Waislamu wanaamini Wakristo hawaendi Mbinguni na Wakristo wanaamini waislamu hawaendi Mbinguni. Vita ni kali sana

Wala hakuna vita. Ni ujinga tu.

Haitakaa itokee Uislam wa Mtu au Ukiristo wa Mtu umpeleke Mtu huyo Mbinguni/Peponi.

Kitakacho mpeleka Mtu Mbinguni/Peponi ni Matendo yake mema na kutii amri za Mungu. Dini ni chombo tu ila wasafiri ni wanadam.
 
Ukimwi ni ugonjwa.

Ukimwi hauaminiwi upo, Ukimwi unajulikana kwa uhakika kabisa na uthibitisho kwamba upo.

Ukimwi si imani.
Umejibu vizuri sana.
Na kuhusu yule jamaa wanamuita HIV ambae ndio wanamsema anapelekea huo ukimwi je, yupo?
 
We ulishawahi kusoma Biblia? Vipi Biblia inasemaje kuhusu Yesu, Kwamba yeye ni nani!

Sasa kwenu nyinyi mudi si ni mtume fake tu kama mwamposa, halafu Allah ni Mungu dhaifu ambaye hana uwezo wa kufanya lolote.
Biblia ni kitabu kilitungwa na kina Lukas na mathayo kuwarubuni watu weusi wazee tumieni akili basi
 
Wala hakuna vita. Ni ujinga tu.

Haitakaa itokee Uislam wa Mtu au Ukiristo wa Mtu umpeleke Mtu huyo Mbinguni/Peponi.

Kitakacho mpeleka Mtu Mbinguni/Peponi ni Matendo yake mema na kutii amri za Mungu. Dini ni chombo tu ila wasafiri ni wanadam.
Mkuu mbinguni ni wapi exactly? Nan walowah kwenda ?
 
Chukua hii,weka umuhimu sana kwenye ishu ya kifo,Hapa ndipo siri zote zilipo.Jitahidi sana kutenda mema kwa wanaadamu.HAKIKISHA UNAKUFA UKIWA MWEMA.
Point ya muhimu sana kiongozi.... shukran sanaπŸ™πŸ™πŸ™
 
Biblia ni kitabu kilitungwa na kina Lukas na mathayo kuwarubuni watu weusi wazee tumieni akili basi
Kama ni kwa ajili ya kurubuni watu weusi, vipi weupe wana kingine zaidi ya hiki? Kama na wao wanakitumia hiki, point yako ni ya kijinga.

Vipi wewe, unaamini kitabu kipi cha Imani?
 
Kama ni kwa ajili ya kurubuni watu weusi, vipi weupe wana kingine zaidi ya hiki? Kama na wao wanakitumia hiki, point yako ni ya kijinga.

Vipi wewe, unaamini kitabu kipi cha Imani?
Usiwe mjinga mkuu din ni project za wazungu kupiga hela, alafu lingine kwasababu me siamini kitabu chenu kuna lazima wa mimi kuwa naamini kitabu lingine? Unaona ulivyo na mawazo finyu?
 
Usiwe mjinga mkuu din ni project za wazungu kupiga hela, alafu lingine kwasababu me siamini kitabu chenu kuna lazima wa mimi kuwa naamini kitabu lingine? Unaona ulivyo na mawazo finyu?
Haya twende polepole tuelewane niambie wazungu wanapigaje hela kupitia dini.
 
huyo unaemuita baba unamjua ? Mbinguni hakuna mwenye cheo hiko baba yako ni mmoja tu aliyekutoa kwenye suruali yake
 
Hili ni jambo dogo sana,pepo ya waislam inahusisha ngono na pombe kwa hiyo ni sahihi kama wakristo hawataenda huko . Pepo ya wakristo ni ya kumsifu na kumwabudu Mungu tu,ni sahihi kwa waislamu kutokwenda huko.

Hizi ni dini mbili tofauti zinazoamini katika Mungu wawili tofauti (Yahwe/Allah),nawasilisha.
 
Waulize waiskamu kuwa akiwa mwislamu mshika uislamu akifa ataenda wapi? Atakuambia ataenda Peponi. Peponi ji mahali wanakoishi mapepo ambayo wakristo kutwa hukemea yayoke kwa jina la Yesu

Wakristo waziri wao wakifa ukiwaul8za wataenda wapi watakujibu wataenda Mbinguni Mungu na malaika waliko

Safari za muislamu na mkristo ni tofauti waislamu safari yao ni kuelekea peponi wakati wakristo safari yao kuelekea Mbinguni
 
