Waislamu wengi mtandaoni wamshukia Benzema akifunga goli leo lazima asujudu

Waislamu wa wapi ndo wameongea Hebu weka evidence, sio tu unasema vyanzo mbalimbali haiingii akilini🥱
 
Qur'an 5:4,mbwa Hana uharamu wowote,hawezi kuwa haramu kumfuga Kama pambo Kisha awe halali kumfuga Kama wa kuwindia na ulinzi,Haina mantiki Sheikh
Mantiki IPO....maana yake Ni kwamba mtume alishusha wahyi Kuwa Allah amesema mbwa Ni Haram...watu wakaanza kulalamika kwamba mbwa Wana Kazi nyingi ikiwemo ulinzi Na kuwinda....Basi vurugu ilipokuwa kubwa ndiyo mtume akasema Allah amewasikia...sasaivi Ni ruhusa kumfuga mbwa ila kwaajili ya ulinzi Na kuwinda Tu
 
Aliyeandika mwenyewe inaonesha wazi alivyo mtovu wa nidhamu na kuna alichokusudia hapa. Nasema hivyo kwasababu;

1.Uislamu siyo kusujudu ukishafunga goli... wala si katika nguzo za uislamu

2.Umesingizia watu kwamba wamesema lakini sidhani kama kuna muislamu wa dhati anasapoti ule mpira unaovunja masharti ya michezo kwenye uislamu... kiasi kwamba wamkomalie kusujudu badala ya kumkomalia aache kucheza uchi

3. Hujaweka kiambatisho hata kimoja kuonesha hao "waliosema"

4. Hebu tuambie huyo "Mwanyaazz" ni nani? Kama siyo udhalilishaji ni nini ulikusudia
 
Sarakasi za kuona nyeupe ni nyeusi ndiyo iliyokufanya ukaongopa kuwa hakuna kulazimishana katika Dini na ndiyo hiyo hiyo imekufanya UHISI umekashifiwa.
Mpagazi si tusi na zaidi hata mimi sikuwa na mpanga wa kukukot ila pale nilipoona unapotosha.
Then Ulitaka niulize nini?.. Una jibu lingine zaidi ya kusema wanazuoni wetu wanasema simulizi ilo halikuwa na maana hiyo?.

Usinikot TAFADHALI.
 

Kuna watu wapo kifungoni ila hawajielewi tu
 
Msihangaike kutoa fatwa na maelezo marefu humu... lengo la mleta mada ni matusi dhidi ya uislamu yaani atukane waislamu ndiyo furaha yake
 
pale stress challenger anapokua na stress kuhusu dini nyingine...mkuu punguza makasiriko kwa uislam utajiumiza roho tu
 
Havai mishuka Kama bikira Maria!?..hajalelewa kidini,huwezi mlaumu,huenda sheikh karume alikua bize Sana au alipelekwa shule za kizungu
Kwa hiyo mashuka sio dini bali utamaduni wa mashariki ya kati, ila mazuzu mameudinisha
 
Mtoa mada umeleta ili kuleta mtafuru kwamba uislam una matitizo ila ukweli uislamu haungii hapo kuna majinga yanakusapot hakuja aya inasema kuhusu hayo umeshindwa kuchafua tafuta uzi mwingine
 
Icho kipimo cha waislam wengi umekipata vipi ...acha kupotosha watu .mimi Kama muislam czan Kama ni tatizo kwa benzema kufanya ivo .sehem ya kusujudu ni katika ibada tuh sio kila sehem
 
umeongea bonge la point bro..

Showoff ili ujionyeshe wewe ni mtakatifu sana kwa watu ni kupoteza time
 
Mtoa mada usichokijua Ni kuwa Uislamu upo imara Sana halafu hauyumbishwa na kauli za mitandaoni Wala wasanii Wala wanamichezo nk....Hauwezi kuta mambo ya ajabu ajabu kwa waislamu..
Pia huwezi kuta shekh au Ustadh yupo mimbari au msikitni akaleta porojo porojo km za akina Gwaj B na Mwamposa wakiwa Madhabahuni....au zile fix za akina Masanja au Rwakatare..

Islam is the truth religion..
 
Icho kipimo cha waislam wengi umekipata vipi ...acha kupotosha watu .mimi Kama muislam czan Kama ni tatizo kwa benzema kufanya ivo .sehem ya kusujudu ni katika ibada tuh sio kila sehem
Huyo hajui anadhani sisi tuna mambo ya ajabu ajabu tukiwa ktk ibada....
 
Waislamu Ni watu wa fujo tu
 

Attachments

  • FB_IMG_1652986862734.jpg
    23.1 KB · Views: 9
😂😂😂😂😂😂😂😂uzi unachekesha huu
 
Hii dini ya Mnyaazi Mungu inapaswa kufutwa kabisa huyu Mnyaaaz anawapeleka makosa.
 
umeongea bonge la point bro..

Showoff ili ujionyeshe wewe ni mtakatifu sana kwa watu ni kupoteza time
Uislam(dini) wanafanya kichaka Cha maovu yao.
Unakuta wema sepetu anasema sijui mm mtoto wa kiislam siwezi kuteta lakini kavaa hivyo, mshenzi mshenzi Hana hata kimoja Cha uislaam.
Msanii anajigamba kabisa mie muislam mwezi wa ramadhani siwezi fanya show, unabaki kushangaa, huyu ana uislam gani?
 
Havai mishuka Kama bikira Maria!?..hajalelewa kidini,huwezi mlaumu,huenda sheikh karume alikua bize Sana au alipelekwa shule za kizungu
Shule za kizungu ndo zipi ? Kwani kuna za kiarabu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…