Waislamu wanajuaje majina ya Kaini, Habili na Hawa wakati hayapo kwenye Quran?

Qurani haikuyataja majina hayo. Majina ya Kaini, Habili na Hawa katika Uislamu yanapatikana katika Hadithi na tafsiri za wanazuoni, si katika maandishi ya Qurani yenyewe.

Hivyo swali la 'ilitumia Biblia gani' halina msingi kwa sababu Qurani yenyewe haijataja hayo majina.
Wanazuoni waliyapata wapi majina ya watoto wa Adamu kuwa ni Kaini na Habili na mke wake kuwa ni Hawa??
 
Waliyapata kutoka katika Hadithi, mapokeo ya Waislamu wa mwanzo, na simulizi za Isra'iliyyat (mapokeo ya Kiyahudi na Kikristo) ambazo zilitumika kufafanua visa ambavyo Qurani haikuvieleza kwa majina. Hii haimaanishi kwamba Qurani ilinakili Biblia; bali inaonyesha kwamba wafasiri wa baadaye walitumia vyanzo mbalimbali vya mapokeo kuelezea visa hivyo.
 
Muislamu wa kwanza alikuwa Muhammad Sheikh, Quran 6:163.
 
Kuna jambo linanichanganya Waislamu wanaposema Injili/Biblia na Taurati vimeharibiwa au kupotoshwa,

Ikiwa Qurani inasema mambo mengine waulizwe wayahudi au watu wa Kitabu wakati Taurati na Injili zinapingana nayo, basi Quran inajipinga na hivyo ni ya uongo. Ikiwa Taurati na Injili zimeharibiwa au zimepotoshwa, basi kwa mujibu wa hoja hiyo hiyo, Quran bado ni ya uongo kwa sababu inazithibitisha inapotumia baadhi ya rejea zake, huu ni mkanganyiko.

Mfano mmojawapo ni kwamba Kaini, Habili na Hawa hawajatajwa kwenye Quran hivyo ili Muislamu awajue anahitaji kuwasoma kwenye Biblia au Taurati, Sasa ukisema hivi vitabu vimeharibiwa ina maana huwezi kujua majina ya watoto na mke wa Adamu, ukiyakubali hayo majina yao ina maana Quran nayo pia inakuwa kwenye mkondo wa kuharibiwa au kupotoshwa.
Quran na hadith inewataja kama watoto wa Adam...haikutaja majina yao kwasababu ni kitu kisicho na umuhimu sana kwetu kuliko story yao ambayo ni funzo kubwa kuhudiana na mauaji ya kwanza kati ya binadamu kwa binadamu.

Wanahistoria wamewatambua kwa majina ya Qabil na Habil au Cain na Abel ili kuwatofautisha tu
 
Hakuna wanahistoria waliowataja watoto wa Adamu, Story ya Adamu na Watoto wake ni jambo la kwenye biblia tu, hakuna historia inayotaja au kuthibitisha chochote kuhusu Adamu, mke wake na Watoto wao zaidi ya Biblia(Taurati na Injili).
 
Oya mkuu vipi uji wa mchele pande za huko Bagamoyo😆😆😆
😀😀.ahaa sijaenda muda kweli.nauli zimepanda kutoka mapinga Hadi bagamoyo 1,500.
Sasa kwenda na kurudi ni 3,000 hyo.
Uji vikombe 3 ni 1,500.
Nimeona Bora nivunge kwanza
 
Dini ni utapeli tu ......
Uwe mjinga uwe mjanja !!!
maneno ya mungu hayawezi kuwa utapeli.huo ni mtazami wako.
Haujaletwa duniani Bure Bure.
Ni lazma umjue aliyekuleta na hauwezi kumjua aliyekuleta bila kujua dini.elimika
 
Muislamu wa kwanza alikuwa Muhammad Sheikh, Quran 6:163.

Ukisoma Qurani yote, si aya moja pekee, utaona Ibrahim (3:67), Nuhu (10:72), Musa na wafuasi wake (10:84), na Yusuf (12:101) wote wameitwa Waislamu.

Hivyo Qurani 6:163 haiwezi kumaanisha Muhammad ndiye Muislamu wa kwanza katika historia, bali wa kwanza katika umma wake kuitikia amri ya Allah.

Aya hufasiriwa kwa kuzingatia Qurani yote, si kwa kuitenganisha na aya nyingine."
 
Sasa utajuaje nani alimuua mwenzake??
Cain ndo alimuua habili.
Zipo hadithi zinazozungumzia hilo tukio.point ambayo haipingani kwenye biblia na Quran ni kuwa watoto wawili wa Adam ndo waliuana.
 
