Waislamu wako vizuri kwenye suala la ndoa

Gharama ya mahari sio gharama ya mateso unayovumilia kwenye ndoa.
Ndio maana Wakristo wengi tunatembea na ndoa sheria ila mioyoni hatuna hizo ndoa….
 
Msisingizie dini bwana. Hayo ni mapenzi yenu wenyewe. Unaweza kuoa simple tuu ukiwa mkristo bila shida yoyote. Tatizo wengi wetu tunafanya harusi ndio muhimu baadala ya ndoa kiwa muhimu.

Mwanangu alichukua chombo yake akaenda kanisani kuomba process akapewa ikapitishwa kama zingine, siku ya siku katuita watu kadhaa kama 15 hivi… kapewa mke tukaingia restaurant fulani Mwenge tukafinya msosi na wazazi wa pande mbili…..imeisha hiyoo
 
Very simple hamna cha mbwembwe nyingi. Nimeipenda hiyo.
 
Asante Kaka,wanabisha wakati Mambo yapo wazi kabisa wanao January, February wanaacha March anaolewa mwingine.
Yes ndoa sio adhabu na Allah anataka sisi wanaume wakiislam tuoe waanwake wanne na akizingua is mwingine huyo acha wanawake wapo kutufurahisha na kutupa watoto. Nyie pambaneni mnakufa kwa misongo na mateso ya kuhangaikia ndoa
 
Sawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…