Dakarai
JF-Expert Member
- Jan 17, 2023
- 671
- 1,245
ImeshushwaMbona mnarudia rudia maswali tumeshawajibu mtu anaweza akajua Quran na tafsiri yake ila asielewe kiarabu sio dhambi na haimuondolei chochote kwenye dini ila wale wanaobobea kwenye kiarabu wana X factor kwenye kutafsiri maneno mengi kwenye Quran, Quran imeshushwa kwa kiarabu ila kiarabu si Quran ni lugha pana zaidi.
Imeshushwa
Imeshushwa
Hivi mkuu huwa mnapata wapi ujasiri wa kusema hilo neno kwenye majukwaa ambayo yamejaa watu wenye utimamu na wanoishi kwa misingi ya logic.
Avoid that shit
It makes you look dumb bro!