Waislamu Mnafeli wapi?

Maimuna ni muislam sijawahi msikia huyo jini kwa wakristo

Ndugu zetu wangekuwa wanafuga nyuki hii nchi ingekuwa ya asali tupu, kila mtu Ana jini lake
 
Majini ni viumbe vyake Mnyaazi.

Na ndiyo viumbe vya kwanza kabisa kusilimu kuwa Waislamu ndo wakafuata Binadamu. Walisema hii ndiyo dini inayomwabudu Mola wao.

Wewe unaleta maandiko gani kutaka kutupotosha?
 
Ah Mzee wa freemasons karibu sana
Hujajibu swali nililouliza na ulilojibu sijauliza.

Hujathibitisha huo moto upo.

Mimi siwezi kuwa freemason. Kuwa freemason ni lazima uamini katika aina fulani ya Mungu. Mimi siamini Mungu yeyote.

Wewe unayeamini moto, presumably na Mungu, uko karibu na Freemasons kuliko mimi nisiyeamini kuwepo kwa moto wala Mungu.

Chukua hili kama somo la leo.
 
Sawa mkuu

Maoni yako yatazingatiwa!

Karibu sana
 
Mimi huwa mkweli katika Jambo la ukweli,sikatai kwamba hakuna masheikh ambao wanafanya hivyo,wapo na hao ni Wale wanao fanya uganga.

Lakini Dini hairuhusu ushirikina ,kwahiyo hao wahukumiwe Kwa matendo Yao na sio dini
Mwislam asiye mnafiki? Theres hope for mankind
 
Sawa mkuu

Maoni yako yatazingatiwa!

Karibu sana
Haya si maoni, hizi ni facts.

Huwezi kuthibitisha huo moto upo, kwa sababu haupo.

Siwezi kuwa Freemason, kwa sababu siamini uwepo wa Mungu.

Bisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…