Waisrael wawili tu wamejeruhiwa kidogo pamoja na Iran kurusha makombora ya masafa marefu zaidi ya 200 kuelekea Israel

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
3,585
Reaction score
8,106
Wadau hamjamboni nyote?

Mungu ibariki Israel

Taarifa rasmi ndiyo hiyo

99% yamelipuliwa angani, kudondokea baharini au sehemu isiyokusudiwa

Yale matoi yaliachwa yaelee angani kwa muda na kisha kusambaratishwa

Ukitazama video yake utacheka

Live Update arrow right icon From the Liveblog of Tuesday,
October 1, 2024

Following mass Iran attack, medics say just 2 lightly wounded by shrapnel in Tel Aviv
By Emanuel Fabian Follow
Today, 8:24 pm
14
An Iranian missile attack on Israel, October 1, 2024. (Channel 12 news screenshot)

Only two injuries are reported across Israel in the Iranian missile attack on the country, Magen David Adom says.

The ambulance service says it treated only two people who were lightly wounded by shrapnel in Tel Aviv.

Several others were treated for minor injuries after falling over while running for shelter, and acute anxiety, MDA adds.
 
Anza na hii kwanza
13 injuries among Jewish terrorists as a result of an Iranian missile falling on a building north of the occupied city of Tel Aviv.
 
#Enemy_Media

Military correspondent for Channel 13: Iran launched its missiles at military bases and did not target civilian populations.

#Military_Media

Iran hajatagert raia hata mmoja wote walio injury ni wanajeshi
 
Nimesema wawili tu wajeruhiwa labda ungenikanusha
 
#Enemy_Media

Military correspondent for Channel 13: Iran launched its missiles at military bases and did not target civilian populations.

#Military_Media

Iran hajatagert raia hata mmoja wote walio injury ni wanajeshi
Tumia akili wakati mwingine.
Iran ili target raia Ila Israel ika yapangua na kuangukia kusiko na raia.
 
Iran ni mjinga mjinga kabisa yaani anazidiwa target na Hamas na Hezbulla😂😂😂😂. Bora Myahudi amdunde tu Ayatola ni fala sana yaani makombora yote hayo off taget ,,
 
Iran ni mjinga mjinga kabisa yaani anazidiwa target na Hamas na Heabulla😂😂😂😂. Bora Myahudi amdunde tu Ayatola ni fala sana yaani makombora yote hayo off taget

Sio 200 nafikili ni zaidi ya hayo
Ayatola atangulizwe tu akamfate mwenzake Hania na Nasrallah hawa maboya wanamaneno mengi na kulialia hovyo.
 
#Enemy_Media

Military correspondent for Channel 13: Iran launched its missiles at military bases and did not target civilian populations.

#Military_Media

Iran hajatagert raia hata mmoja wote walio injury ni wanajeshi
Mmmmh sio kweli hiii.
Yale yamerushwa kwenda kuanguka sehemu yoyote tuu.
Hasa kwenye kwenye miji
 
Wadau hamjamboni nyote?

Mungu ibariki Israel

Taarifa rasmi ndiyo hiyo

99% yamelipuliwa angani, kudondokea baharini au sehemu isiyokusudiwa

Yale matoi yaliachwa yaelee angani kwa muda na kisha kusambaratishwa

Ukitazama video yake utacheka

Live Update arrow right icon From the Liveblog of Tuesday,
October 1, 2024

Following mass Iran attack, medics say just 2 lightly wounded by shrapnel in Tel Aviv
By Emanuel Fabian Follow
Today, 8:24 pm
14
An Iranian missile attack on Israel, October 1, 2024. (Channel 12 news screenshot)
An Iranian missile attack on Israel, October 1, 2024. (Channel 12 news screenshot)
Only two injuries are reported across Israel in the Iranian missile attack on the country, Magen David Adom says.

The ambulance service says it treated only two people who were lightly wounded by shrapnel in Tel Aviv.

Several others were treated for minor injuries after falling over while running for shelter, and acute anxiety, MDA adds.
Alikuambia anataka kuua watu hovyo kama shetanyau
 
Back
Top Bottom