Waislamu na walokole punguze kidogo unafiki

Mfano wa unaowasema ni kimsboy ni mdini ajabu
 
No, usininifanye nijione sipo katika haki kama unavyojiona wewe.

Sasa kama sioni kuwa Uislamu ni dini ya haqi hivyo kuna haja gani ya kuendelea kuwa muislamu.

Nimejiridhisha kuwa Uislamu ni dini ya haqi ndio maana nauguata kwa kufa na kupona.
😂😂😂😂😂😂
 

Attachments

  • 1670244592501.png
    17.2 KB · Views: 9
No, usininifanye nijione sipo katika haki kama unavyojiona wewe.

Sasa kama sioni kuwa Uislamu ni dini ya haqi hivyo kuna haja gani ya kuendelea kuwa muislamu.

Nimejiridhisha kuwa Uislamu ni dini ya haqi ndio maana nauguata kwa kufa na kupona.
😂😂😂😂😂😂View attachment 2436729
 
Kwhy huo msimamo wako wa kutomtambua Mungu hauna unafiki???...Kiranga una double standards nyingi Sana sema hujijui tu

Kabla sijamtambua Mungu, thibitisha yupo kwanza.

Mimi sina unafiki wala double standard.

Kwa sababu naweza kusema wewe ni mjinga na sikupendi. Nakwambia hapa.

Wewe ni mjinga, na sikupendi.

Kila wiki nawapeleka watu ignore list kwa sababu hii. Wewe mjinga, sikupendi, sitaki kuona post yako tena, nenda ignore list. Bye.

Sina dini inayonikataza kusema sikupendi, sina falsafa inayonikataza kukuita wewe mjinga.Sina tatizo kukupeleka ignore list.

Sina tatizo la unafiki.

Tatizo lipo kwa wale wanaojidai kuwa wanahubiri dini ya upendo, halafu dini yao inakubagua kwa kukosa upendo.

Cognitive dissonance.

Unafiki.
 
Hua napenda kutumia mfano wa mtoza ushuru na mfarisayo.
Mfarisayo alijiona Bora kuliko mtoza ushuru lakini dhawabu aliipata mtoza ushuru kutokana na kujishusha kwa ke
Mtu anakuja anakwambia okoka achana na Mambo ya shetani na dhambi[emoji846]
Sasa unabaki kujiuliza alomwambia unatenda dhambi Nani? Na Kuna mtu Alo kamilika?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…