Waislamu wa Tanzania, where are Black People?

Mzee Said, wewe unajitambulisha ni msomi, mimi ni Mkristo,natambua wazi kihistoria ambapo Ukristo katika baadhi ya sehemu ulienezwa kwa nguvu, na kwa mtu anaye fahamu historia ya uislamu tunajua wazi toka ndani ya Quran na historia jinsi dining hiyo ya Mtume ilivyoenezwa kwa nguvu.Hukatazwi kuitetea dini yako,but be objective Mzee wangu.
 
Brother kwa sasa makanisa yanajengwa na wazawa kwa michango
 
Mkuu tungeanzia kwenye kuwapa watoto majina ya kilugha au kiswahili ingependeza zaidi.
Sio mtu mwafrika wa Kashozi au Kiruweni ila majina yote ya kizungu au kiarabu ni ujinga na utumwa wa kifikra.
 
Wao wanajenga Nyumba za ibada ni hela zao na maamuzi yao,wewe jenga hizo Shule na Hospitali hujakatazwa,unataka kuwapangia matumizi ya hela zao?
Kweli kabisa ni hela zao na wanaweza kutumia watakavyo, ila inapokuja tu swala ni msaada inaleta ukakasi. Unajua maana ya msaada lakini!? Yani tuliomba kabisa kwamba tunashida sana ya kanisa au msikiti, au walijitolea!? Bora wangesema hata ni zawadi
 
Samahani. Kufunga swala ndio iko namna gani?
Nilivyo kusudia mimi kufunga swala ni wale wanaobebanisha mikono juu ya tumbo wakati wamesimama kwenye swala ! Na wengine huwa wamesimama na kuiachia mikono ikiwa kwenye position ya kawaida ! Sorry kwa nitakayemkwaza maana sina ujuzi katika masuala ya dini yeyote ile nimeeleza jinsi ambavyo nimekuwa nikiona na kusikia tu !!
 
Kweli kabisa ni hela zao na wanaweza kutumia watakavyo, ila inapokuja tu swala ni msaada inaleta ukakasi. Unajua maana ya msaada lakini!? Yani tuliomba kabisa kwamba tunashida sana ya kanisa au msikiti, au walijitolea!? Bora wangesema hata ni zawadi
Ukibadili jina ndio unabadili uhalisia? Rushwa uki iita takrima au zawadi ndio inakua sio rushwa?
 
Unaposema wachache unamaanisha nini. unaweza kunitajia namba angalau niweze kujenga uwiano?
Katika jiji kama la Dar Unaweza ukakuta misikiti yao miwili tu na jiji LA mwanza ukakuta wana msikiti mmoja tu !! Hapo vipi ??!!
 
Hiyo ni Bukoba KZ, Tanzania ambapo 99.9% ya Wakazi na Waislamu wa KZ ni Black people, wako wapi kwenye hiyo picha ukiondoa Bakwata na Serikali ? Hapo siyo Omani au Saudia, ni Tanzania, KZ!

Hii ni ya waarabu hawa weusi ni kujilazimisha tu na kibaya zaidi weusi hawa wanatubagua weusi wenzao kwa kujiona nao ni waarabu tayari. 😂😂
 
Jina la Tanzania limeanza 1964 sio Tanzania imeanza 1964…siku hizi shule huwa mnajifunza nini ?


kwa hiyo mimi nikisema nimezaliwa Dar es salaam nakuwa Muongo kwa kuwa nimezaliwa kabla ya huu mji kupewa jina la Dar es salaam?

kwa hiyo tukisema wageni walivamia Pwani ya Tanganyika tangu 1490 tunakuwa waongo kwa kuwa wakati huo hili eneo lilikuwa haliitwi Tanganyika?

Siyo kweli, hakuna raisi aliyezaliwa Tanzania, kwani ipo kuanzia mwaka 1964!
 
Hiyo ni Bukoba KZ, Tanzania ambapo 99.9% ya Wakazi na Waislamu wa KZ ni Black people, wako wapi kwenye hiyo picha ukiondoa Bakwata na Serikali ? Hapo siyo Omani au Saudia, ni Tanzania, KZ!

Mwarabu ni black, mzungu hamhesabu muarabu ni white. Asili ya muarabu ni mweusi, ni pale walipooana na watumwa wa kizungu, waliotoka mashariki ya Ulaya, ndio wakapatikana machotara weupe. Mwarabu asili yake ni mweusi.
 
Sio kosa lako. Kwahiyo wewe umedanganywa ukaamini watu weusi wote waliishi kama Wahadzabe? Na vipi uone yale si maisha ila mfumo aliyokuwekea mzungu ndio maisha mazuri? Tafakari!

kulikuwa na mfumo gani wa elimu kabla ya wakoloni? watu waliishi vipi? kulikuwa na mfumo wa maji safi, nyumba bora, usafiri wa haraka? umeme? mifumo ya sheria na utoaji haki?

kama haya maisha tunayaoishi unaona ni mabaya kuliko ya zamani, kwani wewe nani kakunyima kusihi maisha ya zamani? umelazimishwa kuwa na smartphone? umelazimishwa kuishi nyumba ya umeme? umelazimishwa kutumia usafiri wa gari? nenda porini huko ukaishi kama mababu zako walivyoishi wala hakuna mtu atakuzuia mzee
 
😁 katika maadili ya kiislamu, hutakiwi kutoa msaada na kuwa mstari wa mbele kujionesha kuwa wewe ndo umesaidia. Mi nadhani mtoa mada si mchokozi, angekaa mmoja kama mwakilishi na waumini wahusika wakawepo ingependeza sana
 
Umeelezea vizuri sana.
 
Umeelezea vizuri
 
Ukibadili jina ndio unabadili uhalisia? Rushwa uki iita takrima au zawadi ndio inakua sio rushwa?
Mkuu hapo wala sio swala la kubadilisha lugha bali dhana inayojengwa juu yetu naona sio nzuri na inatutafsirisha vibaya. Hivi mjukuu wako leo aje asikie babu aliomba kusaidiwa kanisa/msikiti kwa rafiki zake wanyonyaji wakati huo alikua na shida kila mahali zimemzunguka atatafsiri vipi!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…