Waislamu wanatubeba sana!!

Waislamu wanatubeba sana!!

Mh....masuala ya dini, makabila wala hayana afya...
Pili mbona wanalalamika wanaonewa??
 
Maliza mwenyewe wa madhehebu ulioanzisha kwakuwa unaweza kuamulia ugomvi huo
 
Mwambie Mohamed Said labda atakuelewa. Ona nyuzi zake:

Fact zipi? Majina yana uhusiano na dini? Nenda Hong Kong mfano mzuri pia nenda Uarabuni majina ya kiarabu hayana uhusiano na dini, yanatumiwa na dini zote.

Hapa ndio utagunduwa ujinga wa mtu mweusi ulipojikita.
Povu linakutoka kishenzi...

Hutaki kukubali ukweli 😅😅
 
They dominate and represent Tanzania in many aspects of life:

1. Football
70% of Simba, Yanga and Azam first eleven teams are dominated by Muslim players.

[UPDATE from DeepPond]:
  • Azam FC inadhaminiwa na Bakhresa.
  • Yanga inadhaminiwa na GSM.
  • Simba inadhaminiwa na Mo.
Not to mention the likes of Mbwana Samatta who shines our name internationally!
View attachment 2049955

2. Boxing
Nothing to say here. Check these names:
Hassan Mwakinyo
Dullah Mbabe
Twaha Kiduku
View attachment 2049956
3. Basketball
Kuna anaemjua successful basketball player other than Hashim Thabit?
View attachment 2049957
4. Muziki
[emoji3][emoji3] Tuseme nini hapa.
Muziki genres karibu zote hapa kuanzia Taarab, Dansi, Urban, Singeli zote ziko dominated nao.
Chibu Dangote, Alikiba, Konde, Raymond Shaaban, Lovebyte, Zuchu, Mbosso, Aslay, Marioo.
View attachment 2049959
Tuendelee?? Alichoki, Late Banza Stone, Mwinjuma, Nasma Kidogo, Malkia Khadija Kopa, Mzee Yusuph, Isha Mashauzi, Late TX Moshi, Late Marijani jabali la muziki, Komandoo Hamza Kalala.

5. Wealth:
Top ten billionaire list in Tanzania is dominated by them. I don't want to mention them. Wanafahamika.

View attachment 2049961
5. Leadership/Governance
Historians (and political experts) agree that awamu zilizotawaliwa na Muslim presidents ndizo zilikua na economic reforms, political stability, hata diplomatic relations na nchi za nje ziliimarika.
Don't mention Ugandan war ilitokea awamu gani, don't mention mauaji ya Mwembechai yalitokea awamu gani.
View attachment 2049963
Food for Thought: Is it a coincidence that all Muslim Presidents are still alive up to date!!!

========≠======
UPDATE: 6. Struggle for Independence:
Ni vigum mno, sana tena sana kutenganisha juhudi za kupigania uhuru wa Tanzania (both mainland and Zanzibar) na uislamu.

Kwenye baraza la wazee TANU mwaka 1961, liliundwa na watu 15, waislamu walikua 13 (JKN yule paleeeee)
View attachment 2051407

Kuna shida na jinsi mtu mweusi anavyofikiri??
Wakati sisi tunaona mtu we unaona Dini[emoji3][emoji3]sasa hyo dini yake ndyo ina cheza mpira, ina imba mziki au inatafuta pesa!…

Yaan miafrica inawaza udini ukabila na ngono full stop
 
They dominate and represent Tanzania in many aspects of life:

1. Football
70% of Simba, Yanga and Azam first eleven teams are dominated by Muslim players.

[UPDATE from DeepPond]:
  • Azam FC inadhaminiwa na Bakhresa.
  • Yanga inadhaminiwa na GSM.
  • Simba inadhaminiwa na Mo.
Not to mention the likes of Mbwana Samatta who shines our name internationally!
View attachment 2049955

2. Boxing
Nothing to say here. Check these names:
Hassan Mwakinyo
Dullah Mbabe
Twaha Kiduku
View attachment 2049956
3. Basketball
Kuna anaemjua successful basketball player other than Hashim Thabit?
View attachment 2049957
4. Muziki
😀😀 Tuseme nini hapa.
Muziki genres karibu zote hapa kuanzia Taarab, Dansi, Urban, Singeli zote ziko dominated nao.
Chibu Dangote, Alikiba, Konde, Raymond Shaaban, Lovebyte, Zuchu, Mbosso, Aslay, Marioo.
View attachment 2049959
Tuendelee?? Alichoki, Late Banza Stone, Mwinjuma, Nasma Kidogo, Malkia Khadija Kopa, Mzee Yusuph, Isha Mashauzi, Late TX Moshi, Late Marijani jabali la muziki, Komandoo Hamza Kalala.

