Waislamu wenye msimamo mkali wafunga mtaa London wakitaka kuwepo kwa Sheria za Kiislamu nchini Uingereza

Kwenye video clip kuna watu wenye asili ya Afrika na arabuni.
Polisi wa kizungu anawaacha tu watimize takwa lao kikatiba.

Wazungu wako mbali sana, hizo mbanga washakutana nazo wanawachora tu.
 
Kama tumeamua kutoa haki kwa makundi mbalimbali tukisema sisi ni nchi za kidemokrasia tujaruhusu LGBTQ watu wapigane pipe basi tuwape na Muslim nao haki zao wanazodai ndio demokrasia hiyo.
 
Wengi wa waandamanaji ni asylum seekers toka nchi zinazotumia sharia, si warudi kwao? "Uislamu ni mtindio wa ubongo" Rais wa China.
Siyi jweli.

Hao unaowaona ni Waingereza wote. Asylum seeker hathubutu kufanya hayo.
 
Ati Mwingereza aache Demokrasia awe anasikiliza Fatwa ya Shura ya Maayatola?! Ambao ni Mambumbumbu wa Elimu ya Dunia.
 
Mwingereza aache kwenda Club ati awe anaimba kaswida za kumsifu Mula na Ayatolah?!
 
Mtume alisema miaka 1400 iliyopita tutakua wengi na kutapakaa dunia nzima na wengine watasilimu makundi kwa makundi, lakini alionekana chizi anaongea ujinga na hili goma bado kimbunga chaja
Unamaanisha nn???
 
Ni haki yao kuandamana,.
Mwaba pale ni Polad tu, ila hata hapo Uingereza wajiangalie , waandamane kwa amani tu wasije wakaingiwa na upepo mbaya, maana vijana wa Uingereza ni manunda mbaya
 
Waliingia uingereza kama asylum seers, sasa wengine wamepewa ukaazi wa kudumu na wengine wameshapewa uraia. Kama walipenda sana Sharia si wangebaki huko kwao wachinjwe viziri?
Serekali ya Uingereza itunge Sheria ambayo itawa Deport na kuwanyang'anya Uraia wale wote ambao wana msimamo mkali.
 
Wakaishi uarabuni waache kupangia watu maisha waliowapa hifadhi
Sharia ndiyo suluhisho la duniani, siyo Uingereza tu.

Niliwahi kuandika hivi: Tanzania mkombozi wetu wa maendeleo na uchumi ni katiba itayofata Sharia za Kiislam
Waliingia uingereza kama asylum seers, sasa wengine wamepewa ukaazi wa kudumu na wengine wameshapewa uraia. Kama walipenda sana Sharia si wangebaki huko kwao wachinjwe viziri?
Haijalishi waliingia vipi.

Kwani Waingereza waliingiaje nchi zao hao? Au hujuwi?
 
Sawa minaona waipitishe tu hyo sharia...maana siina husu wenyewe kwawenyewe yaani magaidi wapelekane kunyongana wenyewe
 
Yesu Kristo anakaribia kurudi
Kama bado hujamwamini amua Sasa kwa ajili unyakuo wa kanisa lake huku ulimwenguni

Kinachotupeleka mbinguni sio Dini ya kikirsto wa kiislamu Bali Kumwamini Yesu Kristo moyoni Mwako binafsi

Hao Kama ni raia halali wa uingereza wa uingireza wanahaki ya kudai haki zao

Na washika Dini ya kikirsto wataitisha nao maandamo ya christian nationalism Kama Usa,
MWISHO ni vurugu hapo katikati

Ukiona nchi ambayo illikuwa ya kidini Tena kikirsto Angalican na mfulme akiwa mkuu wa kanisa ikiangukia kwenye Hali Kama hii ni Dalili

Usiitegemee Dini yako kukupeleka mbinguni Bali Amini njia ya kweli na uzima Yesu Kristo
 
Naunga mkono hoja wapo sahihi kabisa. Uislamu ndio suluhisho pekee kwa mmomonyoko wa maadili wa kutisha uliopo Ulaya na Marekani.
 
Ni nchi yao hawalazimishwi cha kufanya
Kwani nani hajui hizo kelele zao hazitasaidia chochote? Muhimu hapa ni kuonyesha jinsi Waingereza walivyokuwa front line kuwakandamiza mataifa waliyotawala enzi hizo kama makoloni yao. Sasa wale waliyotawaliwa enzi zile wamehamia Uingereza na wanadai payback.
 
Kwanini Muingereza alienda kuwatawala Waislamu, Wahindu, Wabudha, Waafrika wenye dini zao za asili na kuwaletea sheria zao Uingereza na utamaduni wao wa Kiingereza? Hiyo haki walipewa na nani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…