Tyrone Kaijage
JF-Expert Member
- Jul 19, 2021
- 1,617
- 3,405
Ni kweli wako vizuri na ndoa zao zipo simpo sana hamna mbwembwe za ukumbini labda utake wewe ila ndo wana ongoza ndoa kuvunjika.
Upande wangu Nina mifano hai mingi tu nimeshuhuduia watu wakiachana wakristo ghalama ya mahari kubwa inasaidia ndoa kudumu ukifikiria huyo ulie mtolea hiyo mahari unajikuta unamvumilia tu kitu ambacho wao hawana ni uvumilivu.
Mkishazinguana talaka sasa embu jiulize swal huyo ulie muacha nani amuoe wakati umeshamtumia vya kutosha.
Gharama ya mahari sio gharama ya mateso unayovumilia kwenye ndoa.
Ndio maana Wakristo wengi tunatembea na ndoa sheria ila mioyoni hatuna hizo ndoa….