusaders wapo arabuni,mmwenzao akiumwa kipanda uso walimdunda magongo ya kichwa ATI shetani kapanda,wakati huo waarabu wakiwa na riba ya hilo,elimu hii Haina uhusiano na dini yoyote
"Al-Khwarizmi | Biography & Facts | Britannica" Al-Khwarizmi | Biography & Facts
a
 
Wanabodi,

Watanzania wote waliosoma enzi za mkoloni mpaka tunapata uhuru, tumekuwa na elimu ya aina 3. Shule za serikali, Government Schools, Shule za Mission, na elimu ya madras kwa ndugu zetu Waislamu.

Shule za serikali zilikuwa chache na zilichukua wanafunzi wachache tena vichwa kweli kweli, hivyo Watanzania wengi waliemika kupitia Shule za Mission.

Elimu ya madrasa iliwahusu Waislamu pekee, lakini shule za serikali na shule za Mission zilichukua watu wa dini zote bila ubaguzi wowote.

Hivyo Watanzania wengi wa zamani waliobahatika kusoma elimu ya secondary, walisoma shule za misheni.

Kilichofanya Wakristo wengi zaidi kuwa ni wasomi kuliko Waislamu, ni changamoto ya ada za shule.

Watoto wa mikoa yenye mazao ya biashara, waliweza kusoma zaidi kwasababu wazazi wao waliweza kulipa ada, kutokana na kupata kipato, lakini watoto wa mikoa ambayo haikuwa na mazao ya biashara ikiwemo mikoa yote yenye Waislamu wengi, hawakubahatika kupata elimu ya kisasa.

Hali hii ilipelekea hata uendeshaji wa harakati za uhuru, kuongozwa na wasomi Wakristo, mfano vyama vyote vya siasa vilivyopigania uhuru, kuanzia AA kiliongozwa na Mkristo, Cecil Matola, TAA ikaongozwa na Dr. Vedastus Kyaruzi na TANU ikaongozwa na Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.

Kitu kizuri sana Shule za Mission zilichowafanyia Watanzania, akitokea Mwanafunzi very bright, akafanya vizuri mitihani yake na kufaulu vizuri, wale waalimu wa shule za Mission, usually makasisi, waliwachukua watoto hao na kuwasomesha bure, hivyo ndio wengi wa wasomi wa Kiislamu walivyopatikana, hivyo watu kama Juma Mwapachu na nduguye Bakari, kina Hamza Aziz, Inspector Rashid na Waislamu wengi wa enzi hizo, walisoma sekondari kwa hisani ya Shule za Mission.

Hisani hii, sio kwa ndugu zetu Waislamu pekee, hata Wakristo kutoka maeneo ambayo hawana mazao ya biashara, hivyo umasikini wa kipato unasababisha watoto wao hawezi kulipiwa ada, na kutosoma sana.

Hivyo wasomi wa mikoa ya Singida na Dodoma, kama kina John Samwel Malecela na nduguye Job Lusinde, washukuru sana Mission, vinginevyo bila hisani ya Shule za Mission, kuna watu wangeishia kuchunga mbuzi au kupiga dufu au kuadhini tuu lakini sasa ni wasomi wazuri na waandishi mahiri kwa hisani ya Shule za Mission.

Hivyo hili ni bandiko la kuwakumbusha ndugu zetu Waislamu waliofaidika na hisani ya kusomeshwa shule za Mission, wakumbuke fadhila, wawe ni watu wa shukrani, wawashukuru sana Wakristo, wazishukuru shule za Mission walizosomea, na kuwashukuru wale Makasisi waliowaokoa.

Ukifadhiliwa, usiwe mtovu wa fadhila, haiwezekani mtu ufadhiliwe shule za Mission, usome bure, halafu kila uchao ni kuwabeza tuu hao Wakristo waliokusomesha elimu yao hadi unaweza kuandika kwa kuwadogosha na kuwatukuza na kuwakweza Waislamu, mara kulalamikia mfumo Kristo, mara kulalamika, Waislamu wanabaguliwa kielimu, mara hivi mara vile...

