Waislamu wengi mtandaoni wamshukia Benzema akifunga goli leo lazima asujudu

Kwa hiyo mashuka sio dini bali utamaduni wa mashariki ya kati, ila mazuzu mameudinisha
Sisi waislam tunaamini manabii wote walikua waislam(Imani juu ya mungu mmoja,asiye mashirika,hakuzaa Wala hakuzaliwa,hafanani na chochote)manabii hao baadhi ni Adam,Ibrahim,nuhu,lut,Musa,Yusuf,issa,muhammad
 
 
Sheikh,fanya istighfari na ujifunze kuhusu dini,Allah sw hakushusha wahyi kwa kufuata matamanio ya watu
 
Nadhani watu watu wengi wa islamic countries wanapoenda magharibi upeo wao wa kufikiri unapanuka
Mfano wapakistani unakuta anauza pork nk ambazo angekua kwao angepigwa mawe afe
Mtu anakula nyama ya ng’ombe ambayo imechinjwa kiwandani hajui kama imechinjwa na kafiri ama laa ila ingekua huku uswahilini kwetu ili ale lazima uprove muslim amechinja.

Papa wa roma alikua Bahrain 🇧🇭 ila huku kwa ground tunashikana mikono lakini mioyoni “mafundisho” kutoka kwa walimu wetu ni mtihani
 
Sasa ndugu hiyo injili si ndio imeletwa na Yesu?
afu Yesu sio bwana, ni BWANA.
Injili ni ufunuo aliopewa yesu,hauhusiani na miungu mitatu au mungu mwenye nafsi tatu na blah blah zingine,Qur'an inasema wayahudi wakitoa mikono vitabu vitakatifu
 
Kabla ya kuanza kijadili matukio ningependa tupate kwanza uhakika wa taarifa yako ,tunaomba utupe record ya matukio yote hayo
 
Hata hiyo picha uliyoiweka si rafiki. Kumbuka ukizoeana na mbwa, anaweza akaleta tafrani kwa watu.
 
Kumbe wanaosema mbwa haramu sijui asikunuse ni uongo tu?
Nani amekuambia mbwa haramu yes ni haramu kwa kuliwa ,lkn mbwa anafugwa pia anaweza kutumika kwenye mawindo .

Ni tatizo la kimapokeo tu ,baadhi ya waislamu wanamuweka mbwa kwenye kundi la uharamu ni kwasababu tu anatengua udhu akikuramba lkn hana shida nyingine
 
mwanzo walikuwa wanasema mpira haramu kwasababu wanacheza uchi sasa hivi ni halali au ?
Uharamu wa mpira unaingia tu baada ya kuingizwa Mambo ya kiharamu tofauti na hapo Ile burudani. Uislamu hauna shida na jambo la kiafya
 
"Hapana kulazimisha katika Dini."
Quran 2:256

Uislamu unataka kutomlazimisha mtu kuingia au kutekeleza dini baada ya kwisha mlingania, hata mtume alionywa baada ya kuwa akiwalazimisha na kuumia kuwaona ndugu wa kabila lake hawaingii katika uislamu Mwenyezi Mungu akamwambia yeye si mwenywe kuwafanya watu waingie kwenye dini Bali yake kukumbusha tu .

Tatizo Hilo hata Mimi linanikera baadhi ya waislamu kidhani kugombana kuuwana ndio Njia ya dini ya kutetea dini ,soma kwanza dini yako hio ndio Njia kubwa ya kutetea dini(elimu).
Mtume hakufanya hayo wanayoyafanya ,Wala hakuna kwenye Quran inawataka wafanye hivyo
 
Elimi,elimu,elimu
 
With due respect and humble submission naiomba hio aya
 
Kuna wana tabu kule afghan hadi wanakimbia nchi

Ndio mjue kwamba hamko huru imani inageuka kuwa utumwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…