ummumuhammad
JF-Expert Member
- Sep 8, 2014
- 796
- 697
kwa hiyo hamna mavazi maalumu ya ibada!Vimini ni hiari havina uhusiano na dini kwani wafuasi wa mudi wanavipara
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwa hiyo hamna mavazi maalumu ya ibada!Vimini ni hiari havina uhusiano na dini kwani wafuasi wa mudi wanavipara
Afu mzenji kabisaaMbona fatma karume havaagi mishuka kichwani na hawamsemi?
Korwani ndio Nini?Uzuri ni kwamba ili uwe mwislamu safi lazima usome biblia...kumaanisha kwamba korwani haijajitosheleza na imejaa mapungufu mengi kwa sababu haikutoka kwa Mungu bali kwa yule atendaye kinyume na aliye Juu.
Njoo kwa Yesu acha kuhangaika na njia za upotevuni.
#MaendeleoHayanaChama
Haramu kama utaenda kinyume na mafundisho ya Quran na Sunnah za bwana Mtume Muhammad (SAW)Nilidhani mpira ni haramu
We uliona wapi MUNGU akashuka DUNIANI ili afute zambi za WANADAMU Kisha WANADAMU haohao wakamuua huyo MUNGU I'll akifa wao wapate WOKOVU.....Mtu anachoma Koran wao wanaenda kuchoma magari na kuvunja maduka ya watu, (hawa ndio Wale wenye mambo Yao meusi wanajificha kwa kivululi cha kuutetea uisilamu) lakini hakuna rationale ya kufanya fujo eti unamtetea Mungu,
Uliona wapi kiumbe dhaifu akawa mtetezi wa supreme being?
With due respect and humble submission naiomba hio aya
Hivi mnaishi ulimwengu upi nyie waislamuWaislamu wa wapi ndo wameongea Hebu weka evidence, sio tu unasema vyanzo mbalimbali haiingii akilini🥱
Kwa hio watu walimpangia Mungu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mantiki IPO....maana yake Ni kwamba mtume alishusha wahyi Kuwa Allah amesema mbwa Ni Haram...watu wakaanza kulalamika kwamba mbwa Wana Kazi nyingi ikiwemo ulinzi Na kuwinda....Basi vurugu ilipokuwa kubwa ndiyo mtume akasema Allah amewasikia...sasaivi Ni ruhusa kumfuga mbwa ila kwaajili ya ulinzi Na kuwinda Tu
mm nadhani kuna mada ziwe zinafutwa zipo kichochezi sana mm ni mwislamu lakini kuna upuuzi unaendelea humu usipo kemewa unaeneza chuki na inatengenezwa na mjinga mmoja lakini tunaonekana waislamu wote nadhani hawa wapo kimkakati na kikundi maalum kuna huyu aliyeleta mada namwezake sky nani sijui hawa sio watu wazuri eidha mood awe anafuta mada zao na ikiwezekana mamlaka yetu husika iwafatilie hawa watu sio bure watanzania hatuko hivi hawa ni wachochezi
mmoja wapo ni ww acha kuzalilisha uislamHamia Afghanistan
Tafsiri ya Quran tunaipata kwa kuangalia mtume ameitekelezaje au ametolea maelezo gani , hivyo ndio tunavyomaanisha tukiasema aya umeitafsiri vibaya ,kwahiyo kukataa kutoa hizo aya Mimi nakuhesabu kama mzushi .Ili kuondoa Sarakasi za kuwa nimeitafsiri vibaya ama wanazuoni wanasema hivi na vile juu ya hizo verses nasema SIKUPI. Labda nikupe lyrics ya wimbo wa NO GUIDANCE wa Chris blown.
Haina maana yeyote(kiibada) wala umuhimi kwenye ibada kwanza wakati wa mtume haikuwepo alama ya namna hii ,ilianza kutumika katika utawala wa Ottoman baada waislamu kutafuta nembo ya kutuwakiliasha, wakristo wana msalaba ,wayaudi wana nyota hivo na wao wakaja na alama hii.Kwani kwenye Uislam nyota na mwezi zinawakilisha Nini?tuanzie hapa
Ulimwengu ni nini?Hivi mnaishi ulimwengu upi nyie waislamu
Yaani ukiwa WA dini ile,basi unakuwa mali ya dini,kila unachokifanya,lazima urudishe sifa kwa dini,maana unamilikiwa na dini,what a disaster to livelyhoodWengi wanachukizwa na tabia ya Benzema kutoiwakilisha imani yake ipasavyo anapofunga goli. Benzema hajawahi kusujudu akifunga goli. Hii tabia imewahuzunisha wengi sana. Wamemkumbusha Benzema anang'ara sasa hivi kwa uwezo wa mwanyaaazz.
Wameendelea kumkumbusha Benzema akilalamika siku zile kocha wa Ufaransa Deseutmpt alikataa kumuita timu ya taifa kwasababu ni Muislam.
Wengi wamewasifu Mane, Salah na Keita kwasababu kila wafungapo goli lazima wasujudu.
Ila walifadhahika Salah alipovaa mavazi ya father Christmas yeye na familia yake na kuposti mtandaoni kuwatakia sikukuu njema krismasi iliyopita na kumpa onyo kali asirudie kwani anaidhalilisha imani yake.
Mwengine aliyeonywa asirudie tena kufanya hivyo kama Salah ni MO Farah mwanariadha maarufu uingereza.
Pia mwanadada mwanasiasa msomali Marekani Ilhan Omar amepewa onyo kali aachane na boyfriend wake myahudi ambaye alikuwa mme wa mtu. Ameamriwa amsilimishe kwanza jamaa na wafunge ndoa.
Vyanzo mbali mbali mitandaoni.
View attachment 2241927