Nashengena
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 2,913
- 5,318
Lugha yoyote kuijua ni ku practice , mbali na hapo hakuna kitu.Ukiona hivyo ujue ya kuwa hawana vocabularies zingine zaidi ya zile za swala 5.
Ni kama shule za kayumba, Kiingereza kinaishia mlangoni wanapotoka darasani. Nje ya pale ni kiswahili na vilugha vingine kwa kwenda mbele.
Thus, linguistic environment is not supporting the development of English. Hata kwa waislam ni vivyo hivyo, wataishia kujua kiarabu cha ndani ya madrasa. Nje ya hapo hakuna kitu.