Waisrael na hasa wapinzani wa Netanyau wasema Netanyau Benjamin ni Dhaifu sana

Wanaibuka wapya kila siku kuna yule dogo anaitwa zaydi nae ana wachamba kweli kweli

Kuna mwingine anaitwa GONG ni shida
Wataweza kuwauwa wote sasa
Hawashindwi kitu hao linapokuja suala la kuua
 
Wapinzani gani? Hao right wing wote kina Smotrich, israel Katz na Itamar Ben-Gvir wote hao hawana ushawishi ni vyama vidogo kama APPT maendeleo au Jahazi Asilia.

Mpinzani mkuu ni Gadi Eizenkholt ambaye ni moderate sio kichaa kama Netanyahu.

Pia ikumbukwe Netanyahu alipata 22% pekee ya kura kwenye uchaguzi uliopita cha ajabu alikua waziri mkuu bila kupata majority ya wabunge au kura!!

Anguko lake limeshafika, na ajiandae tu kwenda jela maana kesi ya ufisadi na rushwa imefika stage ya hukumu.
 
Kobazi vichwa moto mana kama mayahudi yabasema bibi ni dhaifu na ukiangalia katekekeza magaidi wengi,je wakiingia hao wapinzani wa bibi itakuaje.

Kobazi watajuta kumwamini pedo.
 

Hili anguko ni mwaka wa 4 huu tunaliombea. Tunasema limeshafika. Nadhani siku akifa ndo tutashangilia kuwa huyu jamaa jasiri mbabe wa kivita amefariki. Hayo ya Jela watu wamehangaika nayo sana. South Africa walisimama kidete but wameishia kufukuza waafrika wenzao wasikae kwao maana hawana suluhisho na serikali yao bwege.

Zamani nami nlikuwa kama wewe nlimchukia sana Netanyau sababu ni Myahudi na sisi tulishaambiwa tuwachukue hao na makafir. Sasa nmejikuta namkubal sana huyu mwamba . Mzungu kichaa...
 
Ayatollah yuko wapi?mbona hajitokezi tumuone.
 
Hili anguko ni mwaka wa 4 huu tunaliombea
Lilishaanza, hujui last time alipata 22% na kama sio lobbying na kubebwa na vyama vidogo asingekuwa waziri mkuu.
Tunasema limeshafika
Yes limefika, ana kesi ICC mpaka leo hawezi kanyaga nchi za ulaya hasa wanachama wa ICC kote.
Hayo ya Jela watu wamehangaika nayo sana.
Kesi ya rushwa imefikia stage ya hukumu, na hata Trump alipomuomba rais wa Israel Hezrog amsamehe alikataa so jela inamuita.
South Africa walisimama kidete but wameishia kufukuza waafrika wenzao wasikae kwao maana hawana suluhisho na serikali yao bwege.
Ndio wamesimama kidete ndio maana jaji wa Afrika kusini aliyehusika kumfungulia kesi Netanyahu ICC kapewa tuzo ya Nobel.
Zamani nami nlikuwa kama wewe nlimchukia sana Netanyau sababu ni Myahudi na sisi tulishaambiwa tuwachukue hao na makafir.
Wala hachukiwi sababu ni myahudi ila matendo yake maovu hasa kuanzisha vita kwa malengo yake ya kisiasa.
Sasa nmejikuta namkubal sana huyu mwamba
Unamkubali muuaji watoto wasio ma hatia? Basi haujawahi kumchukia Netanyahu wala matendo yake maana ameanza miaka ya 90 sio jana
 

Kwani anataka kwenda Ulaya? Au imesaidia asiendelee kuwachabanga magaidi? Anawachabanga tu huyu mwamba. Vita walimtafuta wenyewe October 7 acha awachape nao. Jamaa walimuua mtanzania mwenzetu hao washenzi. Acha tu awachape nao kwa sasa sina huruma nao hao mbwa. Awatandike na nasema awatandike sawa sawa. Awapelekee moto kisawa sawa. Mwamba sana. Kule Israel wanamwita Bibi. Wanamkubali sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…