Muislamu wa kwanza alikuwa Muhammad Sheikh, Quran 6:163.
Quran 33:7

Muhammad (s.a.w) alikuwa ndio muislam wa kwanza kwenye ummah huu wa mwisho ila kuna nyumati zilizopita ambazo pia zilikuwa na waislam
 
Kuna jambo linanichanganya Waislamu wanaposema Injili/Biblia na Taurati vimeharibiwa au kupotoshwa,

Ikiwa Qurani inasema mambo mengine waulizwe wayahudi au watu wa Kitabu wakati Taurati na Injili zinapingana nayo, basi Quran inajipinga na hivyo ni ya uongo. Ikiwa Taurati na Injili zimeharibiwa au zimepotoshwa, basi kwa mujibu wa hoja hiyo hiyo, Quran bado ni ya uongo kwa sababu inazithibitisha inapotumia baadhi ya rejea zake, huu ni mkanganyiko.

Mfano mmojawapo ni kwamba Kaini, Habili na Hawa hawajatajwa kwenye Quran hivyo ili Muislamu awajue anahitaji kuwasoma kwenye Biblia au Taurati, Sasa ukisema hivi vitabu vimeharibiwa ina maana huwezi kujua majina ya watoto na mke wa Adamu, ukiyakubali hayo majina yao ina maana Quran nayo pia inakuwa kwenye mkondo wa kuharibiwa au kupotoshwa.
Muddy alikuwa HAJUI kitu. Alikuwa na rafiki mkristo ndo alikuwa anachakata story. Waislam watakwambia bibilia imechezewa🤣 hawajui ata historia yake. Alafu wanamtupia lawama Paulo utadhani ndio aliekusanya vitabu. Shida inaanza hawakwambii ni sehemu gani au ni nani aliyechezea lakini wanatumia kukamilisha mambo yao. Wakiona mistari haiendani nao wanasema imechezewa. Ni kituko hii dini. Ndio maana wa Iran watu wenye akili mingi wanaukataa uislam kwa mamilioni. Miskiti imefungwa. Cheki idadi ya miskiti iliyofungwa Iran baada ya watu kuona uislam ni upupu. Source ni serikali ya Iran yenyewe.
50,000 mosques have closed in Iran - Are Iranians seeking truth outside of Islam? - All Arab News
 
Mbona huko italy kwenye mizizi ya ukristo makanisa mengi yamefungwa?

Nchini Italy makanisa mengi yamefungwa au hayatumiki tena kutokana na kupungua kwa waumini, gharama za matengenezo, na mabadiliko ya idadi ya watu.

Baadhi ya majengo ya zamani ya makanisa yameuzwa na kubadilishwa matumizi, kama kuwa maktaba, makumbusho, migahawa, nyumba au vituo vya kitamaduni.
 
Ukisoma Qurani yote, si aya moja pekee, utaona Ibrahim (3:67), Nuhu (10:72), Musa na wafuasi wake (10:84), na Yusuf (12:101) wote wameitwa Waislamu.

Hivyo Qurani 6:163 haiwezi kumaanisha Muhammad ndiye Muislamu wa kwanza katika historia, bali wa kwanza katika umma wake kuitikia amri ya Allah.

Aya hufasiriwa kwa kuzingatia Qurani yote, si kwa kuitenganisha na aya nyingine."
Huwezi kuwa Muislamu bila Shahada-nguzo ya kwanza ya Uislamu.
 
Quran 33:7

Muhammad (s.a.w) alikuwa ndio muislam wa kwanza kwenye ummah huu wa mwisho ila kuna nyumati zilizopita ambazo pia zilikuwa na waislam
Huwezi kuwa Muislamu bila Shahada-nguzo ya kwanza ya Uislamu.
 
Huwezi kuwa Muislamu bila Shahada-nguzo ya kwanza ya Uislamu.

Shahada ni nguzo ya kwanza kwa umma wa Mtume Muhammad.

Lakini Qurani inawaita Abraham (3:67), Noah (10:72) na Joseph (12:101) Waislamu.

Hivyo "Muislamu" ni anayejisalimisha kwa Mungu; Shahada ya sasa ni kwa umma wa Muhammad.
 
Shahada ni nguzo ya kwanza ya Uislamu, hakuna Uislamu bila Shahada.

Quran inajicganganya kwenye mambo mengi tu kwa sababu haikuandikwa na watu wenye uelewa mzuri wa logic.

Kuna Waislamu wenzako wanasema Shahada ya watu wa Issa ilikuwa ni "Hakuna Mungu isipokuwa Allah na Issa ndiye mtume wake" Ilimradi tu Issa we Muislamu 😁
 
Back
Top Bottom