5. Wealth:
Top ten billionaire list in Tanzania is dominated by them. I don't want to mention them. Wanafahamika.

View attachment 2049961
5. Leadership/Governance
Historians (and political experts) agree that awamu zilizotawaliwa na Muslim presidents ndizo zilikua na economic reforms, political stability, hata diplomatic relations na nchi za nje ziliimarika.
Don't mention Ugandan war ilitokea awamu gani, don't mention mauaji ya Mwembechai yalitokea awamu gani.
View attachment 2049963
Food for Thought: Is it a coincidence that all Muslim Presidents are still alive up to date!!!

========≠======
UPDATE: 6. Struggle for Independence:
Ni vigum mno, sana tena sana kutenganisha juhudi za kupigania uhuru wa Tanzania (both mainland and Zanzibar) na uislamu.

Kwenye baraza la wazee TANU mwaka 1961, liliundwa na watu 15, waislamu walikua 13 (JKN yule paleeeee)
View attachment 2051407
Kwa sasa hv unaona hivyo,
Edibily lunyamila,Filbert bsyi,nteze John,Hawa walikuwa wanamichezo hatari sana kabla hujazaliwa,nyie mliozaliwa 1994+hamuwezi kuyajua haya,mmezaliwa mmewwkuta zuchu na Mond tu,
Hizi timu za yanga na Simba,hwzikuanza jana,ziliishawahi kuwa na waxhezaji wengine wasio "Islam""katafute history ya George Masatu,
 
They dominate and represent Tanzania in many aspects of life:

1. Football
70% of Simba, Yanga and Azam first eleven teams are dominated by Muslim players.

[UPDATE from DeepPond]:
  • Azam FC inadhaminiwa na Bakhresa.
  • Yanga inadhaminiwa na GSM.
  • Simba inadhaminiwa na Mo.
Not to mention the likes of Mbwana Samatta who shines our name internationally!
View attachment 2049955

2. Boxing
Nothing to say here. Check these names:
Hassan Mwakinyo
Dullah Mbabe
Twaha Kiduku
View attachment 2049956
3. Basketball
Kuna anaemjua successful basketball player other than Hashim Thabit?
View attachment 2049957
4. Muziki
😀😀 Tuseme nini hapa.
Muziki genres karibu zote hapa kuanzia Taarab, Dansi, Urban, Singeli zote ziko dominated nao.
Chibu Dangote, Alikiba, Konde, Raymond Shaaban, Lovebyte, Zuchu, Mbosso, Aslay, Marioo.
View attachment 2049959
Tuendelee?? Alichoki, Late Banza Stone, Mwinjuma, Nasma Kidogo, Malkia Khadija Kopa, Mzee Yusuph, Isha Mashauzi, Late TX Moshi, Late Marijani jabali la muziki, Komandoo Hamza Kalala.

5. Wealth:
Top ten billionaire list in Tanzania is dominated by them. I don't want to mention them. Wanafahamika.

View attachment 2049961
5. Leadership/Governance
Historians (and political experts) agree that awamu zilizotawaliwa na Muslim presidents ndizo zilikua na economic reforms, political stability, hata diplomatic relations na nchi za nje ziliimarika.
Don't mention Ugandan war ilitokea awamu gani, don't mention mauaji ya Mwembechai yalitokea awamu gani.
View attachment 2049963
Food for Thought: Is it a coincidence that all Muslim Presidents are still alive up to date!!!

========≠======
UPDATE: 6. Struggle for Independence:
Ni vigum mno, sana tena sana kutenganisha juhudi za kupigania uhuru wa Tanzania (both mainland and Zanzibar) na uislamu.

Kwenye baraza la wazee TANU mwaka 1961, liliundwa na watu 15, waislamu walikua 13 (JKN yule paleeeee)
View attachment 2051407
Hata mawaziri wakuu wote Bado wapo,Salim ahmed,Malecela,Msuya,Sumaye,warioba,Lowasa,
Hakuna coincidence yoyote kwamba maraisi wa "Islam"Bado wapo!!
Kwani leo ndio mwisho wa Dunia,in ten years time,all will be dead,nothing special about it,
 
They dominate and represent Tanzania in many aspects of life:

5. Wealth:
Top ten billionaire list in Tanzania is dominated by them. I don't want to mention them. Wanafahamika.

View attachment 2049961
5. [/ATTACH]

Hao matajiri ni Muslims tu au ni asili ya Asia?

Maana hiyo top 10 mostly imetawaliwa na asians traits.
 
