Waislamu wanatubeba sana!!

Waislamu wanatubeba sana!!

Mada nzuri sana but at the same time italeta shida endapo itafika mbali.

Endapo watu wataleta hard feelings kwenye hii mada italeta tabu sana, ukabila, udini, Racism ni vitu hatari..

Kilichoongeleka hapa ni ukweli kwa kiasi kikubwa.
Hapa nilipo sio kwamba nafurahia kuzaliwa mkristo wala muislam, sio kwamba napenda kuzaliwa msambaa, wala mchaga wala mmakonde.

sio kama nafurahia kuzaliwa mweupe wala mweusi, but nimezaliwa nikiwa hivi na nashindwa kutafuta ukweli wa mambo sababu sijui hatima yangu baada ya kuzaliwa na kufa ni nini, Aliyenipa uhai huu anajua nini hatma yangu hapa duniani.

Sidhani kama nitaeleweka kwa urahisi ila nikieleweka kwa baadhi nitashkuru sana.
kijana njoo nikuelimishe utaweza kujua hatma yko
 
Mleta Mada, angalia sana usije ukamkasirisha MUNGU. Natumaini kuwa MUNGU ameyapuuza makufuru yako hayo. Usilete udini ndugu.
Nitakuuliza neno moja kuhusu hao watawala unaosema hawako hai. Je, Maalim Self Mungu amrehemu, alikuwa Mkristo?. Je unafahamu kuwa Maalim Seif alikuwa Icon halisi ya vyama vya upinzani?. Tena alikubalika kwa watanzania wote dini zote.
Maisha ya mtu yanaamuliwa na Muumba sio wewe wala Ibilisi . Acha kujikinai ndugu omba toba.
Haya, wanamuziki wakubebaje?. Ivi, nyimbo zinazoimbwa leo na hao uliowaorodhesha, ni mstaarabu gani atakayeangalia au kusikiliza nyimbo zilizojaa maneno machafu . Mfano, "mke wa mtu, sumu, mume wa mtu maziwa ".
Ule wimbo Nyegezi. Haya ule wimbo Sukari, unaelewa maana yake?. Hao wanakubeba wewe mwenye mtazamo huo na sio wastaarabu.
Tulio wastaarabu tunapoona michezo ya ajabu ajabu Kama Mapooka tunahamisha channel.
"Wanatubeba", watubeba kutuelekeza Shimoni.
Kalaga bahho.
Nime change baada ya kusoma hii comment.
Mtoa maada baki peke yako.
 
Umesahau kitu kimoja. Awamu zilizoongozwa na muslims ndio ziliongoza kwa corruption na scandals za uhujumu uchumi.
Mkuu ficha ujinga japo kidogo. Utawala wa muslims huwa madudu yanaonekana wazi na angalau hatua kuchukuliwa kwasababu ya uwazi maana viongozi huachia vyombo vya habari kutafuta habari za kiuchunguzi nakuziweka hadharani umma ujue.

Sasa tawala za upande wa pili hutumia nguvu kubwa mno kuzuia uhuru wa vyombo vya habari ili kuficha madudu na ufisadi mkubwa. Refer utawala wa Jiwe CAG aliibua ufisadi mkubwa ATCL na upotevu wa trilion 1.5 hazionekani zilipo kilichofuata aliwekwa pembeni kinyume na katiba.

Kwahiyo waislamu wanawapa sana raia uhuru wakujiachia nakuikosoa serikali yao pasipo kupotezwa na wasiojulikana. Naamini unajua vema wasiojulikana walishamiri utawala upi.
 
