Machame Juu
JF-Expert Member
- Jul 25, 2013
- 1,514
- 3,363
Ni mataifa ovu Marekani na Israel kawachonganisha. Wakati wa Al Bashir hali ilikuwa shwari kwasababu aliegemea Urusi.naomba unitajie sababu za Sudani kupigana wenyewe kwa wenyewe
Andamaneni kupinga Boko Haramu, Al Shabab, Al Kaeda na Al mufitini zote zinazoleta mateso na mauaji duniani kote kwani hayo yote ni matunda ya Uislamu.Waislamu wote tuandamane kuelekea ubalozi wa Marekani na Israel kupinga vita ya wenyewe kwa wenyewe huko Sudan katika mwezi huu mtukufu wa Ramadhani.
Licha ya kuandamana viongozi wa dini watoe tamko la kushutumu vikali vita hivi vya wenyewe kwa wenyewe hasa mwezi huu mtukufu.
Vita vya Sudani ni muhimu visimame lakini kelele zetu haziwezi kuvisimamisha tunachoweza ni kuandamana kuko.esha wizi wa fedha zetu unaofanywa na viongozi wa CCM wanailindwa na jeshi la polisi.Waislamu wote tuandamane kuelekea ubalozi wa Marekani na Israel kupinga vita ya wenyewe kwa wenyewe huko Sudan katika mwezi huu mtukufu wa Ramadhani.
Licha ya kuandamana viongozi wa dini watoe tamko la kushutumu vikali vita hivi vya wenyewe kwa wenyewe hasa mwezi huu mtukufu.
Usisahau na;Andamaneni kupinga Boko Haramu, Al Shabab, Al Kaeda na Al mufitini zote zinazoleta mateso na mauaji duniani kote kwani hayo yote ni matunda ya Uislamu.
Akikujibu ntagnaomba unitajie sababu za Sudani kupigana wenyewe kwa wenyewe
Seconded
Hakuna impact wakienda hukoKwanini msiandamane kwenda ubalozi wa sudan?
Kama wanatafuta kiki basi ni watakuwa wapuuziHakuna impact wakienda huko
Wakienda ubalozi wa USA na Israel ninkiki tosha
Mkuu mimi ni muislamu swafi kabisa.Kwani si inatosha kuandika uzi tu ya nini ujipachike uislamu ?
Elimu elimu elimuWaislamu wote tuandamane kuelekea ubalozi wa Marekani na Israel kupinga vita ya wenyewe kwa wenyewe huko Sudan katika mwezi huu mtukufu wa Ramadhani.
Licha ya kuandamana viongozi wa dini watoe tamko la kushutumu vikali vita hivi vya wenyewe kwa wenyewe hasa mwezi huu mtukufu.
Uhovyo usio kuwa na mashaka ndani yakeHakuna Muislamu wa hovyo kama wewe ,huu uzi umeandika kwa malengo yako ya kipuuzi.
Ndio maana waislamu mnadharaulika muda mwingine.Waislamu wote tuandamane kuelekea ubalozi wa Marekani na Israel kupinga vita ya wenyewe kwa wenyewe huko Sudan katika mwezi huu mtukufu wa Ramadhani.
Licha ya kuandamana viongozi wa dini watoe tamko la kushutumu vikali vita hivi vya wenyewe kwa wenyewe hasa mwezi huu mtukufu.