Etugrul Bey
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 6,514
- 15,247
- Thread starter
-
- #61
πππ mbona unajitekenya halafu unacheka mwenyewe mkuuKwamba na mm nitapata bwana wa kislamπ shindwa pepo huyo ni bwana ako ishi nae
Naam, Majini hawatakiwi kukaa katika miili ya WanaAdamu. Nawanasihi wenye Majini kwenda kufanyiwa Ruqya ya Kishari'ah na tiba zinazokubalika Kishari'ah ili kuwaondoa Majini. Na wala sio kukaa nao. Msidanganyike na sijui Maruhani sijui Majini Sharifu, ni wahuni hao. Hao ni mashaitwani.Kumekuwa na dhana kwamba waislamu wanafuga majini kitu ambacho si kweli kabisa na hata Dini hairuhusu hivyo.
Mwenyezi Mungu anasema hakuumba majini na watu Ila isipokuwa wamwabudu Mola wao,ebu tuangalie Maandiko;
Ulivozaliwa ulikuwa unatumia WiFi Hadi ulipopata bwana wa kiarabu umeanza wekwa laini ya buzz ya zamani ( live it love it)πππ mbona unajitekenya halafu unacheka mwenyewe mkuu
Are u okay?
Ukiona mtu anaropoka ropoka ujue hayupo SawaUlivozaliwa ulikuwa unatumia WiFi Hadi ulipopata bwana wa kiarabu umeanza wekwa laini ya buzz ya zamani ( live it love it)
Tulia soma vizuri nivyoandika hapo juu.Ukiona mtu anaropoka ropoka ujue hayupo Sawa
Mimi bwana ni mtu ambaye sikasirishwi kirahisi kama unavyodhani
Always Niko cool Sana,coz najua kwenda na floor
Karibu sana
Ukiona mtu anaropoka ropoka ujue hayupo SawaUlivozaliwa ulikuwa unatumia WiFi Hadi ulipopata bwana wa kiarabu umeanza wekwa laini ya buzz ya zamani ( live it love it)
Swadakta Al akhyNaam, Majini hawatakiwi kukaa katika miili ya WanaAdamu. Nawanasihi wenye Majini kwenda kufanyiwa Ruqya ya Kishari'ah na tiba zinazokubalika Kishari'ah ili kuwaondoa Majini. Na wala sio kukaa nao. Msidanganyike na sijui Maruhani sijui Majini Sharifu, ni wahuni hao. Hao ni mashaitwani. Na kama ni Majini Waislam basi watakuwa Majini wabaya wenye kufanya maasi na mambo ya uzushi kama walivyo baadhi ya Waislam katika WanaAdamu. Hivyo hakuna Majini wazuri wanaokalia watu mwilini. Kama ni Waislam kweli waende huko wakamuabudu Allah katika makazi yao.
Sawa msalimie bwana ako wa kislamUkiona mtu anaropoka ropoka ujue hayupo Sawa
Mimi bwana ni mtu ambaye sikasirishwi kirahisi kama unavyodhani
Always Niko cool Sana,coz najua kwenda na floor
Karibu sana
Sawa mkuu nitamfikishiaSawa msalimie bwana ako wa kislam
Alipouojiwa Malcom X kwa nini aliachana na dini yake na kujiunga na uislam alijibu ya kwamba uislam unafafanua vema mambo yanayoonekana ja yasiyoonekanaMaimuna ni muislam sijawahi msikia huyo jini kwa wakristo
Ndugu zetu wangekuwa wanafuga nyuki hii nchi ingekuwa ya asali tupu, kila mtu Ana jini lake
Nitarudi mkuu ktk kujibu hadith yako maana inaonyesha ni kiasi gani umemezeshwa upuuziSio dhana ya kufuga Majini.
Bali ni kwamba Majini ni washirika wenzenu kwenye Dini ya Kiislamu.
Mfano wewe ni imamu
Unaposwalisha Majini maislamu nayo yanakuja kuhudhuria swalisha yako.
