Waislamu Waafrika waliosoma madrasa wanaweza kuongea lugha ya kiarabu kwa ufasaha na weledi?

Lugha yoyote kuijua ni ku practice , mbali na hapo hakuna kitu.
 
Mungu anasema kwenye hiyo Quran , kuwa anasikia maombi ya mtu yoyote yule . Hata ukiswali kwa lugha yoyote anasikia.

Sasa kwa nini wana lazimisha waumini nje ya ulimwengu wa kiarabu kuongea kiarabu ambayo siyo lugha mama kwao. Matokeo yake wanaishia kukalili maneno yale yale. Kama alivyosema Yoda watasalimiana kiarabu, lakini baada ya salam, wanaendeleza kwa lugha zao.
 
Jee hamuoni haja ya kubadili mfumo mzima wa dini ya kiislamu uwape watu uhuru wa kuabudu kwa lugha yao? Badala ya kung'ang'ania ibada lazima ifanyike kwa lugha ya kiarabu.

Sababu hakuna kinachoshindikana.

Hata wewe hukuzaliwa unajua kuandika Wala kusoma, ila kwa kujifunza na kufanya bidii ukajua kusoma na kuandika.

Ibada lazima ifanyike kama alivyo tufundisha Mtume, na huku ndio kutunza mafundisho.
 

Nao pia watajua cha kusema. Ila sisi tunajivunia Kiarabu.

Hapo hakuna utumwa labda hujui nini maana ya utumwa. Tunajifunza Kiarabu kwa ajili ya kujifunza dini yetu ya Uislamu.

Hujui Uislamu kadhalika Wala Uarabu, tamaduni ngapi za Kiarabu, Uislamu umekuja kuzikemea na kuzikataza ?

Kitu ambacho kinakera humu jf, ni watu kujadili mambo ambayo hawana elimu nayo.
 
Tofautisha kiarabu cha Kusomesha Quran na mambo ya kusadikika kwa vitu halisia.

Ukitaka kujua kuwa hawawezi lugha halisi ya kiarabu watakiambia yesu ni issa kwa lugha ya kiarabu.
 
Sijajua aliyeleta haya mambo ya kukariri Quran aliyatoa wapi. Quran yenyewe inasema Quran ni muongozo , mzisome aya na kuzielewe maana yake. Lakini watu hiyo aya hawaifuati.
Aya kama ile iliosema Muhammad akapige mbupu Kila muumini , unaifuta ya nini na inakusaidia nini?
 
Sasa apa mbona hujaandika kiarabu , umeandika matamshi ya kiarabu?
 
Mnafundishwa matamshi kwa kiswahili na wala sio kiarabu
 
Lugha iliyoandikwa kwenye Quraan inautwa Bul bul,
Hata muarabu hukaa madrasa kujifunza Quraan.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…