They dominate and represent Tanzania in many aspects of life:

1. Football
70% of Simba, Yanga and Azam first eleven teams are dominated by Muslim players.

[UPDATE from DeepPond]:
  • Azam FC inadhaminiwa na Bakhresa.
  • Yanga inadhaminiwa na GSM.
  • Simba inadhaminiwa na Mo.
Not to mention the likes of Mbwana Samatta who shines our name internationally!
View attachment 2049955

2. Boxing
Nothing to say here. Check these names:
Hassan Mwakinyo
Dullah Mbabe
Twaha Kiduku
View attachment 2049956
3. Basketball
Kuna anaemjua successful basketball player other than Hashim Thabit?
View attachment 2049957
4. Muziki
😀😀 Tuseme nini hapa.
Muziki genres karibu zote hapa kuanzia Taarab, Dansi, Urban, Singeli zote ziko dominated nao.
Chibu Dangote, Alikiba, Konde, Raymond Shaaban, Lovebyte, Zuchu, Mbosso, Aslay, Marioo.
View attachment 2049959
Tuendelee?? Alichoki, Late Banza Stone, Mwinjuma, Nasma Kidogo, Malkia Khadija Kopa, Mzee Yusuph, Isha Mashauzi, Late TX Moshi, Late Marijani jabali la muziki, Komandoo Hamza Kalala.

5. Wealth:
Top ten billionaire list in Tanzania is dominated by them. I don't want to mention them. Wanafahamika.

View attachment 2049961
5. Leadership/Governance
Historians (and political experts) agree that awamu zilizotawaliwa na Muslim presidents ndizo zilikua na economic reforms, political stability, hata diplomatic relations na nchi za nje ziliimarika.
Don't mention Ugandan war ilitokea awamu gani, don't mention mauaji ya Mwembechai yalitokea awamu gani.
View attachment 2049963
Food for Thought: Is it a coincidence that all Muslim Presidents are still alive up to date!!!

========≠======
UPDATE: 6. Struggle for Independence:
Ni vigum mno, sana tena sana kutenganisha juhudi za kupigania uhuru wa Tanzania (both mainland and Zanzibar) na uislamu.

Kwenye baraza la wazee TANU mwaka 1961, liliundwa na watu 15, waislamu walikua 13 (JKN yule paleeeee)
View attachment 2051407
Hv mapumbavu km wewe yanazaliwa kwa faida gani. Umekaa mwanaume mzima unachambua upumbavu km huu. Wametubeba ktk nini, km riziki kila mtu inamsaidia mwenyewe na familia yake. Unachambua utajiri au mafanikio ya wanaume wenzako badala utumie huo muda kujipambania km siye mwehu ni nini. Halafu unaleta ubaguzi wa kidini, we ni shetwani ibilisi
 
Ila waislamu ni wanafiki sn,wao ndy wanaongoza kulalamika wananynyaswa na mfumo Kristo kila siku

Unafiki mwingine ni huu;Kusema muziki,Mpira ni ushetani lkn wao ndy wapo on top,wameshikilia crown [emoji146]

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Tambua mambo haya hapo chini

Kuna muumini

Pia kuna muisilamu

Muisilamu hana tofaoti na kimatendo na watu wengine

Kwenye miziki yumo kwenye pombe yumo kwenye vilabu via mipila yumo kwenye mabanda ya kuchoma nyama ya nguruwe yumo kwenye riba yumo kwenye siasa yumo ushoga ubasha ukahaba uchawi

Muumini wa au mfuasi alisi wa mtume Muhammad amani ya Allah iwe juu yake uwezi mkuta kwenye mambo hayo

TOFAOTISHA WAISILAMU NA WAUMINI
 
Mleta Mada, angalia sana usije ukamkasirisha MUNGU. Natumaini kuwa MUNGU ameyapuuza makufuru yako hayo. Usilete udini ndugu.
Nitakuuliza neno moja kuhusu hao watawala unaosema hawako hai. Je, Maalim Self Mungu amrehemu, alikuwa Mkristo?. Je unafahamu kuwa Maalim Seif alikuwa Icon halisi ya vyama vya upinzani?. Tena alikubalika kwa watanzania wote dini zote.
Maisha ya mtu yanaamuliwa na Muumba sio wewe wala Ibilisi . Acha kujikinai ndugu omba toba.
Haya, wanamuziki wakubebaje?. Ivi, nyimbo zinazoimbwa leo na hao uliowaorodhesha, ni mstaarabu gani atakayeangalia au kusikiliza nyimbo zilizojaa maneno machafu . Mfano, "mke wa mtu, sumu, mume wa mtu maziwa ".
Ule wimbo Nyegezi. Haya ule wimbo Sukari, unaelewa maana yake?. Hao wanakubeba wewe mwenye mtazamo huo na sio wastaarabu.
Tulio wastaarabu tunapoona michezo ya ajabu ajabu Kama Mapooka tunahamisha channel.
"Wanatubeba", watubeba kutuelekeza Shimoni.
Kalaga bahho.
Kakusudia kutubeba kwenye kulipa kodi hata hizo nyimbo zao za kishenzi serikali inachukua kodi
 
Back
Top Bottom