Waislamu wanaamini Wakristo hawaendi Mbinguni na Wakristo wanaamini waislamu hawaendi Mbinguni. Vita ni kali sana

Waislam wana Mungu wao na mafundisho yao Wakristo nao wana Mungu wao na mafundisho yao Lakini Shetani ni Mmoja tu...
 
Kiuhalisia mi niliachana na ukristo kwasababu mambo yanayofanyika hayaingii akilini kwa sasa nimepumzika sina dini, ila mambo yaliyojaa kwenye ukristo hayaingii akilini kwa mtu mwenye akili timamu
 

Kuwa Mkristo ina maana kuifuata njia ya uzima wa milele kupitia kwa Bwana Yesu Kristo, ambaye ni Mungu na ndiye Neno la Uzima lenye kuzishinda nguvu za mauti na kuzimu,

Lakini, ......

Kuwa Muislamu ni kufuata mafundisho ya Muhamadi ambaye ni mwanadamu aliyeshushiwa neno lisilokuwa la ahadi na mungu wake Allah, sina hakika kama kuna ahadi ya uzima wa milele ndani yake, yenye uwezo wa kuzishinda nguvu za mauti na kuzimu.


Hiyo ni comment ya mgalatia mwenzako katika Uzi mwingine yeye anasema Yesu ni Mungu

Sasa sijui kati wewe na yeye nani ni mjinga

Kwangu Mimi nyinyi wote ni wajinga maana Yesu ni mtoto wa Mariam sio Mungu Wala sio mwana wa Mungu

Au unataka kusema Mungu na Mariam Wana mtoto anaitwa Yesu?

Usikurupuke kuita watu wajinga uwe unatafakari kwanza

Hizi dini na hivyo vitabu umezaliwa umevikuta na utakufa utaviacha Cha muhimu tumia akili uliyopewa na Mungu kujua wapi ni sahihi
 
Lazima uwe mwema sio nyuma ya pazia ni mzinzi , tapeli ,hauna wema ni mtu wa hovyo.
 
Mgalatia mwenzangu ndo nini mzee! Bado nakuita we mjinga, haya twende polepole utaelewa tu ujinga wako ulipo.

Mimi pia najua Yesu ni mtoto wa Maria. Yesu kuitwa mwana wa Mungu hiyo isikuchanganye unahisi Mungu ana mke na sasa amempa mimba akazaliwa mtoto akaitwa Yesu. Si hivo mzee.

Sisi wanadamu wote ni wana wa Mungu ila Yesu ni mwana wa Mungu wa pekee. Kwa maana ya kwamba yeye ndo anayependwa zaidi na Mungu. Najua hapa unaweza kuja na kile kiaya chenu kusema Mungu hajazaa wala hajazaliwa. Yes, we all know that. Mungu hajazaa ila sisi wanadamu kwenye Biblia tunaitwa wana wa Mungu. Note hii, Yesu sio Mungu.
 

Kuwa Mkristo ina maana kuifuata njia ya uzima wa milele kupitia kwa Bwana Yesu Kristo, ambaye ni Mungu na ndiye Neno la Uzima lenye kuzishinda nguvu za mauti na kuzimu,

Lakini, ......

Kuwa Muislamu ni kufuata mafundisho ya Muhamadi ambaye ni mwanadamu aliyeshushiwa neno lisilokuwa la ahadi na mungu wake Allah, sina hakika kama kuna ahadi ya uzima wa milele ndani yake, yenye uwezo wa kuzishinda nguvu za mauti na kuzimu.

Nilisema ukichukua wakristo 100 ukiwauliza Yesu ni nani Kila mmoja atatoa jibu lake

Hapa mpo 2 tayari mnapingana wewe unasema Yesu sio Mungu Mwenzako anasema Yesu ni Mungu

Nyinyi kwangu Mimi wote ni wajinga mliodanganywa na Wazungu kwahiyo Kila mtu anatoa jibu ni Kwa jinsi gani alivyoupokea huo uongo

Chukua waislam Dunia mzima waulize Muhammad ni nani na Allah ni nani jibu utakalopata ni moja
 
We ulishawahi kusoma Biblia? Vipi Biblia inasemaje kuhusu Yesu, Kwamba yeye ni nani!

Sasa kwenu nyinyi mudi si ni mtume fake tu kama mwamposa, halafu Allah ni Mungu dhaifu ambaye hana uwezo wa kufanya lolote.
 
Hapa Kila mtu atapambania Imani aliyoirithi kutoka vizazi na vizazi , anyway mbinguni na motoni ni sehemu za kusadikika hazipo.mungu na shetani ni vitu vya kusadikika havipo
Hatà ukisema mungu mnayemuabudu yupo , kwanini alimuumba shetani?? Kwanini kashindwa kumuangamiza from the beginning, kwanini aliumba ulimwengu? Nani alimwambia aumbe au shobo zake tu? Kwanini atake kuabudiwa na kusujudiwa? Anafaidika nini? Kama ni mungu mwenye upendo kwanini alazimishe watu wampende wasipomuabudu awachome moto?
 
Hii vita ni kali sana ambayo haina mwisho wake, Hiyo ni mpaka pale mtu utakapo kufa ni either ujue ukweli au upotee as kabla haujazaliwa.
Sisi mabudha tuko tunapambana tusizaliwe tena
 
Kila mtu ataenda mbingu anayoiamini hata kama itakua jehanamu
 
Hii vita ni kali sana ambayo haina mwisho wake, Hiyo ni mpaka pale mtu utakapo kufa ni either ujue ukweli au upotee as kabla haujazaliwa.
Itakua ni mpumbafu anayewaza hayo mana waislamu na wakristo wana miungu tofauti na wana pepo tofauti ila wana jehanamu moja.
 
Hakika
 
Waislam wanaamini wakristu ni makafiri, wakristu wanaamini waislam wanafuga majini
 
Na hawataki kujua kwamba hakuna usafiri wa kwenda mbinguni ila kuna mashimo dhahiri ya kwenda ardhini yaitwayo makaburi.
 
Yesu ni mtoto wa Maryam mke wa fundi mbao,ohoo fundi fenicha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…