Waislamu wanaamini Wakristo hawaendi Mbinguni na Wakristo wanaamini waislamu hawaendi Mbinguni. Vita ni kali sana

Ili la mabikra 72 na vijeba 72 kwa kila jinsia itapata wake hapa ndipo nilipochoka.
 
Acha uwongo we shaik mazinge.
 
Imaan ni kitu kigumu sana maana hii ya kupitia chini ya ardhi ili kwenda mbinguni inafikirisha sana.....au mbingu ipo chini sio kule juu???
Dini zina mafumbo ya kipumbavupumbavu sana,pengine wanaamini mbingu ni flexible.
 
Dini zina mafumbo ya kipumbavupumbavu sana,pengine wanaamini mbingu ni flexible.
Kuna maswali mengi sana ukiwa muumini mpaka mwishoni unajiona unakufuru tu...ila daah sijui huu mtihani wa Dunia majibu yake yapo wapi maana kote ni pointless
 
Heading ya uzi 🀣🀣
 
Hii vita ni kali sana ambayo haina mwisho wake, Hiyo ni mpaka pale mtu utakapo kufa ni either ujue ukweli au upotee as kabla haujazaliwa.
Ukute hapo reality ni either
1) Wote hawaendi peponi (wako wrong)
2) Wote wataenda peponi (wako right)
3) Hakuna Cha peponi wala nin
 
Kwani Wakristo na Waislamu ni asilimia ngapi ya wakazi wa hii dunia? Je, wanaobaki nje ya hizi dini wote watachomwa moto?
Fikiria kuhusu imani zingine kama Judaism, Hinduism, Buddhism, Chinese and Japanese Religions bila kusahau dini zetu za asili waafrika!

Imani yangu inanituma kuwa watu watahukumiwa kwa dhamiri zao! Mfano, unapotenda kosa/dhambi, wewe mwenyewe unahukumiwa na nafsi yako hata kabla uambiwe na kiongozi wako wa dini
 
biblia inasema kuna watu wataingia mbinguni kwa kuwatendea mema wateule wa mungu.

pia ukristo upi unaomaanisha
 
Kuna maswali mengi sana ukiwa muumini mpaka mwishoni unajiona unakufuru tu...ila daah sijui huu mtihani wa Dunia majibu yake yapo wapi maana kote ni pointless
Chukua hii,weka umuhimu sana kwenye ishu ya kifo,Hapa ndipo siri zote zilipo.Jitahidi sana kutenda mema kwa wanaadamu.HAKIKISHA UNAKUFA UKIWA MWEMA.
 
Mbingu haipo.

Motoni hakupo.

Mungu hajawahi kuwepo, hayupo na hatakaa awepo.

Shetani hajawahi kuwepo, hayupo na hatakaa awepo.

Free your mind.

Emancipate yourself from illusions.
Ila unaamini ukimwi upo, siyo?
 
Mwisho wa siku mara paap hamnaga mbinguni
Ni kweli hakuna mbinguni, hizi ni stori za kutungwa tu. Mataifa yanayoongoza kwa atheists na paganism ndio yanaongoza kwa tajiri kwanini Mungu asiyaangamize hayo mataifa pamoja na shetani. Mkuu bible na Qur'an ni vitabu tu kama kitabu cha biological science. Mungu ni mkubwa na hana ubaguzi ila mbinguni/ peponi kandaa makazi ya walio wema na wabaya kawaandalia moto πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ? . Mbona sio logical na kwanini asiyaangamize mashetani tuishi kwa amani ?
 
Siyo kweli kwani huwezi kuyemganisha yesu na biblia nina imani yesu hakuwepo ,hayupo na hatakaa awepo ni fiction za wazungu tu juu ya waafrika
Hivi kati ya yesu na babake nani alipita Veta ? Cause one of them was a carpenter right ?
 
Mbinguni sio kwa ajili ya Waislamu au Wakristo, mbinguni ni kwa ajili ya waliomwamini Yesu Kristo kuwa BWANA na mwokozi wa maisha yao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…