Akhi
JF-Expert Member
- Jul 12, 2021
- 3,380
- 5,906
Sasa ww huamini dini sasa ww mambo ya dini unayaongelea nn?Siyo fact bali ni upuuzi umeeleza.
Jirani yako siyo dini yako ana shida, humsaidii kwasababu siyo dini yako. Hapa dini inazidiwa upendo na walevi na wavuta sigara wanaopendana. Hawa jamaa ukiingia bar utasikia mpe bia hyo, jamaa hata humjui. Unapita zako jamaa hata humjui unamuomba sigara anakupa. Sasa wewe unayemjua mungu unakataa kumsaidia mwenzako kwasababu siyo dini yako.
Dini ni ukichaa uliokamaa ndiyo maana huwa siamini katika dini. Mtu anaweza kukuua kwasababu ya dini.