Waislamu tuandamane kupinga vita Sudan

Waislamu tuandamane kupinga vita Sudan

Machame Juu

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2013
Posts
1,514
Reaction score
3,363
Waislamu wote tuandamane kuelekea ubalozi wa Marekani na Israel kupinga vita ya wenyewe kwa wenyewe huko Sudan katika mwezi huu mtukufu wa Ramadhani.

Licha ya kuandamana viongozi wa dini watoe tamko la kushutumu vikali vita hivi vya wenyewe kwa wenyewe hasa mwezi huu mtukufu.
 
Andamaneni kupinga Boko Haramu, Al Shabab, Al Kaeda na Al mufitini zote zinazoleta mateso na mauaji duniani kote kwani hayo yote ni matunda ya Uislamu.
 
Waislamu wote tuandamane kuelekea ubalozi wa Marekani na Israel kupinga vita ya wenyewe kwa wenyewe huko Sudan katika mwezi huu mtukufu wa Ramadhani.

Licha ya kuandamana viongozi wa dini watoe tamko la kushutumu vikali vita hivi vya wenyewe kwa wenyewe hasa mwezi huu mtukufu.
Vita vya Sudani ni muhimu visimame lakini kelele zetu haziwezi kuvisimamisha tunachoweza ni kuandamana kuko.esha wizi wa fedha zetu unaofanywa na viongozi wa CCM wanailindwa na jeshi la polisi.
 
Waislamu wote tuandamane kuelekea ubalozi wa Marekani na Israel kupinga vita ya wenyewe kwa wenyewe huko Sudan katika mwezi huu mtukufu wa Ramadhani.

Licha ya kuandamana viongozi wa dini watoe tamko la kushutumu vikali vita hivi vya wenyewe kwa wenyewe hasa mwezi huu mtukufu.
Elimu elimu elimu

Sent from my M2010J19SI using JamiiForums mobile app
 
Waislamu wote tuandamane kuelekea ubalozi wa Marekani na Israel kupinga vita ya wenyewe kwa wenyewe huko Sudan katika mwezi huu mtukufu wa Ramadhani.

Licha ya kuandamana viongozi wa dini watoe tamko la kushutumu vikali vita hivi vya wenyewe kwa wenyewe hasa mwezi huu mtukufu.
Ndio maana waislamu mnadharaulika muda mwingine.
 
Back
Top Bottom