My Sons Legacy
JF-Expert Member
- Feb 4, 2019
- 3,592
- 11,810
Kuna taarifa ya kuwa jeshi la Sudan limeingia makubaliano na Russia ya kujengwa a naval base ndani ya red sea kwa makubaliano ya kubadilishiwa Silaha na vifaa vya kijesh. Sasa as US/NATO gain momentum in loosing it's power 😂. Wata react tu in any way, Hivyo machafuko hayo hapo Sudan ni how US/NATO reacts kutokana na kitendo cha warusi. Binafsi siwezi kataa kama mmarekan hahusiki hapo. Ni suala la kugo into details and see how is this whole thing works