Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mantiki IPO....maana yake Ni kwamba mtume alishusha wahyi Kuwa Allah amesema mbwa Ni Haram...watu wakaanza kulalamika kwamba mbwa Wana Kazi nyingi ikiwemo ulinzi Na kuwinda....Basi vurugu ilipokuwa kubwa ndiyo mtume akasema Allah amewasikia...sasaivi Ni ruhusa kumfuga mbwa ila kwaajili ya ulinzi Na kuwinda TuQur'an 5:4,mbwa Hana uharamu wowote,hawezi kuwa haramu kumfuga Kama pambo Kisha awe halali kumfuga Kama wa kuwindia na ulinzi,Haina mantiki Sheikh
Sarakasi za kuona nyeupe ni nyeusi ndiyo iliyokufanya ukaongopa kuwa hakuna kulazimishana katika Dini na ndiyo hiyo hiyo imekufanya UHISI umekashifiwa.Kwa sababu umekuja na kashafa siwezi kukufundisha, watu kama nyinyi hata comments zenu huwa sijibu, siku nyingine uliza kiungwana, nitakufundisha kadri njiuavyo..
Kukashifiana popote pale iwe si desturi yangu, kidoogo kwenye mpira huwa naleta masihara fulani ila si kashfa.
pale stress challenger anapokua na stress kuhusu dini nyingine...mkuu punguza makasiriko kwa uislam utajiumiza roho tuWengi wanachukizwa na tabia ya Benzema kutoiwakilisha imani yake ipasavyo anapofunga goli. Benzema hajawahi kusujudu akifunga goli. Hii tabia imewahuzunisha wengi sana. Wamemkumbusha Benzema anang'ara sasa hivi kwa uwezo wa mwanyaaazz.
Wameendelea kumkumbusha Benzema akilalamika siku zile kocha wa Ufaransa Deseutmpt alikataa kumuita timu ya taifa kwasababu ni Muislam.
Wengi wamewasifu Mane, Salah na Keita kwasababu kila wafungapo goli lazima wasujudu.
Ila walifadhahika Salah alipovaa mavazi ya father Christmas yeye na familia yake na kuposti mtandaoni kuwatakia sikukuu njema krismasi iliyopita na kumpa onyo kali asirudie kwani anaidhalilisha imani yake.
Mwengine aliyeonywa asirudie tena kufanya hivyo kama Salah ni MO Farah mwanariadha maarufu uingereza.
Pia mwanadada mwanasiasa msomali Marekani Ilhan Omar amepewa onyo kali aachane na boyfriend wake myahudi ambaye alikuwa mme wa mtu. Ameamriwa amsilimishe kwanza jamaa na wafunge ndoa.
Vyanzo mbali mbali mitandaoni.
View attachment 2241927
Kwa hiyo mashuka sio dini bali utamaduni wa mashariki ya kati, ila mazuzu mameudinishaHavai mishuka Kama bikira Maria!?..hajalelewa kidini,huwezi mlaumu,huenda sheikh karume alikua bize Sana au alipelekwa shule za kizungu
umeongea bonge la point bro..Huo ni upumbavu, naongea haya nikiwa muislam, tusilazimishane katika dini,tumefundishwa hivyo dini ni imani ya mtu,dini iko moyoni, uchamungu hauna maonesho.
Waislam hii dini tunataka tuiendeshe kwa mihemko, hili ni tatizo kwetu na maadaui zetu wanatupata hapo kwenye mihemko, ndio maana mtu akijazwa upepo twende kuna jihad sehemu ataenda.
Wachezaji,wasanii hata sisi tusiojulikana,tunafanya vitendo vingi mnoo, ambavyo haviendani na dini yetu, wengine dini imekuwa ni kimvuli cha mambo yao, utakuta mtu anasema mimi mtoto wa kiislam siwezi sema uwongo, lakini kavaa mavazi yasiyofaa, anafanya mambo tofauti. Mtu anaposti pichha yupo makkah kwenye hijjah na nyumbani hana mke ana kimada cha kuzini nae.
Tunautaka uislam tuufate mazima, na haina haja ya kulaumiana ama kulazimishana, kilichopo ni kukumbushana tu.
Na dini tusiifanye kwa maonesho.
Huyo hajui anadhani sisi tuna mambo ya ajabu ajabu tukiwa ktk ibada....Icho kipimo cha waislam wengi umekipata vipi ...acha kupotosha watu .mimi Kama muislam czan Kama ni tatizo kwa benzema kufanya ivo .sehem ya kusujudu ni katika ibada tuh sio kila sehem
Kama walivyoidinisha utamaduni wa kuvaa vimini.Kwa hiyo mashuka sio dini bali utamaduni wa mashariki ya kati, ila mazuzu mameudinisha
Uislam(dini) wanafanya kichaka Cha maovu yao.umeongea bonge la point bro..
Showoff ili ujionyeshe wewe ni mtakatifu sana kwa watu ni kupoteza time
Shule za kizungu ndo zipi ? Kwani kuna za kiarabu?Havai mishuka Kama bikira Maria!?..hajalelewa kidini,huwezi mlaumu,huenda sheikh karume alikua bize Sana au alipelekwa shule za kizungu