Baada ya uhuru, Mwalimu Nyerere akataifisha shule zote za mission na Hospital zote za mission na kuigeuza za serikali, akatoa elimu bure kwa wote tangu darasa la kwanza hadi la chuo kikuu ili Watanzania wote wa dini zote na makabila yote wapate haki sawa ya elimu ya juu.

Wakati huo tukitumia mitaala ya Cambridge na mitihani ya Cambridge, bado walioingia sekondari ni watoto wa makabila yale yale, Wachagga, Wahaya, Wanyakyusa, Wasukuma, Wahehe, na watu wa dini ile ile!.

Nyerere akafuta mitihani Cambridge, tukaanzisha Baraza letu la mitihani na mitaala yetu, mitihani tukatunga wenyewe, bado wanaopasi ni makabila yale yale na dini ile ile.

Ndipo tukakubali ukweli mchungu kumbe kiwango cha IQ hakifanani kwa dini zote na makabila yote, ikakawa sasa inafanyika affirmative action ili ndugu zetu hawa nao wasome na makabila yote wasome, kwa kuweka different cut off points maeneo tofauti tofauti. The highest ni Bukoba cut off point ni 90, Kilimanjaro 80, Mbeya 70, Iringa, Kanda ya Ziwa 60. Muslim dominated areas 40, primitive tribes ikashushwa mpaka 0 kwa Hadzabe, na wakasomeshwa kwa nguvu mpaka form 4 na wote wakapata zero!.

Utaratibu huu ulisaidia sana Watanzania wote kupata fursa za elimu ya juu. Bakwata na taasisi za Kiislamu pia zikaanzisha sekondari za elimu dunia, japo performance ya Shule ya Islamic Seminary ilikuwa... niliwahi kuuliza humu Inawezekana Vipi Zanzibar Kuna Div I, Div II, na Div III Chache, Ila Div IV na Div Zero Nyingi?!. pia niliwahi kuuliza Je, kuna tofauti ya IQ za Watanzania kutokana na dini zao? Kuna dini wanapasi sana, wanafeli sana, huwa wanabaguliwa na kudhulumiwa?

Na hata baada ya Waislamu kusoma Shule za Mission by default, lakini sasa, nina rafiki zangu wengi ambao ni Waislamu, lakini wanasomesha watoto wao Shule za Mission, by choice, kutokana na ubora wa elimu unaotolewa na Shule za Mission, hawa wana appreciate sana Wakristo na Shule zetu, ila baadhi ya wale waliosomeshwa na Mission, badala ya shukrani ni kuwabeza tuu kila uchao!, jambo hili halina karma njema!, badilikeni shukuruni!

Hitimisho,
Tanzania ni circular state, haina dini, ila watu wake wana dini zao, ni muhimu sana watu humu tukawa na religious tolerance ya kuzivumilia dini na imani za wengine bila kuzibeza na kuzichokoa from time to time.

Kuwa appreciative ni pamoja na Wakristo kuwa na shukrani kwa Waislamu na mfono mzuri ni mimi mwenyewe nilipopandisha bandiko hili Je, kuna uhusiano kati ya IQ, Dini ya mtu na Longevity? Naomba kuwatumia Marais wa Tanzania kama Sampling hapa nilieleza jinsi viongozi Waislamu walivyo waungwana. Uungwana huu haupo kwa viongozi Wakristo hivyo unaweza kuwa umechangiwa na ile elimu ya madrasa.

Ndugu zetu Waislamu mliofaidika na shule za Mission, kuweni na shukrani kwa aliyewafikisha hapo.

Paskali
Rejea ya Nyuzi nyingine za mwandishi kuhusu kuwa na shukrani, appreciation
Umeandika utumbo wa bata
 
Umeandika utumbo wa bata
Huna point na kwa jinsi hiyo umeamua kuandika "sweeping statement" kumponda mtoa mada. Jibu hoja baada ya hoja ndiyo sisi wasomaji tutaamua nani ni mtoa pumba na nani ana madini
 
Back
Top Bottom