Waislamu wagombea Msikiti wa Wilaya ya Nyamagana, Ngumi zaibuka Waumini wadai BAKWATA imeundwa huu Msikiti wa Masjid Noor wameukuta!

Halafu ukiwakuta kwenye mihadhara Yao, wanavyoushambulia ukristu na kujidai hawana matabaka utadhani ni kweli
Yupo yule mpuuzi Sheikh Ilunga sijui ni mkongo mihadhara yake imejaa chuki.
 
Vurugu zimeibuka Ndani ya Masjid Noor Uhuru st Mwanza baada ya Uongozi wa Bakwata kujimilikisha Msikiti huo na Nyumba zake

Waumini wameadai Masjid Noor ipo tangu kabla ya Uhuru na watautetea usiporwe na Baraza

Inadaiwa BAKWATA ndio inamiliki Hati ya kiwanja cha Msikiti baada ya ile ya awali yenye jina la Waumini hao kuexpire na kabla hawajarenew Bakwata ikawahi

Source: Iqra FM radio Mwanza
Ma pepe juu ya mapepo
 
Yupo yule mpuuzi Sheikh Ilunga sijui ni mkongo mihadhara yake imejaa chuki.
Mungu alishatenda majukumu yake, alishaondoka kwa kansa ya mguu Sasa hivi anasomewa mashtaka yake kwa aliyoyafanya na madhara ya chuki za mihadhara yake
 
Mambo yao waachieni wenyewe……

Pilipili usio ila inakuwasha nn??
 
Waislam watata sana.. bakwata ni warithi kisheria wa misikiti iliyojengwa na waarabu enzi za ukoloni.

Hata makanisa yapo yaliyojengwa kabla ya KKKT tanzania wala dayosisi zake haijaanzishwa Tanzania.

Ila kwa sasa yanamilikiwa na hizo dayosisi za KKKT zilizoanzishwa juzi juzi tu.

Mfano kanisa la Luther house posta lile kanisa limejengwa miaka ya 1890s

Ila leo linamilikiwa na dayosisi ya mashariki na pwani ya KKKT tanzania.. huku hiyo dayosisi imezaliwa juzi tu
Msikiti ni Mali ya waislam,siyo bakwata
 
Msikiti ni Mali ya waislam,siyo bakwata

Mali ya waislam itaandikwaje kwenye hati ? Mfano Waislam wapo milioni 20 ama 30 na wanazaliwa na kufa kila siku

Si itakuwa vurugu mechi hiyo hati.

Hata Tanzania kwa mfano ardhi ni mali ya uma. Ila kisheria Rais ndie ana mamlaka ya kuisimamia hiyo ardhi ya uma akituwalilisha uma wa waTanzania . Ndie pekee ana mamlaka wa kuikopea ama kuiuza.

Hivyo Huwezi sema sababu mimi ni sehemu ya uma huu ni mmiliki wa hii ardhi nina mamlaka ya kuifanya chochote.

Bakwata ndie anawakilisha waislam. Mali zote za waislam zinapaswa zisimamiwe na bakwata kama muwakilishi wa hao waislam
 
Waislam watata sana.. bakwata ni warithi kisheria wa misikiti iliyojengwa na waarabu enzi za ukoloni.

Hata makanisa yapo yaliyojengwa kabla ya KKKT tanzania wala dayosisi zake haijaanzishwa Tanzania.

Ila kwa sasa yanamilikiwa na hizo dayosisi za KKKT zilizoanzishwa juzi juzi tu.

Mfano kanisa la Luther house posta lile kanisa limejengwa miaka ya 1890s

Ila leo linamilikiwa na dayosisi ya mashariki na pwani ya KKKT tanzania.. huku hiyo dayosisi imezaliwa juzi tu
Shida ni kwamba waislam wanaona bakwata ni ya serikali sio ya waislam
 
Vurugu zimeibuka Ndani ya Masjid Noor Uhuru st Mwanza baada ya Uongozi wa Bakwata kujimilikisha Msikiti huo na Nyumba zake

Waumini wameadai Masjid Noor ipo tangu kabla ya Uhuru na watautetea usiporwe na Baraza

Inadaiwa BAKWATA ndio inamiliki Hati ya kiwanja cha Msikiti baada ya ile ya awali yenye jina la Waumini hao kuexpire na kabla hawajarenew Bakwata ikawahi

Source: Iqra FM radio Mwanza
Hebu tulia kwanza, ugomvi wa ndugu wewe unakuhusu nini subiri kidogo kunakucha 2025 hatoboi
 
Mali ya waislam itaandikwaje kwenye hati ? Mfano Waislam wapo milioni 20 ama 30 na wanazaliwa na kufa kila siku

Si itakuwa vurugu mechi hiyo hati.

Hata Tanzania kwa mfano ardhi ni mali ya uma. Ila kisheria Rais ndie ana mamlaka ya kuisimamia hiyo ardhi ya uma akituwalilisha uma wa waTanzania . Ndie pekee ana mamlaka wa kuikopea ama kuiuza.

Hivyo Huwezi sema sababu mimi ni sehemu ya uma huu ni mmiliki wa hii ardhi nina mamlaka ya kuifanya chochote.

Bakwata ndie anawakilisha waislam. Mali zote za waislam zinapaswa zisimamiwe na bakwata kama muwakilishi wa hao waislam
@Mohamed Said FaizaFoxy The Boss wanaweza kutolea hili maelezo zaidi.
 
ilokudi linakojiita waislam,ni watu wenyenjaatu wasijitowefahamu na kuletavurugu kwenye nyumba zaibada inajulikanakuwa bakwatani chomb0chakiislam,kamakunakasoro wanazoziona wanawajibu kutatuwakwa sheria na siovurugu
 
Mali ya waislam itaandikwaje kwenye hati ? Mfano Waislam wapo milioni 20 ama 30 na wanazaliwa na kufa kila siku

Si itakuwa vurugu mechi hiyo hati.

Hata Tanzania kwa mfano ardhi ni mali ya uma. Ila kisheria Rais ndie ana mamlaka ya kuisimamia hiyo ardhi ya uma akituwalilisha uma wa waTanzania . Ndie pekee ana mamlaka wa kuikopea ama kuiuza.

Hivyo Huwezi sema sababu mimi ni sehemu ya uma huu ni mmiliki wa hii ardhi nina mamlaka ya kuifanya chochote.

Bakwata ndie anawakilisha waislam. Mali zote za waislam zinapaswa zisimamiwe na bakwata kama muwakilishi wa hao waislam
Waislam wa eneo Hilo na tz yote
 
Waislam wa eneo Hilo na tz yote

Kwa hiyo unaona ni sahihi documents za umiliki kama hati ziandikwe waislam wa eneo hilo na wa Tanzania yote?

Hati iwe na majina milioni 20 ama 30 ya waislam wote Tanzania
 
Back
Top Bottom