Waislamu wasiotaka kuendana na mila na desturi za bara Uropa wahamie kwingine, asema waziri wa Ujerumani

Waislamu wasiotaka kuendana na mila na desturi za bara Uropa wahamie kwingine, asema waziri wa Ujerumani

Hii ndiyo miafrica wengi ni wajinga sana hawa Wazungu zaidi ya miaka 100 wanakuja Africa wanachukua mali zetu wanatuletea vita zisizoisha mfano Congo bado miafrica inaona wazungu wapo sawa Niger kawafukuza.

Sisi Waislam dini yetu imetuhamrisha kuzambaza Uislam kila kona ya dunia huo Mjerumani hawakataze Wajerumani wenzake wasiingie kwenye Uislam siyo Ulaya yote wanapenda ushoga ndiyo maana unaona Wazungu kila siku wanaingia kwenye Uislam.

Waiislam wananua Makanisa na kuyageuza Misikiti. Baada ya miaka 20 Ulaya itakuwa chini ya Waislam😅
Kama uingereza ipo kwa yule kafiri wa kihindi, muabudu mashetani. Waingereza wanaongzwa na waabudu mashetani wahindi. Badala ya kuongozwa na wakiristo. Dunia uwanja wa fujo
 
Hao nchi za ulaya na marekani wanaanzisha vita kwenye nchi zao hao wakimbizi halafu wanashangaa kwanini wanakimbilia kwenye nchi hizo. Maajabu haya
Kinachotushangaza ni kwamba wanakimbilia kwa walewale wanaowaita makafiri na hawataki kabisa kwenda kwenye nchi yoyote ya kiislamu kwa sababu wamechoka kuendeleza utamaduni wa kiarabu wanaoona haufai katu katika dunia ya kisasa.

Katika nchi za kiarabu na hizo zinazojiita za kiislam watu kulazimishwa kuswali kitu ambacho binadamu wa kileo hapendi.

Mabinti hulazimishwa kulinda ubikra hadi siku ya kuolewa na wengi leo wanashindwa na kulazimika kufanya ngono kinyume cha maumbile ili tu kulinda ubikra maanake akishindwa kulinda ubikra na kugundulika siku ya kuolewa kwamba sio bikira basi uwezekano mkubwa ni kuuwawa kwa madai kwamba amemdhalilisha familia.

Sasa mambo ya kipumbavu kama hayo hufanya waarabu wengi kuamua kuzamia katika nchi za magharibi ambapo wengi wa hao wazamiaji waliokimbia nchi zao huamua kuachana na imani za kidini na kuishi kivyao wakiwa huko ughaibuni.
 
Kama uingereza ipo kwa yule kafiri wa kihindi, muabudu mashetani. Waingereza wanaongzwa na waabudu mashetani wahindi. Badala ya kuongozwa na wakiristo. Dunia uwanja wa fujo
Wewe acha unafiki na upumbavu, wewe ni nani kuhukumu wengine kwamba wanaabudu mashetani na wewe huyo mungu wako unayemuabudu unamfahamu na umewahi kumuona wapi kama na wewe hujaletewa tu stori na mtu na kukushawishi kwamba umuabudu huyo unayemsema ni mungu.
 
Wewe umewahi kumuona Allah?
 
Hawana furaha kwenye nchi zao za asili..
Nikachowafanya wakimbilie kwenye zenye furaha then wakifika huko kwenye furaha wataka tena kusababisha amani/furaha kutoweka.
They are NOT HAPPY everywhere.
 
Wewe umewahi kumuona Allah?
Nimuone wapi. Haya mambo ya imani kila mtu ana haki ya kuabudu apendavyo na ndio maana hata serikali zinazojitambua waga haziingilii uhuru huo kwa sababu zinatambua kwamba atakaye hukumu ni Mungu wa ukweli tu ambaye hata serikali zenyewe hazimfahamu japo zinaamini katika uwepo wake.
 
Kinachotushangaza ni kwamba wanakimbilia kwa walewale wanaowaita makafiri na hawataki kabisa kwenda kwenye nchi yoyote ya kiislamu kwa sababu wamechoka kuendeleza utamaduni wa kiarabu wanaoona haufai katu katika dunia ya kisasa.

Katika nchi za kiarabu na hizo zinazojiita za kiislam watu kulazimishwa kuswali kitu ambacho binadamu wa kileo hapendi.

Mabinti hulazimishwa kulinda ubikra hadi siku ya kuolewa na wengi leo wanashindwa na kulazimika kufanya ngono kinyume cha maumbile ili tu kulinda ubikra maanake akishindwa kulinda ubikra na kugundulika siku ya kuolewa kwamba sio bikira basi uwezekano mkubwa ni kuuwawa kwa madai kwamba amemdhalilisha familia.

Sasa mambo ya kipumbavu kama hayo hufanya waarabu wengi kuamua kuzamia katika nchi za magharibi ambapo wengi wa hao wazamiaji waliokimbia nchi zao huamua kuachana na imani za kidini na kuishi kivyao wakiwa huko ughaibuni.
Wanaenda huko kwa wazungu kuwabadilisha waache tabia za kuoana wenyewe kwa wenyewe. Ulaya kwa sasa imebadilika sana ustaarabu umekuwa sana na watu wanamjua Mungu sasa huoni hiyo ni faida?
 
mbona wao walikwenda kutawala kwenye hayo mataifa ya waislamu? Sasa wacha kiwarambe tu.
Ni salama sana kuishi nchi za makafiri kuliko nchi za kiislamu.
Hata waislamu wenyewe wanajua maana waislamu kugombana na kuuana kwao ni kugusa tu
 
Sasa tukienda kwengine dini itasambaa vipi ... Lazima twende nchi zisizo za kiislam tuzae tuishi tuache athari ya uislamu na huko
Katika vitu vinavyonichekeshaga ni hili la.waislamu kuamini wazungu hawajui nia ya wahamiaji wa kiarabu ya kuisilimisha ulaya.Unafikiri wazungu wameruhusu waarabu kuhamia huko kwa bahati mbaya?The wazungu are far more intelligent than you guyz,they are in a project.Unafikiri kwa nini Uturuki hakuchukua waarabu ambao ni waislamu wenzie?
 
Au waende kwa ndugu zao uturuki
Watusruki sio malimbukeni wa Dini, tena wale ni Waislam ea Ulaya na wanafuata culture ya ulaya kwa karne nyingi...hata kanzu hawavai....Mtu anaenda msikitini na jinsi yake safi na Moca
 
Wanaenda huko kwa wazungu kuwabadilisha waache tabia za kuoana wenyewe kwa wenyewe. Ulaya kwa sasa imebadilika sana ustaarabu umekuwa sana na watu wanamjua Mungu sasa huoni hiyo ni faida?
Ni salama sana kuishi nchi za makafiri kuliko nchi za kiislamu Mtu amefunga anachapa viboko watu wanaokula mchana😁😁😁😁 Dini yako inahusu nini na kufunga kwa wengine?
Nchi za kiislamu zimejaa vurugu na mauaji kila kukicha. Mfano hai Libya na Sudan halafu wanamsingizia Marekani😁😁😁😁😁
 
Hawawi radhi mayahudi na wakiristo mpaka mfuate Mila zao-quran huwa haiongopi
Uislamu ni dini ya hovyo sana. Ndiyo maana ni salama kuishi nchi za makafiri kuliko kwenye nchi za waislamu.
Hapo Zanzibar watu wanachapa viboko watu wanaokula mchana. Wewe ufunge kula, ule saa 1 usiku, saa 2 usiku, saa 5 usiku na saa 9 usiku ule halafu unaonea wivu wanaokula mchana. Funga yako inatuhusu nini sisi?
Ungekuwa Sudan. Waarabu wangekuwa wameshakupiga risasi maana hawataki waislamu weusi wala makafiri weusi
 
kweli kabisa ni dini ya ukristo ni Raha tupu , mwanaume unaolewa kanisani na mwanamke hivyo hivyo , hata unaweza ukaowa au kuolöewa na mnyama kama farasi mbwa nk

Kanisa lako limo kwenye list hapo chini litafute tu

List of Christian denominations affirming LGBT people - Wikipedia
Hayo ndo yanayokuja kutokea ulaya.Wengi wa wanaofukuliwa mitaro huko ni wahamiaji wa kiarabu.Miaka.minne mitano ijayo kama Mungu atatuweka hai ndoa za mashoga zitafungishwa kwenye misikiti.
Kiujumla uislam unapigiwa kampeni chafu sana ulaya kwa generation mpya.Maandamano ya vyuo vikuu ambayo yaliconsist wailamu wengi yamegeuka agenda ya kuwa uislam ni dini ya vurugu.In short waislam wa ulaya wanakwenda kuwa transformed hadi utashangaa Tuuachie muda
 
Ulaya watu wanausoma uislamu na wengi wanaingia kwenye uislamu kinyume na fikara zako. Hayo uliyoandika yamefanywa kwenye ukristo na watu wamegutkuka na kusoma uislamu.

View: https://vm.tiktok.com/ZGeCN3Kkc/
 
leo naomba nitetee kobazi.
hizo nchi za kiarabu zenye mvurugano ukiangalia ni US na allies ndio walienda kuanzisha machafuko na vita na kusababisha wakimbizi. rejea Afghanistan, Syria, Iraq, na Libya.
waache waende tu hukohuko kwa aliyewatibua.
mathalani mfano wahamizi wa kisomali wao hawana shida wametulia wanakula zao gomba na kufanya biashara wakienda magharibi.
 
Back
Top Bottom