Waislamu wanaamini Yesu wao atakuja kuhukumu binadamu, je atafanya hivyo kama nani na mamlaka yapi

Husomi Quran yetu vizuri, soma Quran 43:61.
Issa hana mamlaka ya kuhukumu mwanaadamu yeyote hata kuku huo uwezo hana .isipo kuwa mwenyezi mungu anapo piga mfno kama mfumo wa qruan ulivyo kuna sehemu humpi mamlaka ya moja kwa moja .mfano anasema na tutakuonjesha adhabu chungu .mda huo anakwambia yeye ni mmoja sometimes quruan kwa tafakuli sana na si kwakuikalili.
 
Umeeleweka sana, vipi kuhusu Mtume Muhamad(S.AW)?
Mtume Muhammad ni ni mtume tu kama ambavyo mungu angependa kukutumia wewe hapo. Akakuinua daraja basi .hivyo mungu humuinua ampendae na hana mamlaka yoyote Mtume kwa mwanadamu. Ila tu alikuwa mbainishaji na muonyaji kama alivyo tumwa. Mwenyezi mungu akipenda anaweza kutoa roho ya malaika wote na wewe wanadamu usijue ukaishi kawaida tu. Mungu ni mkuu na hana msaidizi ila kujifurahisha tu. Kama akioenda zaidi hakuna Mtume atakae fanya lolote wala kuweka kauli ndogo tu kwake.ni vile kauli yake ikikuthibotikia basi unaokolewa ama unapotea harudishi kitu mwenyezi mungu wala hampunguzii yeyote isipokuwa sisi kujipunguzia. Ukuu wa mungu ukitaka niuelezee wote haiwezekani ila tu jua hakuna malaika.wala Mtume wala wanadamu mwenye mamlka ya hata maisha yake pekee. Kama Muhammad angeongeza lilote katika quruan basi kusingekuwepo hata na harufu ya jina lake duniani mungu ni mmoja pekee.
 
Upuuzi kabisa. Kwa yeyote anayetaka kujijua kama yeye ni mjinga basi jiulize kwanini mpaka leo unagombana na Waafrica wenzio kwa sababu ya dini mlizoletewa na kudharirishwa pia.
 

Mengi nakubaliana nawe. Pengine ambapo tunaenda njia anuwai, ni pale unaposema mafundisho ya kibiblia yalianza karne ya kwanza. Kimsingi mafundisho haya yalianza tangu kuumbwa kwa dunia yaani Mwanzo 1 : 1 inapoeleza jinsi roho ya ilivyokuwa ikipita juu ya vilindi vya maji
 
Kwani hakimu huzunguka ili kuhukumu watu au husubiri kesi zifike ili ahukumu?

Naona mlishindwa kujibu hoja yangu, aidha azunguke au hata akae sehemu moja, huyu kwa tafsiri yenu huwa mnasema ni binadamu wa kawaida, hiyo sehemu moja atakaaje ahukumu mabilioni ya watu dunia hii kama yeye ni binadamu tu.
 
Naona mlishindwa kujibu hoja yangu, aidha azunguke au hata akae sehemu moja, huyu kwa tafsiri yenu huwa mnasema ni binadamu wa kawaida, hiyo sehemu moja atakaaje ahukumu mabilioni ya watu dunia hii kama yeye ni binadamu tu.
Atahukumu watu wote ambao wenye kesi zao na hilo akipewa uwezo na Allah ashindwi
 
Atahukumu watu wote ambao wenye kesi zao na hilo akipewa uwezo na Allah ashindwi

Wapi imeandikwa atapewa uwezo na allah wenu wa kuhukumu mabilioni ya watu, yeye atahukumu kama nani ilhali mnasema ni binadamu na kwamba allah wenu tu ndiye ana uwezo wa kuhukumu, kwanini huyo allah wenu asihukumu yeye hao mabilioni ya watu amtumie huyo binadamu.

Hii hata mchanganye vipi au mgeuze vipi bado mtajikuta mnarudi pale pale, Biblia inasema kila goti litapigwa na kila ulimi utakiri mbele ya Yesu wa ukweli...
 
Kwanza nikuulize wapi hapo ametajwa yesu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…