Haya twende polepole tuelewane niambie wazungu wanapigaje hela kupitia dini.
Mkuu habari ya dini ilikuja wakati wazungu wanataka kututawala, walivyotutawala hawakutupiga natural resources zetu ? Si ni hawa tumeingia nao mikataba ya kuchimba madingi miaka said ya 100?, si ni hawa waliwapiga na kuwachinnja mababu zetu na kuwafanya watumwa? Mungu alikuwa wapi ? Umesahau kujiuliza kwanini makanisa yanalindwa na walinzi binadamu ? Tena wengine wanabunduki ? Kwanini wasilinde malaika au Mungu mwenyewe ? Hizi dini ni taasisi za kupigia hela, ushawahi kujiuliza sadaka zinaenda wapi ? Bible si huwa zinauzwa hela zake zinaenda wapi ? Yes bible ipo kwenye public domain lakini kuna watu wanacopyright ya kuzipublish. Mkuu think outside the box, ni biashara haya mambo ya dini.
 
Sawa, hapo umezungumza kuhusu kututawala, hapo sasa usiseme wazungu pekee maana na waarabu pia waliitawala Africa kwenye baadhi ya maeneo.

Kama dini zilikuja ili kututawala maana yake ni kwamba vitabu vya dini vilitungwa kwa lengo hilo la kutawala Africa. Sasa tujiulize before habari ya kuja kuitawala Africa, wazungu hawakuwa wakikitumia kitabu cha Biblia kwenye matumizi Yao ya kiimani? Hapo kwa maelezo yako lazima jibu liwe ndio ili kwamba tuone Biblia ilitungwa kwa lengo la kuwatawala waafrica. Vipi sasa unaamini Biblia imetungwa ikiwa na lengo hilo unalolifikiria?

Halafu kwenye point ya sadaka kwenda wapi, inamaana unaamini sadaka zinakusanywa Africa na kwenda kwa wazungu? Mbona kama haupo serious. We inamaana huoni viongozi wa dini wanavyojineemesha kwa sadaka za waumini wao!? Inamaana huoni mwamposa alivyo tajiri sasa kwa kuwapiga pesa wakristo!? Ni kweli kwamba huoni sadaka zinaenda wapi hadi unahisi zinaenda kwa wazungu?
 
Mkuu, nimetumia wazungu kama sample space tu ila ni wote wazungu na waarabu, alafu kuna kitu hujui ngoja nkwambie wakati wazungu na waarabu wanakuja Africa walikuja na replica ya walichokuwa wanafanya ulaya miaka ya nyuma kabisa so walivyokuja Africa walikuja tu hiyo mode itafanya kazi na italeta matokeo sababu they had a working module already. Long story short haya mambo ya dini ni fix kubwa sana kuwa kutokea duniani, sababu haiwezekani Mungu aweke dini alafu kila dini inajiona bora kuliko mwenzie Yan hakuna watu RACIST kama wafia dini, sasa kama Mungu kaagiza upendo why watu waloshika sana dini ndio wanaongoza kwa RACISM?. Hujiulizag maswali kama hayo mkuu ? Mungu ni mkuu kuliko shetani right ? Kwanini asimmalize
 
Mimi na wewe tunaweza kuwa na mtazamo sawa kwamba dini ni fix tu, mi pia siamini kwamba Biblia na Quran ni vitabu vya Mungu ila tutapishana pale unasema dini imeletwa Africa ili watutawale. Hilo mi huwa naona ni wazo la kurithishwa tu ambalo ukilifatilia utaona ni uongo.

We unafikiri utumwa na dini kipi kilianza hapa Africa? Utumwa ulianza then dini ilifata. Sasa hapo haiwezekani dini ikawa imekuja kwenye Lengo ambalo tayari limeshafanikiwa.

Ninachokiamini ni kwamba Mungu hajaleta dini wala kitabu. Lakini naamini Biblia ni kitabu bora sana kinachompa mwanadamu mwanga wa kujua jinsi watu wa zamani walivyoishi. Ni masimulizi ya watu waliokuwepo wakati wa matukio yaliyoandikwa. Na naamini masimulizi hayo yamesimuliwa na kuandikwa na watu. Siamini katika Quran kwa sababu ni kitabu ambacho kimekaa kishari sana na kinaonekana kimeandikwa maalumu kabisa kupingana na Biblia. Kitu cha ovyo kabisa kwenye Quran ni vile kusema kimeshushwa wakiwa na maana kimeandikwa na Mungu mwenyewe,
 
Now you are comming to your senses, umesema ukweli hizi story zingine zinatupotezea muda na hela mastaa we fuatilia taratibu bila kuwa na presure au mikali utagundua tunapigwa fixi nyingi sana masta
 
Dini zenyewe mtu hutegemea amezaliwa na mzazi au mlezi wa imani ipi anayoikuta anaizoea na kukua nayo lakini wakishakuwa wanajiona kuwa bora kuliko wengine πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
Huwa nawashangaa sana.
 
Huo ndio ukweli wa milele
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…