Waislamu wa Tanzania, where are Black People?


Na hapo ndipo shida ilipo, nchi yetu kama tuijuavyo leo hii kwa mipaka ya Kijiografia ilihusisha Rwanda na Burundi ya leo yote iliitwa German East Afrika, hivyo unatumia kigezo gani kusema familia ya Nyerere au Magufuli hawana asili ya Tanzania kama Rwanda na Burundi zote tulikuwa nchi moja?
 
Yaani kwa Kasi hii ya kuzaana hiyo race itatowekaje? Wewe sema meza kuu huwezi onekana kwa sababu za umaskini wako..

Top ten ya matajiri Bongo hakuna Hata mweusi mmja,sisi tunajua majungu na fitina tuu.
Yaani kwa Kasi hii ya kuzaana hiyo race itatowekaje? Wewe sema meza kuu huwezi onekana kwa sababu za umaskini wako..

Top ten ya matajiri Bongo hakuna Hata mweusi mmja,sisi tunajua majungu na fitina tuu.
Hahaa! Mbona Mengi amekaa sana top 10 ya matajiri, kutokuwa top 10 haimaanishi ndo tusione mabaya ya kwenye picha. Kwa hyo kwenye hiyo picha tunaonesha utajiri wa watu au uzinduzi wa msikiti ndani ya ardhi yetu? Hapo pichani ni km tumealikwa na waarabu.
 
Miji kama Sur na Salalah huko Oman ni miji ya waarabu ambao ni weusi kabisa.
 
Ache kudanganya , bilal alikuwa mtumwa wa muhammad , mpaka muhammad anakufa kwa kulishwa sumu, bilali akarudi kwa Alie mnunu anamlilia Sana amuachie huru,
 
Mjinga...
Inabidi tuwasomeshe hawa ndugu zetu historia ya Uislam.
Mtume SAW anaogoza sala nyuma yake kasimama Bilal, mtu mweusi kutoka Ethiopia.
Bilal kanunuliwa akawa mtumwa wa muhammad mpaka muhammad kafa
Poor Bilal akarudi kwa Alie mnunua akamuomba na kumlilia amuachie huru apo Bilal ni Mzee tayari

Huyu hapa Bilal karudi kwa Abu bakr baada ya Muhammad kufariki anamlilia Abu bakr amuachie huru

Bilal said to Abu Bakr, "If you have bought me for yourself then keep me (for yourself), but if you have bought me for Allah's Sake, then leave me for Allah's Work." -Sahih Bukhari 5:57:99
 
We utakuwa muislam wa sayari nyingine. Waislamu tunaishi nao ktk jamii zetu, wanajiona wao ndo km vile wanaishi kwa Mungu wakati ni wa kuja tu walikuta dini km kristo zilishakuwepo enzi na enzi.
 
Hiyo ni Bukoba KZ, Tanzania ambapo 99.9% ya Wakazi na Waislamu wa KZ ni Black people, wako wapi kwenye hiyo picha ukiondoa Bakwata na Serikali ? Hapo siyo Omani au Saudia, ni Tanzania, KZ!

Wawe kwenye picha ya wafadhili wa msikiti ili iweje. Tafuta pesa acha ujinga, ukiwa na hela unajenga msikiti na picha unapiga mwenyewe
 
Hujui English, soma vizuri, na kama hujui, tafuta msomi wa kiislamu, akueleweshwe, kupitia kwa lugha ya kiarabu.
 
Si huwa mnasema hamna matabaka wala madhehebu kwa sababu kitabu kilishushwa kama kilivyo hakijatiwa mkono na mtu na kinahifadhiwa mioyoni mwa watu na tafsiri ni moja namna ya kusali ni moja sasa hayo matabaka ni ya wapi?
 
Kunywa maji ndugu umeongea kwa hisia sana 😂.
Sawa ni mtazamo wako hakuna neno. Tunatofautiana mitazamo na si kitu kibaya mradi hatudhuriani.
 
Hakuna MTU yeyote hapa Tanganyika au Tanzania ambaye aliteremshwa moja kwa moja toka mbinguni !! Wote ni wahamiaji tu !! Kwanza tujiulize kwani binaadamu wa kwanza alianza anzaje hapa duniani ??!! Walikuwa wanazuka tu katika kila nchi au ilikuwaje hasa ??!!
 
Hujui English,soma vizuri,na kama hujui,tafuta msomi wa kiislamu,akueleweshwe,kupitia kwa lugha ya kiarabu.
Usijifiche kwenye lugha , Bilal alinunuliwa na Abu ,tajiri ambae ndie alimpa zawadi muhammad Bilal , Yani binadamu mweusi Bilal alitolewa zawadi muhammad akamtumikisha mpaka kafa ndio Bilal akarudi kwa Abu kumuomba amuachie huru
 
Lutemi,
Huwezi kuwafurahia Waarabu kwa kuwa ni Waislam.
Haishangazi.

Umetosheka na Wazungu.
Waarabu wa Shia, suni, bohara Ismail? Je hao Waarabu wanampenda Aisha mke mdogo wa mudi, au wanampenda imam au mudi mwenyewe ama dada yake mudi Fatima?
 
Kwahiyo unataka kusema huko China Japan na Korea hakuna
amani kwa sababu ya karate na kung fu?
Sidhani kama wanafundishia kwenye nyumba za ibada huko ulikokutaja. Kuna mambo ya kijamii na ya kiimani. Sa karate na imani ya Mungu wapi na wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…