Shahada ni nguzo ya kwanza ya Uislamu, hakuna Uislamu bila Shahada.
Quran inajicganganya kwenye mambo mengi tu kwa sababu haikuandikwa na watu wenye uelewa mzuri wa logic.
Hakuna kujichanganya.
Shahada ni nguzo ya Uislamu wa umma wa Muhammad, lakini Qurani pia inawaita Abraham na manabii wengine Waislamu kwa maana ya kujisalimisha kwa Mwenyezi Mungu.
Hiyo ni tofauti kati ya maana ya neno "Muislamu" na sheria (Sharia) ya Mtume Muhammad