Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Serikali kupitia BAKWATA inapora misikiti ya waislamu ili iwacontrol!
Hizo Hospital 🏥 si lazima mtibiwe huko,isitoshe Christian ni majority religion.Niliwahi kuandika hivi, bofya ukajisomee:
Msikiti ni Mali ya waislam,siyo bakwata
Hao waliojengaUnazungumia waislamu wapi shia,suni,ibazi,ahmadiya,noi,wahabbi,salafi n.k?
Bakwata imeanzishwa na nyerere Bakwata imejifunza unyanganyi kutoka kwa nyerere, Bakwata wanadhulimu mali za waislamu walioijenga kwa pesa zao wanazimilikisha Bakwata wanakula wao na familia zao. nyerere aliwanyanganya watu nyumba zao zimejengwa miaka hata nyerere hajazaliwa aliposhika urais kawadhulumu watu nyumba zao na kuipa NHC wakati nhc hawajajenga nyumba hata moja zoote za wahindi na waarabu dhulma hii ndio inayotutafuna na inaitafuna bakwata
😀😀Inshu za Kristo zimeingiaje humu,kapambanie msikiti ndio unaenda hivyo na bakwata.
BAKWATA ndio chombo au taasisi madhubuti ya kutetea kulinda mali za Waislam wote Tanzania.
Hizi taasisi nyingine kama Shura ya Maimamu......... zinawakisha fujo na kutuondolea amani watanganyika.
Sasa kama wamedundana leo, utasemaje mzozo umetatuliwa siku nyingi?Kwani mbona huo mzozo ulishatatuliwa siku nyingi hiyo sio habari tena.
Hao waliojenga
MASLAHIWale wana masirahi binafsi sio kwa ajiri ya Waislamu.
Aisee...!!! Akili ni muhimu sana kwa binadamu kuwa nayo..!! Sasa haya maandishi ndo yamefanya watu wagombee msikiti? Kabisa na FaizaFoxy amekukupa thanks ..!!
Wafuate namna RC wanavyoandika hati za viwanja kulikojengwa makanisa..!! Hati inaandikwa body of trustees..!!Mali ya waislam itaandikwaje kwenye hati ? Mfano Waislam wapo milioni 20 ama 30 na wanazaliwa na kufa kila siku
Si itakuwa vurugu mechi hiyo hati.
Hata Tanzania kwa mfano ardhi ni mali ya uma. Ila kisheria Rais ndie ana mamlaka ya kuisimamia hiyo ardhi ya uma akituwalilisha uma wa waTanzania . Ndie pekee ana mamlaka wa kuikopea ama kuiuza.
Hivyo Huwezi sema sababu mimi ni sehemu ya uma huu ni mmiliki wa hii ardhi nina mamlaka ya kuifanya chochote.
Bakwata ndie anawakilisha waislam. Mali zote za waislam zinapaswa zisimamiwe na bakwata kama muwakilishi wa hao waislam
Ndo mnavyodanganyana huko!?Kwani msikiti mingi si imejengwa kwa misaada ya waarabu na matajiri,hakuna msikiti wa maana ukajengwa na waumini.
Umenishangaza wewe na huyo uliyempa thanks kwenye post yake. Ishu ni watu kugombea msikiti, lakini yeye kaandika habari za ukristo..!!Naam, umeniita? Tatizo nini?