Troublemaker
JF-Expert Member
- Jun 8, 2015
- 20,834
- 40,641
Wanafiki.LENGO la kufuturisha ni nini? Ni kuwapa FUTARI wasiojiweza au NI kulisha wasanii WA kizazi kipya na machawa?
Inakuaje kunaandaliwa FUTARI halafu yanayoongelewa hapo ni mambo ya MPIRA WA miguu? (mpira si Haramu?) au kufuturisha ni kuandaa chakula halafu mnakua mnakula huku mnapiga story zozote zile hata za vitu vya Haramu kama mpo kijiweni?
Mnasema Mziki WA kizazi kipya unaosifia ngono na kucheza uchi NI dhambi, sasa mbona mkialikwa kwenda Kula (kufuturu) na haohao wasanii wanaoimba Mziki WA kidunia mpaka viongozi wenu wanaenda kula? Mnakulaje chakula kinachotokana na pesa za Haramu?
Yani mnaalika watu wenye pesa zao waje wafuturu (SIO wasiojiweza!), na mkiwa huko hamzungumzii mambo ya Imani labda kumrudia Mungu au nini NI watu wanapitisha mambo Yao, Mpira, Sasa au Biashara.
Hongereni Sana wakristo, mfungo wenu umekua SIO wa maonyesho, hapa sasa ndio tunapata picha Dini ipi NI ya ukweli.
Ila jamaa wanapenda kulaLENGO la kufuturisha ni nini? Ni kuwapa FUTARI wasiojiweza au NI kulisha wasanii WA kizazi kipya na machawa?
Inakuaje kunaandaliwa FUTARI halafu yanayoongelewa hapo ni mambo ya MPIRA WA miguu? (mpira si Haramu?) au kufuturisha ni kuandaa chakula halafu mnakua mnakula huku mnapiga story zozote zile hata za vitu vya Haramu kama mpo kijiweni?
Mnasema Mziki WA kizazi kipya unaosifia ngono na kucheza uchi NI dhambi, sasa mbona mkialikwa kwenda Kula (kufuturu) na haohao wasanii wanaoimba Mziki WA kidunia mpaka viongozi wenu wanaenda kula? Mnakulaje chakula kinachotokana na pesa za Haramu?
Yani mnaalika watu wenye pesa zao waje wafuturu (SIO wasiojiweza!), na mkiwa huko hamzungumzii mambo ya Imani labda kumrudia Mungu au nini NI watu wanapitisha mambo Yao, Mpira, Sasa au Biashara.
Hongereni Sana wakristo, mfungo wenu umekua SIO wa maonyesho, hapa sasa ndio tunapata picha Dini ipi NI ya ukweli.
Ujinga mtupu, huwezi kufanya kika alichofanya Muhammad, hizo Sunna ni blinding people.Sikiliza Matola hiyo ni Sunnah ya Mtume. Kufungua kwa Tende tosa, kama akikosa basi kwa Tende za kawaida kama akikosa basi kwa Maji.
Japo mtu anaweza kufungua kwa chochote kile kitakachomuwepesikia, hapana ubaya akifungua kwa chochote. Ila imependekezwa bora zaidi ni hizo hapo juu nilizozitaja.
Wakati mwengine mtuachage tu Waislam na Dini yetu, msiwe mnatusemea semea kwenye Dini yetu. Sisi Dini yetu imejitosheleza.
Ujinga mtupu, huwezi kufanya kika alichofanya Muhammad, hizo Sunna ni blinding people.
Sasa mbona waislamu wanaruhusiwa kula nguruwe kama hamna chakula kingine? huoni usanii wa dini hapo?
Allah ameshindwa Gaza, Israel leo wameuwa kiongozi mkubwa wa Hamas Gaza leo.Allah akuongoze Matola
Pamoja Sana Mkuu ThanksUmeongea ukweli ninaoujua mimi .
Much respect kwako mkuu
Kweli Mkuu Dini imegeuzwa kama Sanaa za MaoneshoIshu inayojadiliwa hapa ni dhihaka inayofanywa kwenye dini.
Huwezi kuzalilisha dini halafu ukasema una uhuru wa kujifanyia jambololote.
Hii dhihaka inayofanywa kwa uislamu kupitia haya matamasha waliyoyapachika kufuturisha inabidi ikomeshwe .
Inashangaza kidogo kuona mtu eti anaandaa tamasha la uzinduzi wa sabuni na kulipachika jina eti iftar huu ni uzalilishaji wa dini
Kweli Mkuu Mzee Bakhresa anafanya Amal nyingi na wala hajawahi kujionesha Mfano kila mwaka Ndani ya Ramadhan hupeleka ftari Magereza Pamoja na kuwalipia Fine wafungwa na kuwatoa gerezani waliofungwa kwa fine walizo shindwa kulipa lakini huwezi kuyajua sababu hajioneshi.Asalaam alkum....lengo kuu la iftari,nikuwalisha wasio jiweza,mayatimaa,maskini walio funga lakini ftari hawana,pia na kupata thawabu kwa ALLAH.kuna watu wengi tu wanafturisha yatima,maskini bila camera,walaa picha na hii ndo sia na fadhila za ftari na funga. Qruan inasema ole wao wanaufanya ria katika ibada(ria ni kujionesha,).hao wote unao waona wanakosa fadhila za iftari,maana wanafanya kwa kujionesha.yawezekana mzee baharesa alftarisha na kutoa sadaka sanaa lakini ulishamuona anatoa mbele ya camera.
Ok ngoja nikujibu kama ifuatavyo:LENGO la kufuturisha ni nini? Ni kuwapa FUTARI wasiojiweza au NI kulisha wasanii WA kizazi kipya na machawa?