Je unayawekea vipi mazingira yao mazuri.
Unayakaribishaje
Unayaagaje baada ya swala.
Ndio maana nakuambia mwislamu bila kujua ulimwengu wa Kijini bado hujakuwa mwislamu.
Wale masharifu watoto ni kwamba wanapagawa na Majini maislamu wakiwa bado wachanga, ambayo Majini yanawapa uwezo wa kuikariri qurani yote pamoja na hadithi zake na kujua maana yake.
Bila kusoma chuo chochote.
Yuko Sharifu mmoja anajiita kabisa jina lake Shehe Sharifu Majini.
Unaweza kumwona akakupa ufafanuzi zaidi
Kwa taarifa yako kila mnapo swali na majini waislamu wanakuwepo.
Ndio maana unasikia Waislamu wanafuga Majini.
Ni kwamba ili uujue uislamu basi ni lazima uwajue Majini.
Na uwaelewe namna ya kuhusiana nao.
Na wanaofanya taqqiya?Unajua mkuu,ukiona mtu Tu anapinga kitu hata kama ukweli unajulikana ujue hawaongopei watu Bali anajiongopea mwenyewe
Kwanza kabisa elewa tofauti ya dhibitisha na thibitisha.Je wewe waeza kudhibitisha kuwa haupo?
Ukifika maeneo yaliyo na waislamu wengi kama Kigoma, Pemba, mombasa.Nitarudi mkuu ktk kujibu hadith yako maana inaonyesha ni kiasi gani umemezeshwa upuuzi
Nitarudi mkuu!
Sio dhana ya kufuga Majini.
Bali ni kwamba Majini ni washirika wenzenu kwenye Dini ya Kiislamu.
Mfano wewe ni imamu
Unaposwalisha Majini maislamu nayo yanakuja kuhudhuria swalisha yako.
Je unayawekea vipi mazingira yao mazuri.
Unayakaribishaje
Unayaagaje baada ya swala.
Ndio maana nakuambia mwislamu bila kujua ulimwengu wa Kijini bado hujakuwa mwislamu.
Wale masharifu watoto ni kwamba wanapagawa na Majini maislamu wakiwa bado wachanga, ambayo Majini yanawapa uwezo wa kuikariri qurani yote pamoja na hadithi zake na kujua maana yake.
Bila kusoma chuo chochote.
Yuko Sharifu mmoja anajiita kabisa jina lake Shehe Sharifu Majini.
Unaweza kumwona akakupa ufafanuzi zaidi
Kwa taarifa yako kila mnapo swali na majini waislamu wanakuwepo.
Ndio maana unasikia Waislamu wanafuga Majini.
Ni kwamba ili uujue uislamu basi ni lazima uwajue Majini.
Na uwaelewe namna ya kuhusiana nao.
Kuna muislamu hana majini?Shida ipo sehemu moja tu wakristo wengi hawana elimu juu ya uislam kwaiyo wanamezeshana propaganda sana juu ya uislam.
Lakini bado sioni tatizo kuitwa wafuga majini kama ufugi uwezi chukia kitu ukiona unakasilika ujue unayafuga.
hahahahahah unazingua mkaliWaislam wote mnafuga majini.......acheni kujitetea
Ukiona huna jini Basi ujue ww bado upo shallow sana
Mimi sijaongelea ushirikiano wa Uchawi kati ya mwislamu mtu na mwislamu Jini.kuna mambo unashindwa kuelewa mkuu, Majini ni viumbe kama binaadamu, wapo wa aina tafauti, wapo waislamu na wasio waislamu, wapo Waumini nawasio waumini. Jini yoyote ambaye ana mashirikiano na binaadamu kwenye mambo ya uchawi huyo ni shetani mkuu. Amelaanika kabisa. hao masharifu unaowazungumza wote ni washirikina na wachawi, Uislamu hauwatambui kabisa.