Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 25,425
- 59,309
Ngoja bibi Fai aje 😹
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngoja bibi Fai aje 😹
😳🤔hatusomi Kiarabu wengine tunasoma lugha za makafiri badala ya kujifunza lugha yetu.
Kingereza ni lugha ya kufundishia secondary mpaka chuo kikuu, kwa hiyo ni rahisi watu wengi kukijua. Kiarabu sio. Ila wakristo wanatumia biblia za kiswahili na hata za lugha za makabila mbalimbali. Waislamu badala kujikita kufunisha Quran kwa kiswahili wao wanamezeshwa bila kujua maana yake. Mtu kahifadhi Quran nzima bila kujua maana yake, huyo ana tofauti gani na ambaye hajahifadhi?
Quran inatakiwa ifundishwe na watu waielewe lakini hili halifanyiki.
Nao pia watajua cha kusema. Ila sisi tunajivunia Kiarabu.
Hapo hakuna utumwa labda hujui nini maana ya utumwa. Tunajifunza Kiarabu kwa ajili ya kujifunza dini yetu ya Uislamu.
Hujui Uislamu kadhalika Wala Uarabu, tamaduni ngapi za Kiarabu, Uislamu umekuja kuzikemea na kuzikataza ?
Kitu ambacho kinakera humu jf, ni watu kujadili mambo ambayo hawana elimu nayo.
Kwanza Kiarabu ni lugha kama zilivyo Kiswahili, Kiingereza n.k
Kiarabu sio Kiislam bali ni lugha iliyotumika kushushiwa Quran.
Hivyo basi, wapo wanaokielewa Kiarabu vyema kabisa na binafsi nina ndugu wenye uwezo wa kuzungumza Kiarabu kwa ufasaha na ni kweli walijifunza hukohuko Madrasa na wengine walipata nafasi ya kuongeza maarifa huko Arabuni.
Huyu nae ndio hata hajielewi, eti kiarabu hakihusiani na dini. Nenda basi kapige adhana kwa kiswahili au kingereza. Kuna mungu huko hajui kiswahili wala kingereza.Kwanza Kiarabu ni lugha kama zilivyo Kiswahili, Kiingereza n.k
Kiarabu sio Kiislam bali ni lugha iliyotumika kushushiwa Quran.
Hivyo basi, wapo wanaokielewa Kiarabu vyema kabisa na binafsi nina ndugu wenye uwezo wa kuzungumza Kiarabu kwa ufasaha na ni kweli walijifunza hukohuko Madrasa na wengine walipata nafasi ya kuongeza maarifa huko Arabuni.
Namshukuru sana Allah kwa neema ya Qur'aan. Namshukuru Allah kwa neema ya Sunnah.
Wewe
Huyu nae ndio hata hajielewi, eti kiarabu hakihusiani na dini. Nenda basi kapige adhana kwa kiswahili au kingereza. Kuna mungu huko hajui kiswahili wala kingereza.
Kwa english?Biblia Haijashushwa imeandikwa na wanadamu Wasomi.
Quran haikuletwa ili watu wakariri, bali kuisoma na kuielewa. Wengi waislam wamekariri bila kujua maana. Ni sio lengo la Quran kuhifadhi bila kujua maana.Qur'aan imehifadhiwa na imelindwa, haiwezi kufikiwa na batil au corruption. Hivyo atakayejifunza ni lazima asomeshwe vilevile ilivyo. Atakayeisoma ataisoma vile vile. Atakayeihifadhi ataihifadhi vile vile.
Tarjama za lugha ya Kiswahili, Kiingereza na lugha nyengine sio Qur'aan ni tarjama tu za maana ya Qur'aan.
Halafu una uhakika watu hawasomeshwi kuielewa Qur'aan?
Na wapo watu wengi wamehifadhi Maneno ya Allah na wengine wanaielewa na bado hawawezi kuzungumza kiarabu. Huu ni Muujiza wa Qur'aan. Ni rahisi kuweza kuisoma na kuihifadhi Qur'aan, lakini pia ni rahisi Qur'aan kumponyoka mtu iwapo atakuwa haizingatii katika kuisoma na kuirudia rudia.