They dominate and represent Tanzania in many aspects of life:

1. Football
70% of Simba, Yanga and Azam first eleven teams are dominated by Muslim players.

[UPDATE from DeepPond]:
  • Azam FC inadhaminiwa na Bakhresa.
  • Yanga inadhaminiwa na GSM.
  • Simba inadhaminiwa na Mo.
Not to mention the likes of Mbwana Samatta who shines our name internationally!
View attachment 2049955

2. Boxing
Nothing to say here. Check these names:
Hassan Mwakinyo
Dullah Mbabe
Twaha Kiduku
View attachment 2049956
3. Basketball
Kuna anaemjua successful basketball player other than Hashim Thabit?
View attachment 2049957
4. Muziki
[emoji3][emoji3] Tuseme nini hapa.
Muziki genres karibu zote hapa kuanzia Taarab, Dansi, Urban, Singeli zote ziko dominated nao.
Chibu Dangote, Alikiba, Konde, Raymond Shaaban, Lovebyte, Zuchu, Mbosso, Aslay, Marioo.
View attachment 2049959
Tuendelee?? Alichoki, Late Banza Stone, Mwinjuma, Nasma Kidogo, Malkia Khadija Kopa, Mzee Yusuph, Isha Mashauzi, Late TX Moshi, Late Marijani jabali la muziki, Komandoo Hamza Kalala.

5. Wealth:
Top ten billionaire list in Tanzania is dominated by them. I don't want to mention them. Wanafahamika.

View attachment 2049961
5. Leadership/Governance
Historians (and political experts) agree that awamu zilizotawaliwa na Muslim presidents ndizo zilikua na economic reforms, political stability, hata diplomatic relations na nchi za nje ziliimarika.
Don't mention Ugandan war ilitokea awamu gani, don't mention mauaji ya Mwembechai yalitokea awamu gani.
View attachment 2049963
Food for Thought: Is it a coincidence that all Muslim Presidents are still alive up to date!!!

========≠======
UPDATE: 6. Struggle for Independence:
Ni vigum mno, sana tena sana kutenganisha juhudi za kupigania uhuru wa Tanzania (both mainland and Zanzibar) na uislamu.

Kwenye baraza la wazee TANU mwaka 1961, liliundwa na watu 15, waislamu walikua 13 (JKN yule paleeeee)
View attachment 2051407
Mimi ni mwuslamu lakini maneno ya kutugawa hivi siyapendi kabisa

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Ukweli Ni kwamba Kuna watu wengi sana Wana majina yanayoendana na ya waislamu lkn watu hao sio waislamu.
Hivi unaweza kusema Naseeb nimuislamu ?
Uislam unaruhusu kufuga mbwa?
Uislam unaruhusu kuchukua mke wa mtu?
Uislam unaruhusu wizi au kutembea na kina delicious?
Kufuga mbwa muislam unaruhusiwa hata kumtumia kuwindia unaruhusiwa, ila hayo mengine ni kweli huruhusiwi.
 
Ndugu zangu waislamu wao na shule ni vitu viwili tofauti ndio maana wanajazana kwenye ushenzi huko....kozi zote nilizozisoma waislamu tulikuwa tunahesabika...
Si huwa nasikia kuwa KUSOMA SANA NI UOGA WA MAISHA.
ndiyo maana wakristu wengi hung'ang'ana nashule huku muda unaenda halafu wenzao wanapiga kazi kitaa mwisho wasiku wakristu wakimaliza vyuo wanakuja kuajiriwa na waislamu.
 
Ila waislamu ni wanafiki sn,wao ndy wanaongoza kulalamika wananynyaswa na mfumo Kristo kila siku

Unafiki mwingine ni huu;Kusema muziki,Mpira ni ushetani lkn wao ndy wapo on top,wameshikilia crown [emoji146]

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Wakristo ndio wanalalamika kuwa na UDINI pindi nchi ikiongozwa na Muislamu.
Unajua waislamu huwa hawahangaiki na mambo ya Dunia, wanajua wanapita tu ila Wakristo wanashughulishwa na mambo ya Kidunia.
 
Ndugu zangu waislamu wao na shule ni vitu viwili tofauti ndio maana wanajazana kwenye ushenzi huko....kozi zote nilizozisoma waislamu tulikuwa tunahesabika...
Huoni haya kusema uongo?
'Ndugu zangu waislam wao na Shule'

'Course zote nilizosoma waislam tulikuwa'
.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom