Wengi wanachukizwa na tabia ya Benzema kutoiwakilisha imani yake ipasavyo anapofunga goli. Benzema hajawahi kusujudu akifunga goli. Hii tabia imewahuzunisha wengi sana. Wamemkumbusha Benzema anang'ara sasa hivi kwa uwezo wa mwanyaaazz.
Wameendelea kumkumbusha Benzema akilalamika siku zile kocha wa Ufaransa Deseutmpt alikataa kumuita timu ya taifa kwasababu ni Muislam.
Wengi wamewasifu Mane, Salah na Keita kwasababu kila wafungapo goli lazima wasujudu.
Ila walifadhahika Salah alipovaa mavazi ya father Christmas yeye na familia yake na kuposti mtandaoni kuwatakia sikukuu njema krismasi iliyopita na kumpa onyo kali asirudie kwani anaidhalilisha imani yake.
Mwengine aliyeonywa asirudie tena kufanya hivyo kama Salah ni MO Farah mwanariadha maarufu uingereza.
Pia mwanadada mwanasiasa msomali Marekani Ilhan Omar amepewa onyo kali aachane na boyfriend wake myahudi ambaye alikuwa mme wa mtu. Ameamriwa amsilimishe kwanza jamaa na wafunge ndoa.
Vyanzo mbali mbali mitandaoni.