Waislamu wengi mtandaoni wamshukia Benzema akifunga goli leo lazima asujudu

Kwanza hiz habari umezitoa wapi weka chanzo tukasome huko
 
Korwani ndio Nini?


#UjingahaunaUmri
 
Nilidhani mpira ni haramu
Haramu kama utaenda kinyume na mafundisho ya Quran na Sunnah za bwana Mtume Muhammad (SAW)

Mfano..
Mwanaume kuvaa nguo inayoonyesha Kitovu kushuka mpk magoti labda kushangilia kwa kejeli na kuvuka mipaka ya ustaarabu

Mengineyo sidhani Kama ni VIBAYA
 
We uliona wapi MUNGU akashuka DUNIANI ili afute zambi za WANADAMU Kisha WANADAMU haohao wakamuua huyo MUNGU I'll akifa wao wapate WOKOVU.....


Hivi alishindwa kutumia UUNGU hukohuko mbinguni kufanya Makeke WANADAMU waache madhambi?

#Nyanihaonikundule
 
mm nadhani kuna mada ziwe zinafutwa zipo kichochezi sana mm ni mwislamu lakini kuna upuuzi unaendelea humu usipo kemewa unaeneza chuki na inatengenezwa na mjinga mmoja lakini tunaonekana waislamu wote nadhani hawa wapo kimkakati na kikundi maalum kuna huyu aliyeleta mada namwezake sky nani sijui hawa sio watu wazuri eidha mood awe anafuta mada zao na ikiwezekana mamlaka yetu husika iwafatilie hawa watu sio bure watanzania hatuko hivi hawa ni wachochezi
 
With due respect and humble submission naiomba hio aya

Ili kuondoa Sarakasi za kuwa nimeitafsiri vibaya ama wanazuoni wanasema hivi na vile juu ya hizo verses nasema SIKUPI. Labda nikupe lyrics ya wimbo wa NO GUIDANCE wa Chris blown.
 
Kwa hio watu walimpangia Mungu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]


Proud to be kafir
 
Kwani kwenye Uislam nyota na mwezi zinawakilisha Nini?tuanzie hapa
 
Hamia Afghanistan
 
Ili kuondoa Sarakasi za kuwa nimeitafsiri vibaya ama wanazuoni wanasema hivi na vile juu ya hizo verses nasema SIKUPI. Labda nikupe lyrics ya wimbo wa NO GUIDANCE wa Chris blown.
Tafsiri ya Quran tunaipata kwa kuangalia mtume ameitekelezaje au ametolea maelezo gani , hivyo ndio tunavyomaanisha tukiasema aya umeitafsiri vibaya ,kwahiyo kukataa kutoa hizo aya Mimi nakuhesabu kama mzushi .

Sina shida na lyrics yako Baki nayo
 
Kwani kwenye Uislam nyota na mwezi zinawakilisha Nini?tuanzie hapa
Haina maana yeyote(kiibada) wala umuhimi kwenye ibada kwanza wakati wa mtume haikuwepo alama ya namna hii ,ilianza kutumika katika utawala wa Ottoman baada waislamu kutafuta nembo ya kutuwakiliasha, wakristo wana msalaba ,wayaudi wana nyota hivo na wao wakaja na alama hii.
 
Yaani ukiwa WA dini ile,basi unakuwa mali ya dini,kila unachokifanya,lazima urudishe sifa kwa dini,maana unamilikiwa na dini,what a disaster to livelyhood
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…