Waislamu wengi mtandaoni wamshukia Benzema akifunga goli leo lazima asujudu

Well said
 
Yohana1:21 utamkuta huyo unayedai ni false prophet,by the way ibrahimu,Musa,nuhu(Noah) walikua false prophets sababu mama zao hawakuwa bikira!?
hivi mwanamke gani hakuwahi kuwa bikira yaani nyinyi ni wajinga kweli
 
hivi mwanamke gani hakuwahi kuwa bikira yaani nyinyi ni wajinga kweli
Kuzaa bila kukung'utwa..ndiyo maajabu ya Maryam,japo wayahudi hawataki,wanadai alitiwa akapata mimba akaja kuzuga katiwa mimba kimiujiza
 
Yohana1:21 utamkuta huyo unayedai ni false prophet,by the way ibrahimu,Musa,nuhu(Noah) walikua false prophets sababu mama zao hawakuwa bikira!?
Uzuri ni kwamba ili uwe mwislamu safi lazima usome biblia...kumaanisha kwamba korwani haijajitosheleza na imejaa mapungufu mengi kwa sababu haikutoka kwa Mungu bali kwa yule atendaye kinyume na aliye Juu.

Njoo kwa Yesu acha kuhangaika na njia za upotevuni.

#MaendeleoHayanaChama
 
Kwa akili zako biblia ni kitabu Cha yesu!!?..hujui unalozungumza Kisha wataka nije kwa bwanaako yesu!!!..muislam anaamini katika Qur'an,zaburi,injili na taurati kwamba ni vitabu vya mwenyezi mungu,kwamba watu waliokuja navyo ni wajumbe/nabii wa Allah sw
 
Haramu kumfuga kama pambo ndani ya nyumba. Ila kwa ulinzi na uwindaji ni rukhsa ingawa pia kuna sheria zake. Na Mwenyezi anajua zaidi. Ahsante
Qur'an 5:4,mbwa Hana uharamu wowote,hawezi kuwa haramu kumfuga Kama pambo Kisha awe halali kumfuga Kama wa kuwindia na ulinzi,Haina mantiki sheikh
 
Uislam ndodini inayoongoza kwa ubaguzi halafu watu wao wana mihemko mwishowe huwa yanaashia jera tu kama mashehe wa uamsho
 

Kuna muumin aliamua kuachana na uislam akapewa siku 21 kutubu na aurudie uislamu. Siku 21 zikapita waja wa Allah wakaenda kumuuliza ikiwa msimamo wake wa kuuacha uislamu bado anao jamaa akasema harudi katika dini waja wa Allah wakamkata kichwa.
Hii ni story iliyo ndani ya Qur'an ila wewe kitukuu cha mpagazi wa kiarabu babu yako alislimu kwa mijeredi na vitisho unasema hakuna kulazimishana katika dini as if una mamlaka ya kubadili chochote ndani ya Qur'an.
Moden Muslims are evil than bokoharam by distorting the truth about Islam.
 
Si wanasemaga mpira ni ushetani, sasa wanataka Mungu asujudiwe kwenye ushetani? Hopeless.
 
Kudos Sana bro, umefafanua vizuri Sana juu ya hili. Dini sio siasa au harakati (ambapo wengi wanafanya uisilamu uonekane hivyo)
faiza foxy na wenzie inabidi wapitie huu Uzi.
 
Sasa mpira na uislamu wapi na wapi.
Mpira ni mchezo uliobuniwa na freemason kwa lengo la kumuabudu shetani Tazama mpangilio wote wa namba, idadi ya wachezaji, mda wa uchezaji nk vyote vinamaana yake, katika sayansi ya giza.
 
Sasa ndugu hiyo injili si ndio imeletwa na Yesu?
afu Yesu sio bwana, ni BWANA.
 
Uislam ndodini inayoongoza kwa ubaguzi halafu watu wao wana mihemko mwishowe huwa yanaashia jera tu kama mashehe wa uamsho
Mtu anachoma Koran wao wanaenda kuchoma magari na kuvunja maduka ya watu, (hawa ndio Wale wenye mambo Yao meusi wanajificha kwa kivululi cha kuutetea uisilamu) lakini hakuna rationale ya kufanya fujo eti unamtetea Mungu,
Uliona wapi kiumbe dhaifu akawa mtetezi wa supreme being?
 
Kwa sababu umekuja na kashafa siwezi kukufundisha, watu kama nyinyi hata comments zenu huwa sijibu, siku nyingine uliza kiungwana, nitakufundisha kadri njiuavyo..
Kukashifiana popote pale iwe si desturi yangu, kidoogo kwenye mpira huwa naleta masihara fulani ila si kashfa.
 
Unalijua lengo la mtoa mada,,
Huenda ukawa na pointi ila ungeanzisha uzi mwingine,,
kukomenti hili kwa hapa umekosea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…