Waislamu na walokole punguze kidogo unafiki

Wewe uliyezaliwa katikati ya hizo dini uache nongwa ,,,Mimi Ni muislamu na nipo katka Haki ,,,sihitaji kuzisemea imani za Michongo hutaki ubatili njoo ktk uislamu utapata imani ya moyo
Haki gani, haki dhidi ya nani
 
Siku ukijua huo uhuni wa kujilipua mabomu na ushirikina wa kusoma ahlu badri hauhusiani na mafundisho ya kiislamu hata nukta utaona haya sana kwa uliyowahi kuyazungumza.
Jihad ni Uhuni?

Hao unaowaita wahuni huwa wanajilipua kumtetea Alah na Dini yake... Wanaita Jihad.

Leo hii wewe mmatumbi unaita Jihad Uhuni?
 
Jihad ni Uhuni?

Hao unaowaita wahuni huwa wanajilipua kumtetea Alah na Dini yake... Wanaita Jihad.

Leo hii wewe mmatumbi unaita Jihad Uhuni?
Narudia tena siku ukijua huo uhuni wa kujilipua hauhusiani na uislamu hata chembe utaona haya sana.
 
Narudia tena siku ukijua huo uhuni wa kujilipua hauhusiani na uislamu hata chembe utaona haya sana.
Nakusaidia tafsiri ya Jihad (according to Oxford Lang dictionary).

Hii hapa[emoji116]
Jihad: "a struggle or fight against the enemies of Islam"

Swali la 2 kwako: How do you fight the enemies of Islam? (Mnapigana vipi na maadui wa dini ya Islam?)

Karibu kwa majibu.
 
Nimekuuliza swali, Jibu Acha kukwepa swali.

Nimekuuliza, JIHAD NI UHUNI?
Jihad na kujilipua wapi na wapi? yaani ni kama uniulize hapa simbachawene ni mbegu ya alizeti? sasa unataka nijibu nini mkuu na umeamua kujizima data mwenyewe.
 
tafsiri iko sahihi, mtu anaweza kupigana na nafsi yake maana inaamrisha mambo machafu na mabaya, pia huweza kufanya jihad kwa mali yake akachangia dini iende mbele na pia huweza kufanya jihad ya vita sasa na hii ina masharti mengi na kuhitajia kusoma sana bali ina hatua zake na ni hatua ya mwisho kabisa na inahitaji amri ya kiongozi, sio huo upumbavu wa hao vijana wa alshabaab, boko haram, ISIS, alqaedah na wengineo hawa ni wahuni tu na ukichunguza kuna mkono wa US kuvitumia vikundi hivyo kuvuruga amani ya maeneo husika na kuutukanisha uislamu.

Jiulize silaha wanapata wapi? mwisho kwenye uislamu hairuhusiwi kujitoa uhai, na vigezo vya vita vikitimia hairuhusiwi kuua wanawake, watoto wala kukata miti na kuharibu visivyohusika na vita.
 
secondly, kwa sasa nguvu ya silaha na uwezo ni ndogo so tuko katika zama za kufanya subra na kuwasomesha watu wetu na vizazi vyetu waijue dini yao na waitumie kwenye maisha yao ya kila siku mpaka uislamu utakaposhika hatamu tena kwa mara nyingine.
 
Kwa maelezo yako unasema:

1. Jihad ni kupigana na Nafsi yako
2. Jihad kuchangia dini iende mbele

Unajichanganya sana... Kwahiyo Nafsi yako wewe ni Adui wa Uislam? Kwa hiyo maadui wa dini yenu ni nyie wenyewe?

Tuje hapa: [emoji116]

Mtu akimtukana Alah na kuzuia Dini ya Alah isiendelee mbele AU mtu akiwa ni kikwazo kwa Uislam duniani, Je Mtu huyo/Watu hao wanakuwa NI MAADUI WA UISLAM au SIO MAADUI WA UISLAM?

[emoji115] naomba jibu la hili swali
 
Unapoleta mada jaribu kutenganisha "personal interests from the general one" .

Halafu unataka uhakika gani tena maana nina amini hao wote ukiwaomba ushahidi watakupatia.
 
Mtu amejikuta tu kazaliwa kwenye uislamu au kwenye ulokole. Lakini anashupaza shingo kutetea dini yake. Mtu huyo angezaliwa upande wa pili angeshupaza hivyo hivyo. Wapumbavu wakubwa.
Kwa sisi tuliotafuta kwa mapenzi yetu dini na imani ya kweli kwa kusoma imani tofauti tofauti mpaka tukaja ku settle na moja tunaruhusiwa kushupaza shingo?
 
Mbona unajikoroga mkuu wangu, kweli nimesema nafsi na mali tu? kuhusu nafsi yenyewe ni adui wa mtu kama inamuamrisha mambo yasiyo sahihi na kuizuia ni jitihada kubwa inahitajika, kuhusu vita japo umeruka ila nimeeleza pale juu.

Ama swali lako mtu akifanya hayo uliyotaja hapo ni adui wa uislamu na waislamu pia maana heshima ya dini yetu ni kitu tumekitanguliza mbele kuliko nafsi zetu na watu wetu so atakuwa adui hakuna lugha nyingine.
 
Good. Umesema ATAKUWA ADUI.

Kwa hiyo, ni sawa nikisema kuwa Waislam Mnafanya JIHAD kwa hao maadui wa Uislam?

Mnafanya Jihad kwa maadui wa Uislam au Hamfanyi?
 
Mkuu hata hii JF unayotumia imetengenezwa na Wanasayansi, ingekuwa vizuri ungeachana nayo kwanza utengeneze yako ya dini, halafu uende kuwasema unafiki huko.

Vinginevyo wewe nawe utakuwa mnafiki kwa style ya "Baniani mbaya, kiatu chake dawa".
Kama umri huo bado hujajua maana ya Sayansi kwa kukariri kila kinachotumia akili kimetokana na Sayansi basi we ni hasara na utazidi kuwa hasara tupu duniani hadi kifo chako kikiwadia [emoji28]
 
Mbaya zaidi dini zenyewe wameletewa sio za kwao[emoji3][emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…