Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yupo yule mpuuzi Sheikh Ilunga sijui ni mkongo mihadhara yake imejaa chuki.Halafu ukiwakuta kwenye mihadhara Yao, wanavyoushambulia ukristu na kujidai hawana matabaka utadhani ni kweli
Ma pepe juu ya mapepoVurugu zimeibuka Ndani ya Masjid Noor Uhuru st Mwanza baada ya Uongozi wa Bakwata kujimilikisha Msikiti huo na Nyumba zake
Waumini wameadai Masjid Noor ipo tangu kabla ya Uhuru na watautetea usiporwe na Baraza
Inadaiwa BAKWATA ndio inamiliki Hati ya kiwanja cha Msikiti baada ya ile ya awali yenye jina la Waumini hao kuexpire na kabla hawajarenew Bakwata ikawahi
Source: Iqra FM radio Mwanza
Mungu alishatenda majukumu yake, alishaondoka kwa kansa ya mguu Sasa hivi anasomewa mashtaka yake kwa aliyoyafanya na madhara ya chuki za mihadhara yakeYupo yule mpuuzi Sheikh Ilunga sijui ni mkongo mihadhara yake imejaa chuki.
Msikiti ni Mali ya waislam,siyo bakwataWaislam watata sana.. bakwata ni warithi kisheria wa misikiti iliyojengwa na waarabu enzi za ukoloni.
Hata makanisa yapo yaliyojengwa kabla ya KKKT tanzania wala dayosisi zake haijaanzishwa Tanzania.
Ila kwa sasa yanamilikiwa na hizo dayosisi za KKKT zilizoanzishwa juzi juzi tu.
Mfano kanisa la Luther house posta lile kanisa limejengwa miaka ya 1890s
Ila leo linamilikiwa na dayosisi ya mashariki na pwani ya KKKT tanzania.. huku hiyo dayosisi imezaliwa juzi tu
Msikiti ni Mali ya waislam,siyo bakwata
Kobazi? [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]Ila wanapata thawabu kugombea uho msikiti wasiiuwane tu ukipata vidoe tuma hapa tuone kobas zinavyo
Fanya kazi
Shida ni kwamba waislam wanaona bakwata ni ya serikali sio ya waislamWaislam watata sana.. bakwata ni warithi kisheria wa misikiti iliyojengwa na waarabu enzi za ukoloni.
Hata makanisa yapo yaliyojengwa kabla ya KKKT tanzania wala dayosisi zake haijaanzishwa Tanzania.
Ila kwa sasa yanamilikiwa na hizo dayosisi za KKKT zilizoanzishwa juzi juzi tu.
Mfano kanisa la Luther house posta lile kanisa limejengwa miaka ya 1890s
Ila leo linamilikiwa na dayosisi ya mashariki na pwani ya KKKT tanzania.. huku hiyo dayosisi imezaliwa juzi tu
DP World ni Waislamu?!!Imekuuma muislamu kupewa bandari
Hebu tulia kwanza, ugomvi wa ndugu wewe unakuhusu nini subiri kidogo kunakucha 2025 hatoboiVurugu zimeibuka Ndani ya Masjid Noor Uhuru st Mwanza baada ya Uongozi wa Bakwata kujimilikisha Msikiti huo na Nyumba zake
Waumini wameadai Masjid Noor ipo tangu kabla ya Uhuru na watautetea usiporwe na Baraza
Inadaiwa BAKWATA ndio inamiliki Hati ya kiwanja cha Msikiti baada ya ile ya awali yenye jina la Waumini hao kuexpire na kabla hawajarenew Bakwata ikawahi
Source: Iqra FM radio Mwanza
@Mohamed Said FaizaFoxy The Boss wanaweza kutolea hili maelezo zaidi.Mali ya waislam itaandikwaje kwenye hati ? Mfano Waislam wapo milioni 20 ama 30 na wanazaliwa na kufa kila siku
Si itakuwa vurugu mechi hiyo hati.
Hata Tanzania kwa mfano ardhi ni mali ya uma. Ila kisheria Rais ndie ana mamlaka ya kuisimamia hiyo ardhi ya uma akituwalilisha uma wa waTanzania . Ndie pekee ana mamlaka wa kuikopea ama kuiuza.
Hivyo Huwezi sema sababu mimi ni sehemu ya uma huu ni mmiliki wa hii ardhi nina mamlaka ya kuifanya chochote.
Bakwata ndie anawakilisha waislam. Mali zote za waislam zinapaswa zisimamiwe na bakwata kama muwakilishi wa hao waislam
Waislam wa eneo Hilo na tz yoteMali ya waislam itaandikwaje kwenye hati ? Mfano Waislam wapo milioni 20 ama 30 na wanazaliwa na kufa kila siku
Si itakuwa vurugu mechi hiyo hati.
Hata Tanzania kwa mfano ardhi ni mali ya uma. Ila kisheria Rais ndie ana mamlaka ya kuisimamia hiyo ardhi ya uma akituwalilisha uma wa waTanzania . Ndie pekee ana mamlaka wa kuikopea ama kuiuza.
Hivyo Huwezi sema sababu mimi ni sehemu ya uma huu ni mmiliki wa hii ardhi nina mamlaka ya kuifanya chochote.
Bakwata ndie anawakilisha waislam. Mali zote za waislam zinapaswa zisimamiwe na bakwata kama muwakilishi wa hao waislam
Waislam wa eneo Hilo na tz yote
We akili hunaKwa hiyo unaona ni sahihi documents za umiliki kama hati ziandikwe waislam wa eneo hilo na wa Tanzania yote?
Hati iwe na majina milioni 20 ama 30 ya waislam wote Tanzania
We akili huna