Halafu usiseme wanamezeshwa, bali wanahifadhi Maneno ya Mola Mlezi wa kila kitu. Jambo bora lilioje hilo! Kuisikiliza tu Qur'aan kuna fadhila, kuisoma kuna fadhila, sikuambii kuihifadhi kifuani, sikuambii kuielewa, sikuambii kuifanyia kazi na kuiishi. Qur'aan ni Maneno ya Allah, Mola Mlezi wa Viumbe vyote.
Ila kujifunza Lugha ya kiarabu ni muhimu mno katika kujifunza Dini ya Uislam na kuifahamu vizuri.
Ni kutozingatia tu Quran. Hakuna sehemu yoyote kwenye Quran imeandikwa watu wa swali kwa kiarabu. Ni utamaduni tu watu wameiga. Mtu anaswali bila kujua anaongea nini na Mungu, swala gani hiyo.Mchezo huu hauhitaji hasira. Hizo hisia za kwamba uislam si uarabu ni watu wachache sana mlio nazo. Wenzenu wengi wanaona waarabu ni watu wa peponi. Na ndiyo maana ili ukubalike na Mola lazima ujue kiarabu. Hivyo ni ngumu sana kuutenganisha uislam kutoka ndani ya uarabu. Mtakataa nabkuruka ruka huku na kule, lakini ukweli unabaki ule ule, uarabu ndiyo nguzo ya uislam. Ndiyo maana bila kuongea maneno ya kiarabu wakati mnamuomba allahu wenu swala haiswili.
Lugha zisizo za kiarabu ndio zipi kindengereko kimo?Kweli mku, nakuunga mkono tena aibu kubwa kwa waislam wa sasa, hatusomi Kiarabu wengine tunasoma lugha za makafiri badala ya kujifunza lugha yetu. Ijapokuwa kujifunza lugha ya makafiri sio dhambi lkn vijana wengi wa kiislamu wamejikita huko
Mkuu utumwa umewaathiri,waarabu wamewaweza badala ya kusalimiana kwa kimatumbi wanaona ni thawabu kwa kiarabu,imagine this foolishness!Yani wewe mmatumbi huoni aibu kusema kiarabu ni lugha yako? Huu ni utumwa wa kiakili wa viwango vya juu sana.
Ona hii emptied head,imeshushwa kwa kiarabu halafu tena sio kiarabu,ibilisi kweli bingwa wa upotoshaji.Mbona mnarudia rudia maswali tumeshawajibu mtu anaweza akajua Quran na tafsiri yake ila asielewe kiarabu sio dhambi na haimuondolei chochote kwenye dini ila wale wanaobobea kwenye kiarabu wana X factor kwenye kutafsiri maneno mengi kwenye Quran, Quran imeshushwa kwa kiarabu ila kiarabu si Quran ni lugha pana zaidi.
Ni kutozingatia tu Quran. Hakuna sehemu yoyote kwenye Quran imeandikwa watu wa swali kwa kiarabu. Ni utamaduni tu watu wameiga. Mtu anaswali bila kujua anaongea nini na Mungu, swala gani hiyo.
Mbona mnarudia rudia maswali tumeshawajibu mtu anaweza akajua Quran na tafsiri yake ila asielewe kiarabu sio dhambi na haimuondolei chochote kwenye dini ila wale wanaobobea kwenye kiarabu wana X factor kwenye kutafsiri maneno mengi kwenye Quran, Quran imeshushwa kwa kiarabu ila kiarabu si Quran ni lugha pana zaidi.
Mnafundishwa matamshi kwa kiswahili na wala sio kiarabu
Wenzenu wengi wanaona waarabu ni watu wa peponi.
Na ndiyo maana ili ukubalike na Mola lazima ujue kiarabu.
Hivyo ni ngumu sana kuutenganisha uislam kutoka ndani ya uarabu.
Ndiyo maana bila kuongea maneno ya kiarabu wakati mnamuomba allahu wenu swala haiswili.
Sasa ningeandika kiarabu hapo wewe ungeelewa?Mnachofundishwa ni matamshi ya kiarabu kwa kiswahili na wala hamjuhi kiarabu