Sol de Mayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 6,515
- 6,230
Hiyo ni Bukoba KZ, Tanzania ambapo 99.9% ya Wakazi na Waislamu wa KZ ni Black people, wako wapi kwenye hiyo picha ukiondoa Bakwata na Serikali ? Hapo siyo Omani au Saudia, ni Tanzania, KZ!
Huo ni uongo,hakuna aya inayoitwa Sahihi Muslim,ndani ya Qur'an.Aya si Maneno yangu ni Maneno ya allah
...................The most hateful among the creation of Allah is one black man among them (Khawarij).......Sahih Muslim 1066g
Wewe ni mwarabu tu. Hatuvitaki hivyo wajenge huko kwao, tutasaswali hata chini ya mti maana mungu hayuko kwenye nyumba za ibada. Tunataka mabarabara na hospitali siyo kutuletea taleban huku.Wao wanajenga Nyumba za ibada ni hela zao na maamuzi yao,wewe jenga hizo Shule na Hospitali hujakatazwa,unataka kuwapangia matumizi ya hela zao?
Bilal ni mtumwa na alichaguliwa maana ma bwanyenye waarabu walikuwa hawezi kuamka kombora kwenda kuita watu, muhammad alimtesa huyu jamaa Mpaka muhammad kafa ndio jama akaachiwa huru na AbuMpiga adhana wa kwanza katika uislam anaitwa Bilal ni mtu mweusi mwenye asili ya Ethiopia na alichaguliwa na mtume Muhammad mwenyewe
Mpaka leo kuna wazungu ambao wanadhani Watu weusi ni subhuman. Kwa waarabu pia. Ila naona kihistoria wazungu ni lesser of the devils angalau tuna black americans ila huwa najiuliza kwa waarabu babu zetu watumwa walikwenda wapi?Mpaka 1964 Amerika mtu mweusi alikuwa hawezi kuingia kanisa la watu weupe.
Maskini ya Mungu hawajui historia chuki dhidi ya Uslam zimewatia upofu.
😂😂 ungekaa wewe mwarabu mweusi hata usingependezesha picha. Visima vya kuoshea miguu pale unapokuwa umegusana na vitu vichafu km mwanamke n.kMaaashallah wamependeza sana, Allah awajaalie kheri hawa ndugu zetu, kama ni misikiti tu wanajenga, mashule wanajenga, visima vya maji wanajenga, zahanati wanajenga. 2nawaombea kheri hawa ndugu zetu.
Mleta mada, Allah akuongoze uijue haki.
Wewe ni mpumbavu,wazazi wako wana hasara kubwa sana.Wewe ni mwarabu tu. Hatuvitaki hivyo wajenge huko kwao, tutasaswali hata chini ya mti maana mungu hayuko kwenye nyumba za ibada. Tunataka mabarabara na hospitali siyo kutuletea taleban huku.
Ndugu zetu waislamu wanapaswa kubadilika kwa kweli.Wameshajenga shule ngapi za kusoma Watanzania wote?
Kwa karne ya sasa mgeni kutujengea nyumba ya ibada ni aibu, hakuna kitu kirahisi kama kujenga nyumba za ibada ni nguzo na kuta tuu, wenzetu walishaachana na hilo la kujengewa nyumba za ibada na wageni wanachanga wenyewe na wanafanikiwa.
Nchi yetu sio maskini mpaka kupewa msaada wa nyumba ya ibada, kwanza haina thawabu ni sawa sawa na mtu mwenye mikono miwili kuomba hela ya sadaka.
Tutumie sadaka zetu kujenga nyumba za ibada ni sio kujengewa na wageni,
Kagera ambayo 90 percent ni christiansPicha imependeza sana. Misikiti mingi zaidi ijengwe huko Kagera ili watu wamuabudu Mwenyezi Mungu..
Hilo dhehebu lako ndio halina , ila Muhamma Alisha sema mtagawanyika sect 73 na moja tu ndio wataenda janah, jiulizeHuo ni uongo,hakuna aya inayoitwa Sahihi Muslim,ndani ya Qur'an.
Hili povu nitalifulia nguo. Ila wewe ni mwarabu tu ambaye hutaki ndg yako wa kike aguswe na muafrica. Ni makaburu tu mlioiba asili ya waafrika hohehahe na wao kujiona waarabu na kuwakataa watanzania wenzaoWewe ni mpumbavu,wazazi wako wana hasara kubwa sana.
FaizaFoxy balozi wa waarabu weusi atakuja kukujibu.
Wengi wa hao Waarabu ni wahaya! Ila hawakutajwa kwa majina yao ya kihaya, mfano wa tatu kushoto ni Sheikh Rutasikanirwa'Omugisha AbdulWahab ibn Bunuar al Quraish Ibun Mutakyamirwa al Khatoum (Katoma).Hiyo ni Bukoba KZ, Tanzania ambapo 99.9% ya Wakazi na Waislamu wa KZ ni Black people, wako wapi kwenye hiyo picha ukiondoa Bakwata na Serikali ? Hapo siyo Omani au Saudia, ni Tanzania, KZ!
Hao ni wahaya kabisa wenye asili ya kiarabu...Wengi wa hao Waarabu ni wahaya! Ila hawakutajwa kwa majina yao ya kihaya, mfano wa tatu kushoto ni Sheikh Rutasikanirwa'Omugisha AbdulWahab ibn Bunuar al Quraish Ibun Mutakyamirwa al Khatoum (Katoma).
Wengi wa hao Waarabu ni wahaya! Ila hawakutajwa kwa majina yao ya kihaya, mfano wa tatu kushoto ni Sheikh Rutasikanirwa'Omugisha AbdulWahab ibn Bunuar al Quraish Ibun Mutakyamirwa al Khatoum (Katoma).
Hamna wala hisia zozote, nimekutajia mambo ambayo yapo wazi, hayahitaji hata kufikiria sanaKunywa maji ndugu umeongea kwa hisia sana 😂.
Sawa ni mtazamo wako hakuna neno. Tunatofautiana mitazamo na si kitu kibaya mradi hatudhuriani.
Unavyokuaga unatokwa povu hapa juu ya mayahudi ina maana ww ni muisrael?Hili povu nitalifulia nguo. Ila wewe ni mwarabu tu ambaye hutaki ndg yako wa kike aguswe na muafrica. Ni makaburu tu mlioiba asili ya waafrika hohehahe na wao kujiona waarabu na kuwakataa watanzania wenzao
Mwafrika ni nani?Muhaya ni Mwafrika na hahitaji maelezo, ukimuona unajua ni Muhaya/Mwafrika!
Ninatumia simu ninaona uvivu kuandika.Hamna wala hisia zozote, nimekutajia mambo ambayo yapo wazi, hayahitaji hata kufikiria sana
Nilitegemea ungetetea hoja yako maana hapa ni jukwaa la kujadiliana vitu tulivyokubaliana