Gobole Lenye Risasi
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 11,519
- 23,693
Nadhani ungehamia Israel ili wakuchague wewe uwe Waziri Mkuu wa Taifa takatifu.
Sasa mnapowaita waarabu Magaidi huwa mnamaanisha nini kama wewe binafsi unafurahia mauaji kiasi hiki.
Ninaendelea kusisitiza kuwa, linapokuja suala la Dini Mkristo anakuwa mjinga kuliko ujinga wenyewe.
Yaani nmeshangaa sana. Anamwona Netanyau ni soft? Jamaa atakuwa balaa sana.Duh, haya Sasa. Yule jamaa wa upinzani Ni hatari na robo tatu.
Sasa hapa ndio unadhihirisha kiwango cha ujinga wako.Mi huwa naona wanachosema wakristo kuwa sisi kobaz hatuna elimu tunakuwa vilaza. Hawakosei. Hujui hata kusoma ukaelewa? Wewe subiri tu kuolewa na muddy katika wale 72
Nimekuja hapa kukujibu mkuu kwa sababu umeingiza ukristo kwenye mada ambayo hatuhusiki, ujinga wetu ni nini? Hebu fungukaNadhani ungehamia Israel ili wakuchague wewe uwe Waziri Mkuu wa Taifa takatifu.
Sasa mnapowaita waarabu Magaidi huwa mnamaanisha nini kama wewe binafsi unafurahia mauaji kiasi hiki.
Ninaendelea kusisitiza kuwa, linapokuja suala la Dini Mkristo anakuwa mjinga kuliko ujinga wenyewe.
Sasa kama bwana Nyau ni mwenye huruma vipi mpinzani akiingia ?Wamekuwa wakimponda kuwa hajaweza peleka moto wa kutosha kwa Palestina. Juu ya Hamas na Hezbollah. Wanadai Netanyau amekuwa na moyo wa kike si jasiri. Ni mtu mwenye Huruma na Huruma si malezi kabisa ...
Wanasema kama wao wakipata nafasi Gaza itakuwa sehemu salama duaniani hakuna tena. Iran itanyooshwa kisawa sawa. Wanasema huko Gaza kutakuwa ni uwanja tu mmoja mkubwa wa wazi. Hakuna jiwe litasimama juu ya jenzie.
Wamemponda sana Netanyau kuwa si mtu shupavu hawezi kuWachabanga magaidi ipasavyo na ana msimamo wa wastani. Kampeni zao zimewafanya wapalestine wengi waanze Kumuunga mkono Netanyau na kumwombea maisha marefu na ushndi katika uchaguzi. Iran nayo imejiunga katika jambo hili kwa namna flani ikimtaka Netanyau aendelee kuwaongoza waisrael.
Mungu gani unayemzungumzia? Kama ni Allah, hakuna Mungu hapo huyo ni dhaifu saaaana hana uwezo wa kufanya chochoteBinadamu hawezi kuwa balaa mbele ya nguvu za MUNGU
Mwenyewe anamuomba MUNGU Mkuu
Yeye ni sehemu ya waogo ktk Dunia sababu Wajuzi wanatwambia ukiona mtu katili sana basi jua ni Muoga sana wa kifo
Uyo zombi wampitishe tu aje ulingoni mwenzie kalala kwenye mashimo Trump mwenyewe kawekwa kwenye
Sufuria za misosi kukimbia kifo chake 😀 watu wameshachoka ujinga ujinga!!!
Duniani hakuna Mwamba mbele ya Mungu
umeumbwa na nyama yenye kuoza
Unanini kuwatisha Wengine Watakutokomeza tu kama nyau wengine !!!!!!
Hapa wewe ndio umeonyesha upumbavu wakoNadhani ungehamia Israel ili wakuchague wewe uwe Waziri Mkuu wa Taifa takatifu.
Sasa mnapowaita waarabu Magaidi huwa mnamaanisha nini kama wewe binafsi unafurahia mauaji kiasi hiki.
Ninaendelea kusisitiza kuwa, linapokuja suala la Dini Mkristo anakuwa mjinga kuliko ujinga wenyewe.
Kuliko ule ujinga wa kusafiri kwa ndege kwenda kubusu jiwe pale makah?Ninaendelea kusisitiza kuwa, linapokuja suala la Dini Mkristo anakuwa mjinga kuliko ujinga wenyewe.
Magaidi yote yapelekwe jehanamuTena aje uyo uyo kwenu mnamuona ndio Nyau
zaidi ya Nyau
Kama atalala kwa Amani mbele ya matendo mabaya!!!
Source?Wamekuwa wakimponda kuwa hajaweza peleka moto wa kutosha kwa Palestina. Juu ya Hamas na Hezbollah. Wanadai Netanyau amekuwa na moyo wa kike si jasiri. Ni mtu mwenye Huruma na Huruma si malezi kabisa ...
Wanasema kama wao wakipata nafasi Gaza itakuwa sehemu salama duaniani hakuna tena. Iran itanyooshwa kisawa sawa. Wanasema huko Gaza kutakuwa ni uwanja tu mmoja mkubwa wa wazi. Hakuna jiwe litasimama juu ya jenzie.
Wamemponda sana Netanyau kuwa si mtu shupavu hawezi kuWachabanga magaidi ipasavyo na ana msimamo wa wastani. Kampeni zao zimewafanya wapalestine wengi waanze Kumuunga mkono Netanyau na kumwombea maisha marefu na ushndi katika uchaguzi. Iran nayo imejiunga katika jambo hili kwa namna flani ikimtaka Netanyau aendelee kuwaongoza waisrael.
Hao jamaa wana inferior complexHapa wewe ndio umeonyesha upumbavu wako
kwenye uzi hakuna dini iliyotajwa
Na kumpiga shetan maweKuliko ule ujinga wa kusafiri kwa ndege kwenda kubusu jiwe pale makah?
Na kwa akili yake anajiaminisha waisrael ni wakristoHao jamaa wana inferior complex
Muddy aliwafundisha kuchukia wakristo na wayahud
Lakin wanapelekewa moto hatari mpaka akili ziwakae sawa
Juzi misri imekataa kuingilia mambo ya Gaza kabsaa kasema wapambane na hali yao